Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Tundu asubili kampeni ziishe tutamtupa burundi kama yule mkenya kwa kuwa ana uraia wa ubelgiji kwa sasa.
Tnanshusha Burundi kwa lazima kisha atafute nauli ya kwenda huko
 
Nyerere ndiye alisema madikteta wamebaki afrika hivi nchi inayotawaliwa na dikteta inakuwa na uhuru wa wananchi wake. Hata kugandamizwa siyo lazima kufanywe na mzungu kugandamizwa na mweusi kuna madhara yale yale. Tunahitaji uhuru wa kujikomboa toka kwenye makucha ya CCM
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Ndio umeshajibu hoja tayari
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali

Kwani wewe unaelewa nini maana ya neno "SERA?"

Angalia usijetuchanyia desa hapa na kusema "SERA" ni "AHADI"

Hebu jibu kwanza hili. Halafu nikuingize shule kidogo juu ya mambo haya...
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Ni mbarali,siyo mbalali wewe utakuwa Ni wa Kanda pendwa ya mkubwa.
 
Bunge gani hilo,ni lile LA miongozo,taarifa ya Spika na amri za kaa chini linaloendeshwa gizani?
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Wewe ulikuwa unayafahmu hayo?
elimika ufahamu mambo yanayoendelea nchini kwako... hata marekana sera ziko hivyo kwa kueleza madudu ya mpinzani wako
 
Kuzuia watu kuhoji au kutoa maoni yao na kufungia vyombo vya habari hii ni dalili mbaya sana kwa Kiongozi hasa kwa Taifa huru kama Tanzania. Kumbe zile tumbua majipu hadharani kulikuwa na mambo nyuma yanafanyika tena ya Kinyonyaji na kifisadi? 😕😕
Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote lakini hawa Viongozi Mafisadi na Wanafiki wanakutumia vibaya.
Tundu Lissu endelea kututoa gizani.
 
Unasikiliza TBC halafu unasema hasemi sera moja ya sera ni kukomesha matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa pesa za uma yaani ufisadi uliojificha kwenye miradi hiyo mikubwa na kusababisha watanzania wanakuwa omba omba.
Ufisadi unaibuliwa kwenye mikutano ya kampeni? Wamo Bungeni miaka 10, wanapokea na kupitisha miradi, wameshidwa kuuibua huo Ufisadi wakisubiri kampeni za kutafuta ulaji?
 
Ufisadi unaibuliwa kwenye mikutano ya kampeni? Wamo Bungeni miaka 10, wanapokea na kupitisha miradi, wameshidwa kuuibua huo Ufisadi wakisubiri kampeni za kutafuta ulaji?
pole sana... wasema NDIYOOOOO unawafahamu.
 
Hizi ni sindano 9 za moto kwa Baba ubaya, huko alipo ni frustruations tupu, tutarajie ataomba apumzike kidogo hapo Chato.
 
Duuh.. afu jiwe anajiita mzalendo!!!
 
Misukule ya lumumba mnashiba sn.... Lazima mjiharishie
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
 
Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
We ng'ombe japo ni msukule wa lumumba lkn hayo yote yanawahusu watu wa Mbarali na yanawahusu watz wote ikiwemo ww buku 7......
Piga spana Mh Tundu Antipas Mugway LISSU
 
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Usijifanye ww ni msukule mkuu wa lumumba..... Sikiliza mikutano yake yote anamwaga sera haijawahi tokea ambazo hata nyie mliokosa maarifa mnaziiga........
Piga spana Mh Tundu Antipas Mugway LISSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…