Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Dah yani huelewi hata unachoandika unabaki kumtukana mtu bila sababu... Nikupe elimu tu Tanzania tulikuwa na reli za aina mbili meter gauge hii ni ya arusha from dar na ile reli ya kati ambayo upana wake ni 1000mm na ya pili ni cape gauge ambayo ni reli ya tazara upana wake ni 1067mm... Google basi usome hata uelewe ndo uje tukana watu hapa kipepeo ww....
Reli mpya inayojengwa ni sgr ambayo upana wake ni 1435mm na haiungwi na bolt bali maungio yake yanachomewa ..
Acha upumbavu na ulofa kama ujui kitu uliza.
 
Katika wanaopata magonjwa kwa kulimbikiziwa kesi za kodi mjumuishe Mbunge Nimrod Mkono hapo.

Huyu Mzee tangu apigwe kesi ya kodi na kufungiwa ofisi yake hali yake imekuwa mbaya sana.
 
Kojoa kalale msukule wa lumumba ww
 
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Ukimchagua Tindu Lissu wee mama utakuwa umeokoa maisha yako kwa 60% hizo 40% mwachie yeye.
#NiYeye
 
TAZARA ni standard lakini zingine zote alizotaja ni ubwege wake!
Btw. Katika yote hayo, ni lipi ambalo linaweza kumpa kura? Tatizo la kiumbe wenu huyu anaamini Magufuli asipofaa, basi yeye ndo atafaa. Kumbe hata yeye anaweza kuwa ni hovyo kabisaaa!
 
Hoja hizi zimekuzidi kimo na upeo,wenye dhamana wamekaa kimya ni ww nobody utaweza huu mfupa.Kifupi Mmepoteana sana.
 
Katika wanaopata magonjwa kwa kulimbikiziwa kesi za kodi mjumuishe Mbunge Nimrod Mkono hapo.

Huyu Mzee tangu apigwe kesi ya kodi na kufungiwa ofisi yake hali yake imekuwa mbaya sana.

Binafsi naona hawana balls.

Nimrod Mkono ameanza biashara ya sheria wakati Magufuli anasoma Lake Sekondari 1978, na ma Kamishna wa TRA kina Kichere waliokuwa Tambaza in the nineties walikuwa bado hawajazaliwa. Kwa nini anashindwa ku speak up and challenge the TRA fraud and racket system legally and politically?

Akanywea, akaomba ahurumiwe na Magufuli. Didn't work. Absolutely spineless.
 
Katika nchi ambayo rais anaweza kuamrisha mahakama iamue vipi, watu kama Nimrod Mkono wanaojua ukomo wa utetezi wanaoweza kuupata kwenye vyombo vya sheria inawabidi wakubali tu matokeo ya mfumo mbovu walioudekeza kwa miaka mingi.

Hilo moja.

La pili, hawa washua wamepiga sana hela ndefu kwenye kesi za ajabu ajabu, na Magufuli anajua hayo.

Sasa mtu ambaye tayari ana makosa, kushindana na serikali inakuwa ngumu.

Kwa sababu wanaweza kusema tu, ile kesi ya TANESCO ile, Mzee Mkono ulifanya utakatishaji wa fedha na uhujumu uchumi, tunakufunga jela.

Which is something similar to what is going on now - being penalized for making too much money in cases against the government- similar but not so open. Yani badala ya kumwambia pale ulifanya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha, wanamu asses mikodi ya ajabu kwa njia zao arbitrary za accounting, real and imagined.

Sasa kwa msingi kama huo, mtu aliyezoea kuishi kwa heshima ya kuwa mtu wa system, halafu system ikamgeuka, anaona akubali matokeo tu.

Ama sivyo ataongezewa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha juu ya kodi.

Utawala huu hata ukiteuliwa na rais, ukikataa uteuzi, unajitengenezea bonge la uadui na labda kwa usalama wako uhame nchi kabisa.

Ndiyo maana watu kama kina Mkono huwezi kuwasikia wanabishana na serikali.
 
mzee wa scare tactic ya MIGA kulinda wazungu....[emoji241]

Viva Magu
Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
sawa nyinyi kima wa DJ teteeni ruzuku azipige.

CCM can be evil ila jazba baada ya JPM kukamata kontena limetufungua sana tuliokuwa tukimwamini TL.. kumbe alikuwa kwenye payroll na ni mwanasheria na mtetezi wao.

Mwanzoni aliwasumbua sana wazungu...wazungu wana maswali mawili? can we buy him or kill him? TL akanunuliwa. [emoji241][emoji241][emoji3]

Nchi itashtakiwa MIGA ... hadi leo tunasubiri.

Kaja na sound ya machafuko na mahakama ya kimataifa...Nyambaffff[emoji3][emoji3]

Viva Magu

wanyooooosheeeeeeee
 
Katika nchi zote zilizoendelea, USA, UK, German, Russia, China, Japan walileta maendeleo kwa nguvu na siyo democrasia, watu wengi waliuwawa waliopinga maendeleo, maendeleo unayoyaona leo USA wahindi wekundu na waafrika walifanyishwa kazi kwa nguvu na wazungu wenyewe leo hii kila mtu anataka kukimbilia USA kuishi. Hivyo JPM yuko sawa kabisa kanyaga twende tutaelewana uko mbele.
 

nani aliuawa kwa kupinga maendeleo kwenye historia ya dunia

hebu tueleze
 
TAZARA ni standard lakini zingine zote alizotaja ni ubwege wake!
Btw. Katika yote hayo, ni lipi ambalo linaweza kumpa kura? Tatizo la kiumbe wenu huyu anaamini Magufuli asipofaa, basi yeye ndo atafaa. Kumbe hata yeye anaweza kuwa ni hovyo kabisaaa!

Sijui nani anamuandikia speech zake, hata TAZARA haipo kwenye kundi la SRG!!

Track gauge ya TAZARA ni 1067mm ie cape gauge, tukija kwa upana wa Standard Railway Gauge (Stephenson gauge) upana wake ni:1435mm, sasa hivi ni vitu viwili tofauti kabisa - sasa kama Lisu anashindwa masuala ambayo ni too obvious kabisa tunawezaje kuamini Mickey Mouse stories zake siku za usoni.
 
Kwani wanajua hta hoja maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…