Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Hayo ndio tunahitaji kwa taarifa yako. Huwezi ukahubiri neno la Mungu bila kusemea ubaya wa shetani utakuwa uhubiri chochote.

Mambo ya sera tukiyahitaji yapo kwenye Ilani yao ya Uchaguzi. Tunataka atuambie madhambi na madhaifu ya huu utawala wa kibabe tulionao leo.
Tundu asubili kampeni ziishe tutamtupa burundi kama yule mkenya kwa kuwa ana uraia wa ubelgiji kwa sasa.
Tnanshusha Burundi kwa lazima kisha atafute nauli ya kwenda huko
 
Lissu asipotoshe dhana ya Uhuru na Maendeleo aliyoijadili kwenye kitabu chake Mwalimu Nyerere mwaka 1968. Kimsingi mwalimu aliamini katika falsafa kuwa uhuru wa bendera tuliopata baada ya kumwondoa mkoloni ulikuwa hautoshi kutoka na kuibuka na ukoloni mambo leo unaosababishwa na mabeberu (imperlists)wa ulaya na Marekani baada ya kugeuza mbinu za kiunyonyaji na kuibuka kwa minyororo ya ugandamizaji kwenye maeneo ya uchumi,siasa na ustawi wa jamii na kiutamaduni baada ya uhuru wabendera 1961. Hivyo aliona wazi kuwa maendeleo ya taifa ni pamoja na kuutafuta uhuru huo dhidi ya unyonyaji huo mpya ulioibuka na kujificha kwenye misaada na mikopo ya wazungu kwa dhima ya kutuletea maendeleo-Soma kitabu cha Walter Rodney -How Europe Underdeveloped Africa,Cabral, na Silent Class Strugle cha Issa Shivji na wengine. Kimsingi hapa ndipo hoja ya Mwalimu ya kujitegemea kiuchumi ilipoanzia na kujikita akiamini kuwa iwapo tunataka uhuru wa kweli wa kujinasua na unyonyaji wa kiuchumi, na kuingiliwa kisiasa, na kiutamduni ni budi kuacha kutegemea wajomba nje ya nchi kwa kutumia raslimali zetu na si vinginevyo. Siyo dhana ya uhuru anaousema Lissu. Asipotoshe.

Nyerere ndiye alisema madikteta wamebaki afrika hivi nchi inayotawaliwa na dikteta inakuwa na uhuru wa wananchi wake. Hata kugandamizwa siyo lazima kufanywe na mzungu kugandamizwa na mweusi kuna madhara yale yale. Tunahitaji uhuru wa kujikomboa toka kwenye makucha ya CCM
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Ndio umeshajibu hoja tayari
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali

Kwani wewe unaelewa nini maana ya neno "SERA?"

Angalia usijetuchanyia desa hapa na kusema "SERA" ni "AHADI"

Hebu jibu kwanza hili. Halafu nikuingize shule kidogo juu ya mambo haya...
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Ni mbarali,siyo mbalali wewe utakuwa Ni wa Kanda pendwa ya mkubwa.
 
Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni

Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu

Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Bunge gani hilo,ni lile LA miongozo,taarifa ya Spika na amri za kaa chini linaloendeshwa gizani?
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Wewe ulikuwa unayafahmu hayo?
elimika ufahamu mambo yanayoendelea nchini kwako... hata marekana sera ziko hivyo kwa kueleza madudu ya mpinzani wako
 
Kuzuia watu kuhoji au kutoa maoni yao na kufungia vyombo vya habari hii ni dalili mbaya sana kwa Kiongozi hasa kwa Taifa huru kama Tanzania. Kumbe zile tumbua majipu hadharani kulikuwa na mambo nyuma yanafanyika tena ya Kinyonyaji na kifisadi? 😕😕
Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote lakini hawa Viongozi Mafisadi na Wanafiki wanakutumia vibaya.
Tundu Lissu endelea kututoa gizani.
 
Unasikiliza TBC halafu unasema hasemi sera moja ya sera ni kukomesha matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa pesa za uma yaani ufisadi uliojificha kwenye miradi hiyo mikubwa na kusababisha watanzania wanakuwa omba omba.
Ufisadi unaibuliwa kwenye mikutano ya kampeni? Wamo Bungeni miaka 10, wanapokea na kupitisha miradi, wameshidwa kuuibua huo Ufisadi wakisubiri kampeni za kutafuta ulaji?
 
Ufisadi unaibuliwa kwenye mikutano ya kampeni? Wamo Bungeni miaka 10, wanapokea na kupitisha miradi, wameshidwa kuuibua huo Ufisadi wakisubiri kampeni za kutafuta ulaji?
pole sana... wasema NDIYOOOOO unawafahamu.
 
