Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Sera sio tu kusema utafanya nini, kukosoa uozo kama huo ni sera nzuri pia, UNAYO MAARIFA WEWE KICHWANI, YATUMIE KWA FAIDA!!

MITANO KWANZA, √
MITANO TENA, X
Sijui umesoma wapi, labda Ubelgiji! Tangu lini kukosoa kukawa sera. Hiyo sasa itakuwa nchi tena! Yaani mojawapo ya sera za nchi ni kukosoa. Twafude! Tumekwisha!
 
Wewe ulikuwa unayafahmu hayo?
elimika ufahamu mambo yanayoendelea nchini kwako... hata marekana sera ziko hivyo kwa kueleza madudu ya mpinzani wako

Marekani gani unaiongelea wewe. Sera kubwa ya Marekani ambayo haihusishwi na chama au muelekeo wa kisiasa ni "There are no permanent friends or enemies". Hii sera inafuatwa na raisi yeyote, uwe republican au democrat.
 
Sisi watz wote tuko pamoja na Tundu Lissu...... Aendelee tu kupiga spana basi
Utasemaje Watanzania wote wakati mimi siko pamoja nawe. Je, wanachama wa CCM wako pamoja na wewe? ACHA UONGO!
 
Kwani magufuli Jana aliyosema atampa kazi tibaijuka ndio sera ya ccm? Hizo mambo zinakuwepo tu kwenye kampen acha kujitoa akili ya kutaka kutuaminisha kuwa kila kitu anacho ongea mgombea ndio sera yake
Wewe unamchukia Tibaijuka! Kama ndiyo kwa nini. Si mwanambke mwenzako!
 
Acha kuropoka kama punguani bwana alikuambia mambo 10 aliyosikoa siyo sera! Mbona yule PUNGUANI WENU anajibu ? Mbona yye anaongelea bima ya afya ipo kwenye ilani ya Ccm?
Usituletee ujuha wako hapa
Mbona matusi! Au tukufungulie mashtaka. Hujui "it a crime to do what you did". Uhuru wako ni wa kuongea lakini huna uhuru wa matusi.
 
wewe tangia lini ushawahi ona maendeleo ya watu ambayo hayajaanzia na maendeleo ya vitu? ukitaka ajira nyingi, jenga miradi mipya watu waajiriwe, ukitaka mishahara iwe na hadhi then thibiti wafanya biashara! as simple as that. unataka rocket economics uelewe ama?

Maendeleo ya watu hayawezi kuja bila maendeleo ya miundo mbinu. Mara ngapi wakulima wa kusini walikuwa wanalia na njia za kusafirisha mazao kuwa kuwafikia walaji. Mwaka hadi mwaka mahidi yallikuwa yanawaozea kwa kukosa njia za kuyasafirisha kwenda kwa walaji. Sasa hivi hili tatizo halipo. Wana uwezo wa kuuza na kupata pesa za matumizi na mendeleo kama kujijengea nyumba, kununua bima za afya, hayomsi maendeleo ya binadamu au watu yatokanayo na ,aendeleo ya vitu!
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Kupiga pushups ni sera inayosaidia nini?
 
Katika wanaopata magonjwa kwa kulimbikiziwa kesi za kodi mjumuishe Mbunge Nimrod Mkono hapo.

Huyu Mzee tangu apigwe kesi ya kodi na kufungiwa ofisi yake hali yake imekuwa mbaya sana.

Mwambie alipe kodi. Yeye ni mbunge na ana kampuni ya sheria. Alikuwa mwanasheria wa kuiwakilisha BoT/serkali kwenye kesi nyingi za kimataifa na alikuwa analipwa mamillioni ya ya $$$, siyo shilingi bali $$$. Sasa akidaiwa kodi kuna kosa gani. Alitakiwa aklipe kodi na hakulipa. Kama anabambikiwa kodi si akate rufaa au aende mahakama ya kibiashara. Yeye ni msomi na anayajuwa haya. Wewe ulichokifanya ni kusema uongo eti kaonewa. Wabunge wanajuwa pa kwenda kama wameonewa...kwenye vyombo vya sheria.vyombo vya sheria. Kwa nini asiende huko!
 
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA

MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani (Tanga - MWINYI), Nyumba ya Mungu (Kilimanjaro - NYERERE), Rusumo (Kagera- KIKWETE), Songwe (Mbeya - KIKWETE)

TATU: Wakati wa uhuru kulikuwa na mbuga moja tu, ya Serengeti, iliyotengwa na Mkoloni. Nyingine zote zilianzishwa kwa amri za marais kwa kuhamisha watu, hizi za Magufuli wanahamisha wanyama, wanawapeleka Chato ambako naturally hakuna mbuga, hakuna wanyama. Na wanapounda mbuga mpya wanaingilia maeneo ya watu na hawawalipi fidia, wanasababisha maafa na migogoro ya ardhi. Anaijua migogoro yote ya mipaka ya hifadhi nchi hii, na ardhi za wananchi zilizopokwa bila fidia, kwa sababu alilifanyia utafiti katika kazi yake ya kwanza akitoka chuo.


NNE: Daktari muanzilishi wa Hospitali ya Masana Mbezi, Dar es Salaam, alikufa kwa pressure baada ya kukutwa na mashine alizonunua kwenye mnada wa vifaa chakavu, Muhimbili, akasahau kufuta zile alama za MUHIMBILI MKWAJU SERIKALI MKWAJU HOSP MKWAJU RUFAA MKWAJU SIFURI SIFURI MBILI MKWAJU.... Alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi isiyo na dhamana, akafa na pressure halafu wakakuta ni kweli alinunua Muhimbili.

