Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Na bado!! Mtachanganyikiwa sana mwaka huuKageuza mkutano wa kampeni kijiwe Cha story badala ya kunadi sera
Toka mwanzo Hadi mwisho wa hizo point kumi Ni story tu hamna Cha sera Wala nini
Kwani hakuongea Sera za Chama chake ??? Kubadirisha mfumo wa utawala ni nini??? Kuifanya nyanda za juu kusini kuwa kanda maalumu ya uzalishaji wa kilimo na biashara za kilimo kwa nchi za kusini mwa Africa nini???
Kutoa Bima ya Afya kwa watu wote ni nini???? Kuwafidia wote waliohamishwa kuongeza mbuga ya ruaha ni nini????
Kwa kifupi CCM mmechanganyikiwa na hamna cha kumjibu Tundu Antiphas Lissu mnaishia kuchanganyikiwa na kutoa propaganda uchwara 😂