Sijui umesoma wapi, labda Ubelgiji! Tangu lini kukosoa kukawa sera. Hiyo sasa itakuwa nchi tena! Yaani mojawapo ya sera za nchi ni kukosoa. Twafude! Tumekwisha!Sera sio tu kusema utafanya nini, kukosoa uozo kama huo ni sera nzuri pia, UNAYO MAARIFA WEWE KICHWANI, YATUMIE KWA FAIDA!!
MITANO KWANZA, √
MITANO TENA, X
Utalalaje kwenye ajira. Kuna watu wameajiriwa kujibu post, ukiangalia wako hewani 24/7.we mama hulali
Mimi ningemchagua kama uwezekano wa kupiga kura ungekuwepo!Nani atamchagua Jiwe? Labda wewe mataga wenzio
Wewe ulikuwa unayafahmu hayo?
elimika ufahamu mambo yanayoendelea nchini kwako... hata marekana sera ziko hivyo kwa kueleza madudu ya mpinzani wako
Utasemaje Watanzania wote wakati mimi siko pamoja nawe. Je, wanachama wa CCM wako pamoja na wewe? ACHA UONGO!Sisi watz wote tuko pamoja na Tundu Lissu...... Aendelee tu kupiga spana basi
Wewe unamchukia Tibaijuka! Kama ndiyo kwa nini. Si mwanambke mwenzako!Kwani magufuli Jana aliyosema atampa kazi tibaijuka ndio sera ya ccm? Hizo mambo zinakuwepo tu kwenye kampen acha kujitoa akili ya kutaka kutuaminisha kuwa kila kitu anacho ongea mgombea ndio sera yake
Mbona matusi! Au tukufungulie mashtaka. Hujui "it a crime to do what you did". Uhuru wako ni wa kuongea lakini huna uhuru wa matusi.Acha kuropoka kama punguani bwana alikuambia mambo 10 aliyosikoa siyo sera! Mbona yule PUNGUANI WENU anajibu ? Mbona yye anaongelea bima ya afya ipo kwenye ilani ya Ccm?
Usituletee ujuha wako hapa
Kwa kweli mwaka huu nimeanza juhudi binafsi kwa kujitolea kuwashawishi watu wangu wa karibu kumpigia kura Lissu-i think it will make difference
Wewe unamchukia Tibaijuka kwa nini? Mbona ni mwanamke mwenzako!
wewe tangia lini ushawahi ona maendeleo ya watu ambayo hayajaanzia na maendeleo ya vitu? ukitaka ajira nyingi, jenga miradi mipya watu waajiriwe, ukitaka mishahara iwe na hadhi then thibiti wafanya biashara! as simple as that. unataka rocket economics uelewe ama?
Kupiga pushups ni sera inayosaidia nini?Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Katika wanaopata magonjwa kwa kulimbikiziwa kesi za kodi mjumuishe Mbunge Nimrod Mkono hapo.
Huyu Mzee tangu apigwe kesi ya kodi na kufungiwa ofisi yake hali yake imekuwa mbaya sana.
Atajibuje hoja wakati hajui chochote kuhusu chama chake mwenyewe [emoji1]Hahaha uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA mmeanza kupoteana, Bashiru aliwaambia muwe mnajibu hoja.
Chato wanaishi waTanzania pia wenye uhitaji sawa na miko mingineMOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA
MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani (Tanga - MWINYI), Nyumba ya Mungu (Kilimanjaro - NYERERE), Rusumo (Kagera- KIKWETE), Songwe (Mbeya - KIKWETE)
TATU: Wakati wa uhuru kulikuwa na mbuga moja tu, ya Serengeti, iliyotengwa na Mkoloni. Nyingine zote zilianzishwa kwa amri za marais kwa kuhamisha watu, hizi za Magufuli wanahamisha wanyama, wanawapeleka Chato ambako naturally hakuna mbuga, hakuna wanyama. Na wanapounda mbuga mpya wanaingilia maeneo ya watu na hawawalipi fidia, wanasababisha maafa na migogoro ya ardhi. Anaijua migogoro yote ya mipaka ya hifadhi nchi hii, na ardhi za wananchi zilizopokwa bila fidia, kwa sababu alilifanyia utafiti katika kazi yake ya kwanza akitoka chuo.
NNE: Daktari muanzilishi wa Hospitali ya Masana Mbezi, Dar es Salaam, alikufa kwa pressure baada ya kukutwa na mashine alizonunua kwenye mnada wa vifaa chakavu, Muhimbili, akasahau kufuta zile alama za MUHIMBILI MKWAJU SERIKALI MKWAJU HOSP MKWAJU RUFAA MKWAJU SIFURI SIFURI MBILI MKWAJU.... Alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi isiyo na dhamana, akafa na pressure halafu wakakuta ni kweli alinunua Muhimbili.
