Anawaelimisha jinsi Kodi zao zinavyotafunwa na mafisadi wa awmu hiiYanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawaelimisha jinsi Kodi zao zinavyotafunwa na mafisadi wa awmu hiiYanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Ni kachumbali ya sera,nyie wezi lzm muanikweNauliza hayo mambo kumi ndizo sera za Chadema? Mimi sioni sera hapo
Sera mpya.ni lazima zijibu matatizo yaliyopo. Lazima watu wajue kwa nini kuna haja ya kuwa na uongozi mpya, sera mpya na sheria mpya. Kwa hiyo cha kwanza, ni lazima kasoro zianikwe wazi kwanza.Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Hizo sera unazifafanua wapi kama siyo kwenye midahalo na kampeni?Hiki siio kipindi Cha midahalo Ni kipindi Cha kampeni tu Cha kunadi sera kwa wananchi na kuomba kura kwa wapiga kura
Hapo tu kwenye mkutano kashindwa kunadi seraHizo sera unazifafanua wapi kama siyo kwenye midahalo na kampeni?
Sent using Jamii Forums mobile app
point ni 3 tu comrade:Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Hizo ndio sera za CHADEMA?point ni 3 tu comrade:
1. chini ya awamu ya 5, kuna viashiria vya grand corruption, tena sehemu ambayo haikutarajiwa kabisa
2. chini ya awamu ya 5, kuna viashiria vya nepotism
3. hakuna jipya ambalo awamu ya 5 inalifanya ambalo halijawahi kufanywa na awamu zilizopita. so, awamu hii isinyanyase watu kwa kisingizio cha eti kufanya mambo mapya!
niongeze volume??
Ndio uzuri wa demokrasia. Siri nje nje!MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA
MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro), Hale (Tanga), Nyumba ya Mungu (Kilimanjaro), Pangani (Tanga), Rusumo (Kagera), Songwe (Mbeya), Kikonge(Ruvuma)
TATU: Wakati wa uhuru kulikuwa na mbuga moja tu, ya Serengeti, iliyotengwa na Mkoloni. Nyingine zote zilianzishwa kwa amri za marais kwa kuhamisha watu, hizi za Magufuli wanahamisha wanyama, wanawapeleka Chato ambako naturally hakuna mbuga, hakuna wanyama. Na wanapounda mbuga mpya wanaingilia maeneo ya watu na hawawalipi fidia, wanasababisha maafa na migogoro ya ardhi.
NNE: Daktari muanzilishi wa Hospitali ya Masana Mbezi, Dar es Salaam, alikufa kwa pressure baada ya kukutwa na mashine alizonunua kwenye mnada wa vifaa chakavu, Muhimbili, akasahau kufuta zile alama za MUHIMBILI MKWAJU SERIKALI MKWAJU HOSP MKWAJU RUFAA MKWAJU TAIFA MKWAJU MOJA SIFURI MBILI MKWAJU.... Alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi isiyo na dhamana, akafa na pressure halafu wakakuta ni kweli alinunua Muhimbili.
TANO: Mbunge wa CCM, Salim Hassan Abdullah Turki, amekufa na pressure baada ya kubambikwa madai ya kodi ya mabilioni. Mheshimiwa Turki ndie aliyekodi ndege ya kumpeleka Tundu Lissu Nairobi akiwa mahututi. Hii Tundu Lissu amesema ameambiwa na familia ya marehemu.
SITA: Mtoto wa Dada yake Magufuli, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake alipopata Urais; Na kwamba, sasa hivi kuna watu wawili tu nchi hii, Doto James na mjomba wake, ambao wanajua hela za kununua ndege na za Bwawa la Rufiji ni shiing ngapi na zimetoka wapi.
SABA: Familia ya Mwinyi, Mkapa kila mmoja anamiliki eka 60,000, Sumaye 45,000 za ardhi ambazo awali zilikuwa mashamba ya serikali kabla ya kujimilikisha wakiwa marais na wa mawaziri wakuu
NANE: Miaka saba baada ya kuwa tushapata uhuru, Nyerere aliandika kitabu kuelekezea kwamba bado tunahitaji uhuru licha ya kuwa tulishawaondoa wakoloni, kinaitwa Uhuru na Maendeleo
TISA: Mkandarasi wa Uwanja wa Ndege Chato, Mayanga Construction (Steven Makigo), ni mme mwenza wa Magufuli, wameoa nyumba moja. Mme mwenza aliambiwa jenga uwanja! Mpwa (Doto James) akaambiwa toa hela!
KUMI: Kiwanja kimoja tu cha ndege kimejengwa na Mkoloni, Mwingereza, kile cha Air Wing, Ukonga. Nyerere alijenga Kilimanjaro na wakaendela kujenga vingine vyote nchini, Magu si Mtanzania wa kwanza kujenga uwanja wa ndege.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
WHAT'S THE POINT?
Anasema, wakati wote huu inajengwa hiyo miradi toka uhuru, airports, mbuga, reli, mabwawa ya umeme, mabarabara, hakuna Mtanzania aliyenyanyapaliwa, aliyeuawa kwa pressure ya kutishwa, kuhamishwa, kubambikwa kodi, kupigwa, kutiwa kizuizini miaka 5, au kumiminiwa risasi kwa kuhoji miradi au kwa kigezo kwamba nawaletea maendeleo.
hayo hayahitaji sera - ni kuyaondoa tu ifikapo 28 October!!Hizo ndio sera za Chadema?
Lazma utakuwa Robot si bureYanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Una uhakika au unapiga ramli? Hakuna mkutano ambao Tundu Lisu hajanadi sera.Hapo tu kwenye mkutano kashindwa kunadi sera
Mtu n mjomb wake wanatafuna tu hazina. Wewe huku unatetea tu ujinga kwa sababu ya ujira badala ya kuliangalia Taifa. AmkaYanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Sera ndo izo unafikiri sera ni niniKageuza mkutano wa kampeni kijiwe Cha story badala ya kunadi sera
Toka mwanzo Hadi mwisho wa hizo point kumi Ni story tu hamna Cha sera Wala nini
Sisi tunataka ushindi haijalishi tunanadi sera au tunafunua nyeti za mtu. Kikubwa tunaongea kile wananchi wanatamani kusikia.Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Kabisa mkuu, Ila hatukutegemea kama kuna mtu anaweza kumkosoa jiwe hadharani maana tuliaminishwa kuwa yeye ndio Rais bora kuliko wengine. CCM oyeeMimi huwa nasema Lisu atatia aibu kuliko wagombea wote waliowahi kugombea urais kupitia chadema!