Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Na bado!! Mtachanganyikiwa sana mwaka huuKageuza mkutano wa kampeni kijiwe Cha story badala ya kunadi sera
Toka mwanzo Hadi mwisho wa hizo point kumi Ni story tu hamna Cha sera Wala nini
Sikuhizi anagawa vyeo barabara I na kwenye kampeni. Mwijage na mama Tibaijuka wameahidiwa teuzi sasa asipo apoishwa siku I itakuaje.Hahaha sera ni nini?! Madaraja au kubambikia watu kesi?!
Hivi siku hizi hagawi pesa barabarani tena au zimeisha?!
Hapa ulichoandika hamna sera hata MojaKazi kubwa hapa
1:kutengeneza wananchi waliorubuniwa kwa mda mrefu sana toka miaka ya 60 kuwa Chama kimoja tu kimetumia ujinga wao wananchi kuendelea kukaa madarakan...hivo kubadil akili zao!
2:kumwambia mwananch kuwa huyu anaekupenda au anaedai amekupenda kwa mda mrefu mbona vitendo vyake havireflect ukweli?mfn.yeye ndg zake 4 ama 5 ama zaidi wamejaa ofs moja halaf wewe hapa kijjn watoto wako wamekosa ajira na wamesoma.
3:kuwambia wananchi kuwa kinachobiriwa na mtawala kuwa amefanya hata wengine walifanya?kwanini atake sifa tu yeye?
4:nk nk
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Uitwe mdahalo ayajibu yote haya, kuondoa ukakasi.Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Hiki siio kipindi Cha midahalo Ni kipindi Cha kampeni tu Cha kunadi sera kwa wananchi na kuomba kura kwa wapiga kuraUitwe mdahalo ayajibu yote haya, kuondoa ukakasi.
Hakuna ambapo hajasema Sera zake labda toa comparative analysis kwa Kutoa mifano ya mikutano ya mgombea wa CCM tarh eneo na Sera alizosema at the same date toa mgombea wa CDM alichosema ili sisi wananchi tulinganishe unachosema hapa. Tuambie hapa Sera zenu ni nini mana hizi Sera toka miaka 50 mnazinadi lakn bado wananchi wamekua maskini ila ninyi family zenu znazid kuneemeka!!Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Mdahalo ni sehemu ya kampeni.Hiki siio kipindi Cha midahalo Ni kipindi Cha kampeni tu Cha kunadi sera kwa wananchi na kuomba kura kwa wapiga kura
Tupe Sera ya mgombea wako hapa....mana kule ni mziki tu watu wanaangalia!!tumia jukwaa hili kunadi Sera zake kuliko kubsha2tu Yehodaya!! Wewe najua unakula mema ya nchi hii lakini umesahau kuwa vizaz vijavyo vinakutegemea wewe kuweka msingi imara .Hapa ulichoandika hamna sera hata Moja
Za asubuhi Sky Eclat!Mdahalo ni sehemu ya kampeni.
Kwako Sio kila mtu CCM hatuhitajiMdahalo ni sehemu ya kampeni.
Kwakua mnategemea ushindi wa mezani.Kwako Sio kila mtu CCM hatuhitaji
Tulia dawa iwaingie kwasasa hatuhitaji hizo sera tunataka kusikia wezi wakihutu wanavyogawana mali zetu nyau nyieMikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Tuwape pole wamep3wa kz kubwa sana ya kumjibu Lisu hawaiweziHivi kuna la uwongo aliloongea Lissu?
Huwezi kuunda sera nzuri au sheria nzuri kama huyajui matatizo uliyo nayo .Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Kageuza mkutano wa kampeni kijiwe Cha story badala ya kunadi sera
Toka mwanzo Hadi mwisho wa hizo point kumi Ni story tu hamna Cha sera Wala nini
Maswali yako ni yana changamoto katika uelewa,kwani Lissu anagombea ubunge kiasi kwamba azungumzie mambo ya mbarali tu? Na hata angekuwa anagombea ubunge,kuongea mambo ya maeneo mengine au nchi anahitaji kukuomba uhuru?Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Nauliza hayo mambo kumi ndizo sera za Chadema? Mimi sioni sera hapoMaswali yako ni yana changamoto katika uelewa,kwani Lissu anagombea ubunge kiasi kwamba azungumzie mambo ya mbarali tu? Na hata angekuwa anagombea ubunge,kuongea mambo ya maeneo mengine au nchi anahitaji kukuomba uhuru?Lissu kazungumzia Chato kama reference point pengine juu ya maswali ya ubinafsi wa watu wachache,ubadhirifu wa mali za uma ambazo ni zetu sote;na pia tawala mbofu na mipango isiyoendana na fursa.Dont think narrow-Ni sawa na mzazi anapokwambia usichezee wembe utakukata(hii ina maana pana zaid ya wembe wenyewe)