witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Sasa alimuulia nini japo ilikuwa mila....sema okonkwo alikuwa driven na sifa yule jamaaila jamaa alikuwa anampenda sana huyu dogo kiasi kwamba baada ya kumuua hakula chakula kwa siku mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa alimuulia nini japo ilikuwa mila....sema okonkwo alikuwa driven na sifa yule jamaaila jamaa alikuwa anampenda sana huyu dogo kiasi kwamba baada ya kumuua hakula chakula kwa siku mbili.
hii aliisema Ngugi kwenye kitabu cha DEVIL ON THE CROSS
Ayi kwei Amah bangi tupuOoh thanx....kila kitabu cha Ghana cha rais mla rushwa sijui ndo The beautiful ....ni nani mwandishi?
Dogo alistrugle sanaIs it possible ni mwisho wa matatizo!...Lolienka nilimkubali mnoo
Ow!...asante sana kwa kunipa jina la huyu mwandishi...hivi nikivitaka hivi vitabu vyote nafanyaje, hata pa kuvinunua hapa Dar?hii aliisema Ngugi kwenye kitabu cha DEVIL ON THE CROSS
Ila huyu jamaa aliyeandika THE BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN (Ayi kwei Amah) hana maadili kabisa, kwenye hiki kitabu kuna sehemu ameandika
"The man returned home and found his wife asleep,he began to touch her cunt 'the vagina itself was harder as its outermost skin was more resisting'"
yap,mzee Kiguunda ndiye alitamka kama sijakosea"A man brags his own penis however tiny" I will marry when i want-Ngugi Wa Thiongo
His Excellency head of stateAyi kwei Amah bangi tupu
Kinoma....nilikuwa nikikisoma yaan utafikiri niko na Lorienka pembeni tunachunga mbuzi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo alistrugle sana
bonge moja la kitabu
Ila nakikubali kinoma yaani...eti Cunt, mara vagina....Amah ana mitusiAyi kwei Amah bangi tupu
Yaap mume wa Wangeci akijisifia title deed yake ya nusu hekayap,mzee Kiguunda ndiye alitamka kama sijakosea
unaambiwa alipokuwa anafikiria baba yake alivyofeli jamaa alikuwa anaogopa ndani ya moyo hapo anapiga kazi aibu ya mzee wake isije kwakeUnoka lazy, failure man ...okonkwo hakutaka kumsikia kabisa, alimchefua![emoji23] [emoji23]
we we we chuma ya mzee Chinua Achebe hiyoA man of the people ni cha ngungi wa thiongo sijui??
Aaah Okonkwo alikuwa anajichosha tu, hata hakufaidi jasho lake mara aue akawa excel for good 7 solid years kwa sifa na mihasira yake...bora Unoka ni failure but kala bata na madeni juu[emoji23] [emoji23]unaambiwa alipokuwa anafikiria baba yake alivyofeli jamaa alikuwa anaogopa ndani ya moyo hapo anapiga kazi aibu ya mzee wake isije kwake
Oooh nimeikumbuka but haikuniimpress kama ' Things fall apart'we we we chuma ya mzee Chinua Achebe hiyo
walimtoa sadaka kufidia kifo cha mwenzao ambaye aliuliwa na watu wa jamii ya huyo dogo.Sasa alimuulia nini japo ilikuwa mila....sema okonkwo alikuwa driven na sifa yule jamaa
library lazima vipo tuOw!...asante sana kwa kunipa jina la huyu mwandishi...hivi nikivitaka hivi vitabu vyote nafanyaje, hata pa kuvinunua hapa Dar?
Amah ana matusi balaa kwenye kile kitabu, sema ni kitamu nacho wakina princess na mama yao wanakunywa imported beer not local ones!
[emoji22] [emoji22] [emoji22] .....kwenye hicho kisegment niliangua kilio asee!walimtoa sadaka kufidia kifo cha mwenzao ambaye aliuliwa na watu wa jamii ya huyo dogo.
Kabla ya kwenda kumuua kamzee kamoja kalimwambia Okonkwo "the boy calls you father don't have your hand on his death"
Dogo alipopigwa panga la kwanza(alipigwa na mtu mwingine sio Okonkwo) alirudi nyuma na kumwambia Okonkwo"father they are killing me"basi jamaa yako akaanza kutetemeka wenzake wanamcheki tu,jamaa kwa ajili ya misifa ili asionekane kuwa ni mwanaume wa dar alimpiga dogo panga na kumuua hapohapo"
Sadest part of the book.