Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Ngoja niviquote....vya kiswahili sivitaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]

A man of the people nimekisoma...

Season of waiting bado nani author?
ahaha unakataa kiswahili chetu!
Mwandishi anaitwa David omowale
 
Hivi vyote nilivisoma siku 6 tu nikapata D dah
 
Kumbe umapajua eeh ukikosa pale nenda duka la Tanzania Publishing House ipo mtaa wa Samora Avenue namba 84 kama sikosei
Ndio pale wakati niko chuo nilikuwa nakodisha kwa hao majamaa....

Asante sana mkuu barikiwa, ntavisaka hadi nivipate!
 
Ndio pale wakati niko chuo nilikuwa nakodisha kwa hao majamaa....

Asante sana mkuu barikiwa, ntavisaka hadi nivipate!
Hela yako tu yaani mimi nikipitaga pale uwa natamani hata nivinunue vyoooote nabaki navikodolea macho tu
 
Haaahaaa...umenifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dadeki wale watu walikuwa misukule asee!

Unajua maana ya huyo man dereva??


Unajua hao passengers ni wakina nani??

Na hilo bus ni nini??

Amah ni nyokoo asee
jamaa anatumia symbolism sana na kuwafanya wengi watoke kapa hasa kama umezoea kusoma magazeti ya Cyprian musiba na ya udaku.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] D ya English....hata hivo ulijitahidi hujapata mswaki
Nilienda kutuma maombi Posta badala ya kumwambie aniandikie English Language yeye kaniandikia Literature kwa bahati mbaya halafu mimi nilidhan hii Lite ni Language sasa cku ya mtihan wenzangu wameandikiwa wanafanya tarehe 2 mimi nimeandikiwa tarehe 9 dah
Akili ilihama aiseee
 
jamaa anatumia symbolism sana na kuwafanya wengi watoke kapa hasa kama umezoea kusoma magazeti ya Cyprian musiba na ya udaku.
Your right....anatumia codes za kufa mtu...

Mwalimu wetu wa literature alivyoanza kutwambia A man ni Rais, passengers ni wananchi na bus ni nchi nilichoka....mwanzo na ule utoto nilikuwa naona ni storee tu hapa[emoji23] [emoji23]
 
Ebwanaa eeeh[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....mbona walikuvuruga hivoo?
 
Fanya uende na hata 10,000 nahis chenj itabaki.
Maana kuna kitabu cha THIS TIME TOMORROW nilinunua kwa 7,000 kama sikosei
Omg!....mbona hela kidogo hivoo?....na bado nikifika pale kwa kuwa nanunua vingi ntalia lia anipunguzie nichukue kwa buku tano tano[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…