TANO: Mbunge wa CCM, Salim Hassan Abdullah Turki, amekufa na pressure baada ya kubambikwa madai ya kodi ya mabilioni. Mheshimiwa Turki ndie aliyekodi ndege ya kumpeleka Tundu Lissu Nairobi akiwa mahututi. Hii Tundu Lissu amesema ameambiwa na familia ya marehemu.
SITA: Mtoto wa Dada yake Magufuli, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake alipopata Urais; Na kwamba, sasa hivi kuna watu wawili tu nchi hii, Doto James na mjomba wake, ambao wanajua hela za kununua ndege na za Bwawa la Rufiji ni shiing ngapi na zimetoka wapi.
SABA: Familia ya Mwinyi, Mkapa kila mmoja anamiliki ekari 60,000, Sumaye 45,000 za ardhi ambazo awali zilikuwa mashamba ya serikali, ikiwemo NAFCO, kabla ya kujimilikisha wakiwa marais na wa mawaziri wakuu. Viongozi wengine na matajiri wenye ekari chini ya hapo, elfu 35, elfu 20, elfu 15, elfu 10, elfu 5 ni wengi, wengi, wengi mno. Ambao walipeana kama "wawekezaji" lakini wamezikalia tu. Na ni sababu moja kubwa na migogoro ya wakulima na wafugaji, kupungua kwa ardhi.
NANE: Miaka saba baada ya kuwa tushapata uhuru, Nyerere aliandika kitabu kuelekezea kwamba bado tunahitaji uhuru licha ya kuwa tulishawaondoa wakoloni, kinaitwa Uhuru na Maendeleo. Hoja kuu ya kitabu cha Nyerere inasema jamii inapimwa kwa maendeleo ya watu, sio ya vitu na miundombinu.
TISA: Mkandarasi wa Uwanja wa Ndege Chato, Mayanga Construction (Steven Makigo), ni mme mwenza wa Magufuli, wameoa nyumba moja. Mme mwenza aliambiwa jenga uwanja! Mpwa (Doto James) akaambiwa toa hela!
KUMI: Kiwanja kimoja tu cha ndege kimejengwa na Mkoloni, Mwingereza, kile cha Air Wing, Ukonga. Nyerere alijenga Kilimanjaro na wakaendelea kujenga vingine vyote nchini, Magufuli si Mtanzania wa kwanza kujenga uwanja wa ndege.
-----------------------------------------------------------
WHAT'S THE POINT?
Anasema, wakati wote huu inajengwa hiyo miradi toka uhuru, airports, mbuga, reli, mabwawa ya umeme, mabarabara, hakuna Mtanzania aliyenyanyapaliwa, aliyeuawa kwa pressure ya kutishwa, kuhamishwa, kubambikwa kodi, kupigwa, kutiwa kizuizini miaka 5, au kumiminiwa risasi kwa kuhoji miradi au kwa kigezo kwamba nawaletea maendeleo.
unavoongea kwa kujiamini utadhani hii nchi ilikuwa inaongozwa na upinzani kwa zaid ya miaka 50....Maendeleo ya watu hayawezi kuja bila maendeleo ya miundo mbinu. Mara ngapi wakulima wa kusini walikuwa wanalia na njia za kusafirisha mazao kuwa kuwafikia walaji. Mwaka hadi mwaka mahidi yallikuwa yanawaozea kwa kukosa njia za kuyasafirisha kwenda kwa walaji. Sasa hivi hili tatizo halipo. Wana uwezo wa kuuza na kupata pesa za matumizi na mendeleo kama kujijengea nyumba, kununua bima za afya, hayomsi maendeleo ya binadamu au watu yatokanayo na ,aendeleo ya vitu!
Maendeleo ya watu hayawezi kuja bila maendeleo ya miundo mbinu. Mara ngapi wakulima wa kusini walikuwa wanalia na njia za kusafirisha mazao kuwa kuwafikia walaji. Mwaka hadi mwaka mahidi yallikuwa yanawaozea kwa kukosa njia za kuyasafirisha kwenda kwa walaji. Sasa hivi hili tatizo halipo. Wana uwezo wa kuuza na kupata pesa za matumizi na mendeleo kama kujijengea nyumba, kununua bima za afya, hayomsi maendeleo ya binadamu au watu yatokanayo na ,aendeleo ya vitu!
Ww sio mtz... Watz wakiwemo wanaccm wanamtaka Tundu Lissu. Mchana wanavaa sare za ccm lkn ukweli mioyo yao ipo kwa mbeba maono wa taifaUtasemaje Watanzania wote wakati mimi siko pamoja nawe. Je, wanachama wa CCM wako pamoja na wewe? ACHA UONGO!
Acha uzwazwa mkuu....Vipofu wanaona... viwete wanatembea[emoji3][emoji3]
Viva JPM 2020 to 2030