TANO: Mbunge wa CCM, Salim Hassan Abdullah Turki, amekufa na pressure baada ya kubambikwa madai ya kodi ya mabilioni. Mheshimiwa Turki ndie aliyekodi ndege ya kumpeleka Tundu Lissu Nairobi akiwa mahututi. Hii Tundu Lissu amesema ameambiwa na familia ya marehemu.

SITA: Mtoto wa Dada yake Magufuli, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake alipopata Urais; Na kwamba, sasa hivi kuna watu wawili tu nchi hii, Doto James na mjomba wake, ambao wanajua hela za kununua ndege na za Bwawa la Rufiji ni shiing ngapi na zimetoka wapi.

SABA: Familia ya Mwinyi, Mkapa kila mmoja anamiliki ekari 60,000, Sumaye 45,000 za ardhi ambazo awali zilikuwa mashamba ya serikali, ikiwemo NAFCO, kabla ya kujimilikisha wakiwa marais na wa mawaziri wakuu. Viongozi wengine na matajiri wenye ekari chini ya hapo, elfu 35, elfu 20, elfu 15, elfu 10, elfu 5 ni wengi, wengi, wengi mno. Ambao walipeana kama "wawekezaji" lakini wamezikalia tu. Na ni sababu moja kubwa na migogoro ya wakulima na wafugaji, kupungua kwa ardhi.

NANE: Miaka saba baada ya kuwa tushapata uhuru, Nyerere aliandika kitabu kuelekezea kwamba bado tunahitaji uhuru licha ya kuwa tulishawaondoa wakoloni, kinaitwa Uhuru na Maendeleo. Hoja kuu ya kitabu cha Nyerere inasema jamii inapimwa kwa maendeleo ya watu, sio ya vitu na miundombinu.

TISA: Mkandarasi wa Uwanja wa Ndege Chato, Mayanga Construction (Steven Makigo), ni mme mwenza wa Magufuli, wameoa nyumba moja. Mme mwenza aliambiwa jenga uwanja! Mpwa (Doto James) akaambiwa toa hela!

KUMI: Kiwanja kimoja tu cha ndege kimejengwa na Mkoloni, Mwingereza, kile cha Air Wing, Ukonga. Nyerere alijenga Kilimanjaro na wakaendelea kujenga vingine vyote nchini, Magufuli si Mtanzania wa kwanza kujenga uwanja wa ndege.

-----------------------------------------------------------

WHAT'S THE POINT?
Anasema, wakati wote huu inajengwa hiyo miradi toka uhuru, airports, mbuga, reli, mabwawa ya umeme, mabarabara, hakuna Mtanzania aliyenyanyapaliwa, aliyeuawa kwa pressure ya kutishwa, kuhamishwa, kubambikwa kodi, kupigwa, kutiwa kizuizini miaka 5, au kumiminiwa risasi kwa kuhoji miradi au kwa kigezo kwamba nawaletea maendeleo.
Chato wanaishi waTanzania pia wenye uhitaji sawa na miko mingine

Huyo Mwl Nyerer pia aliwahi kusema hatuwezi kuwapa nchi Chadema kama majaribio

Hivyo tu basi
 
Maendeleo ya watu hayawezi kuja bila maendeleo ya miundo mbinu. Mara ngapi wakulima wa kusini walikuwa wanalia na njia za kusafirisha mazao kuwa kuwafikia walaji. Mwaka hadi mwaka mahidi yallikuwa yanawaozea kwa kukosa njia za kuyasafirisha kwenda kwa walaji. Sasa hivi hili tatizo halipo. Wana uwezo wa kuuza na kupata pesa za matumizi na mendeleo kama kujijengea nyumba, kununua bima za afya, hayomsi maendeleo ya binadamu au watu yatokanayo na ,aendeleo ya vitu!
unavoongea kwa kujiamini utadhani hii nchi ilikuwa inaongozwa na upinzani kwa zaid ya miaka 50....

aise uwe unawaza kwanza afu ndo hujibu watu, japo na wewe ccm imechangia kukuvuruga ubongo kiasi kikubwa..
 
Maendeleo ya watu hayawezi kuja bila maendeleo ya miundo mbinu. Mara ngapi wakulima wa kusini walikuwa wanalia na njia za kusafirisha mazao kuwa kuwafikia walaji. Mwaka hadi mwaka mahidi yallikuwa yanawaozea kwa kukosa njia za kuyasafirisha kwenda kwa walaji. Sasa hivi hili tatizo halipo. Wana uwezo wa kuuza na kupata pesa za matumizi na mendeleo kama kujijengea nyumba, kununua bima za afya, hayomsi maendeleo ya binadamu au watu yatokanayo na ,aendeleo ya vitu!

sahihi kabisa, tuna safari ndefu sana kupata team nzuri ya upinzani maana hii iliopo ni kichefu chefu
 
Utasemaje Watanzania wote wakati mimi siko pamoja nawe. Je, wanachama wa CCM wako pamoja na wewe? ACHA UONGO!
Ww sio mtz... Watz wakiwemo wanaccm wanamtaka Tundu Lissu. Mchana wanavaa sare za ccm lkn ukweli mioyo yao ipo kwa mbeba maono wa taifa

Huu ndio ukweli mchungu
 

Attachments

  • IMG-20200928-WA0008.jpg
    IMG-20200928-WA0008.jpg
    30.4 KB · Views: 1
Vipofu wanaona... viwete wanatembea[emoji3][emoji3]

Viva JPM 2020 to 2030
Acha uzwazwa mkuu....

We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....


Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
Back
Top Bottom