Hizi ni sindano 9 za moto kwa Baba ubaya, huko alipo ni frustruations tupu, tutarajie ataomba apumzike kidogo hapo Chato.
 
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA

MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro), Hale (Tanga), Nyumba ya Mungu (Kilimanjaro), Pangani (Tanga), Rusumo (Kagera), Songwe (Mbeya), Kikonge(Ruvuma)

TATU: Wakati wa uhuru kulikuwa na mbuga moja tu, ya Serengeti, iliyotengwa na Mkoloni. Nyingine zote zilianzishwa kwa amri za marais kwa kuhamisha watu, hizi za Magufuli wanahamisha wanyama, wanawapeleka Chato ambako naturally hakuna mbuga, hakuna wanyama. Na wanapounda mbuga mpya wanaingilia maeneo ya watu na hawawalipi fidia, wanasababisha maafa na migogoro ya ardhi.


NNE: Daktari muanzilishi wa Hospitali ya Masana Mbezi, Dar es Salaam, alikufa kwa pressure baada ya kukutwa na mashine alizonunua kwenye mnada wa vifaa chakavu, Muhimbili, akasahau kufuta zile alama za MUHIMBILI MKWAJU SERIKALI MKWAJU HOSP MKWAJU RUFAA MKWAJU TAIFA MKWAJU MOJA SIFURI MBILI MKWAJU.... Alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi isiyo na dhamana, akafa na pressure halafu wakakuta ni kweli alinunua Muhimbili.

TANO: Mbunge wa CCM, Salim Hassan Abdullah Turki, amekufa na pressure baada ya kubambikwa madai ya kodi ya mabilioni. Mheshimiwa Turki ndie aliyekodi ndege ya kumpeleka Tundu Lissu Nairobi akiwa mahututi. Hii Tundu Lissu amesema ameambiwa na familia ya marehemu.

SITA: Mtoto wa Dada yake Magufuli, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake alipopata Urais; Na kwamba, sasa hivi kuna watu wawili tu nchi hii, Doto James na mjomba wake, ambao wanajua hela za kununua ndege na za Bwawa la Rufiji ni shiing ngapi na zimetoka wapi.

SABA: Familia ya Mwinyi, Mkapa kila mmoja anamiliki eka 60,000, Sumaye 45,000 za ardhi ambazo awali zilikuwa mashamba ya serikali kabla ya kujimilikisha wakiwa marais na wa mawaziri wakuu

NANE: Miaka saba baada ya kuwa tushapata uhuru, Nyerere aliandika kitabu kuelekezea kwamba bado tunahitaji uhuru licha ya kuwa tulishawaondoa wakoloni, kinaitwa Uhuru na Maendeleo

TISA: Mkandarasi wa Uwanja wa Ndege Chato, Mayanga Construction (Steven Makigo), ni mme mwenza wa Magufuli, wameoa nyumba moja. Mme mwenza aliambiwa jenga uwanja! Mpwa (Doto James) akaambiwa toa hela!

KUMI: Kiwanja kimoja tu cha ndege kimejengwa na Mkoloni, Mwingereza, kile cha Air Wing, Ukonga. Nyerere alijenga Kilimanjaro na wakaendela kujenga vingine vyote nchini, Magu si Mtanzania wa kwanza kujenga uwanja wa ndege.

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------

WHAT'S THE POINT?
Anasema, wakati wote huu inajengwa hiyo miradi toka uhuru, airports, mbuga, reli, mabwawa ya umeme, mabarabara, hakuna Mtanzania aliyenyanyapaliwa, aliyeuawa kwa pressure ya kutishwa, kuhamishwa, kubambikwa kodi, kupigwa, kutiwa kizuizini miaka 5, au kumiminiwa risasi kwa kuhoji miradi au kwa kigezo kwamba nawaletea maendeleo.
Duuh.. afu jiwe anajiita mzalendo!!!
 
Misukule ya lumumba mnashiba sn.... Lazima mjiharishie
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
 
Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
We ng'ombe japo ni msukule wa lumumba lkn hayo yote yanawahusu watu wa Mbarali na yanawahusu watz wote ikiwemo ww buku 7......
Piga spana Mh Tundu Antipas Mugway LISSU
 
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Usijifanye ww ni msukule mkuu wa lumumba..... Sikiliza mikutano yake yote anamwaga sera haijawahi tokea ambazo hata nyie mliokosa maarifa mnaziiga........
Piga spana Mh Tundu Antipas Mugway LISSU
 
Back
Top Bottom