Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Kageuza mkutano wa kampeni kijiwe Cha story badala ya kunadi sera
Toka mwanzo Hadi mwisho wa hizo point kumi Ni story tu hamna Cha sera Wala nini
Na bado!! Mtachanganyikiwa sana mwaka huu

Kwani hakuongea Sera za Chama chake ??? Kubadirisha mfumo wa utawala ni nini??? Kuifanya nyanda za juu kusini kuwa kanda maalumu ya uzalishaji wa kilimo na biashara za kilimo kwa nchi za kusini mwa Africa nini???

Kutoa Bima ya Afya kwa watu wote ni nini???? Kuwafidia wote waliohamishwa kuongeza mbuga ya ruaha ni nini????

Kwa kifupi CCM mmechanganyikiwa na hamna cha kumjibu Tundu Antiphas Lissu mnaishia kuchanganyikiwa na kutoa propaganda uchwara 😂
 
Kazi kubwa hapa
1:kutengeneza wananchi waliorubuniwa kwa mda mrefu sana toka miaka ya 60 kuwa Chama kimoja tu kimetumia ujinga wao wananchi kuendelea kukaa madarakan...hivo kubadil akili zao!
2:kumwambia mwananch kuwa huyu anaekupenda au anaedai amekupenda kwa mda mrefu mbona vitendo vyake havireflect ukweli?mfn.yeye ndg zake 4 ama 5 ama zaidi wamejaa ofs moja halaf wewe hapa kijjn watoto wako wamekosa ajira na wamesoma.
3:kuwambia wananchi kuwa kinachobiriwa na mtawala kuwa amefanya hata wengine walifanya?kwanini atake sifa tu yeye?
4:nk nk

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hapa ulichoandika hamna sera hata Moja
 
Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni

Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu

Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Uitwe mdahalo ayajibu yote haya, kuondoa ukakasi.
 
Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni

Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu

Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Hakuna ambapo hajasema Sera zake labda toa comparative analysis kwa Kutoa mifano ya mikutano ya mgombea wa CCM tarh eneo na Sera alizosema at the same date toa mgombea wa CDM alichosema ili sisi wananchi tulinganishe unachosema hapa. Tuambie hapa Sera zenu ni nini mana hizi Sera toka miaka 50 mnazinadi lakn bado wananchi wamekua maskini ila ninyi family zenu znazid kuneemeka!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Tumeyasikia ila bado rais atakaechaguliwa na watanzania ni John Pombe Magufuli
Tukutane hapa kuanzia asubuhi ya October 29, tukiwa tunaendelea kupata matokeo ya uchaguzi
 
Hapa ulichoandika hamna sera hata Moja
Tupe Sera ya mgombea wako hapa....mana kule ni mziki tu watu wanaangalia!!tumia jukwaa hili kunadi Sera zake kuliko kubsha2tu Yehodaya!! Wewe najua unakula mema ya nchi hii lakini umesahau kuwa vizaz vijavyo vinakutegemea wewe kuweka msingi imara .

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Chukua faida dhidi ya unayoelewa kuwa ni madhaifu ya mpinzani wako Siku ya kupiga kura maana hiyo ndiyo kampeni yenyewe! Wanaomuelewa Lissu wa-take advantage kwayo, vilevile kwa wanaomuelewa Magufuli, huu ni wakati wa siasa kuliko wakati mwingine wowote!
 
Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni

Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu

Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Tulia dawa iwaingie kwasasa hatuhitaji hizo sera tunataka kusikia wezi wakihutu wanavyogawana mali zetu nyau nyie
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Huwezi kuunda sera nzuri au sheria nzuri kama huyajui matatizo uliyo nayo .

Ni sahihi kwa 100% Tundu Lisu anachokifanya. Tujue ubovu wa viongozi wetu, ubovu wa mifumo yetu ya utawala, ubovu wa sheria zetu, ubovu wa sera zilizopo, ndipo tujue tunahitaji mabadiliko, na mwisho tujue ni mabadiliko gani yanahitajika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Maswali yako ni yana changamoto katika uelewa,kwani Lissu anagombea ubunge kiasi kwamba azungumzie mambo ya mbarali tu? Na hata angekuwa anagombea ubunge,kuongea mambo ya maeneo mengine au nchi anahitaji kukuomba uhuru?

Lissu kazungumzia Chato kama reference point pengine juu ya maswali ya ubinafsi wa watu wachache,ubadhirifu wa mali za uma ambazo ni zetu sote;na pia tawala mbofu na mipango isiyoendana na fursa.Dont think narrow-Ni sawa na mzazi anapokwambia usichezee wembe utakukata(hii ina maana pana zaid ya wembe wenyewe)
 
Maswali yako ni yana changamoto katika uelewa,kwani Lissu anagombea ubunge kiasi kwamba azungumzie mambo ya mbarali tu? Na hata angekuwa anagombea ubunge,kuongea mambo ya maeneo mengine au nchi anahitaji kukuomba uhuru?Lissu kazungumzia Chato kama reference point pengine juu ya maswali ya ubinafsi wa watu wachache,ubadhirifu wa mali za uma ambazo ni zetu sote;na pia tawala mbofu na mipango isiyoendana na fursa.Dont think narrow-Ni sawa na mzazi anapokwambia usichezee wembe utakukata(hii ina maana pana zaid ya wembe wenyewe)
Nauliza hayo mambo kumi ndizo sera za Chadema? Mimi sioni sera hapo
 
Back
Top Bottom