Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Ngoja niguse hizo mbili tatu nyingine wataelezea wengine maana tupo milioni 60

Si kweli Kwamba standard gauge railways zipo hapa bongo toka uhuru

Labda niweke tu sawa hapa reli aliyoijenga magufuli treni yake inatembea 160km/saa yani Dar mwanza masaa 8 kama ipo ya namna hiyo hapa bongo kabla ya magufuli kuijenga nikosolewe, additionally train za reli hii zinatumia umeme na diesel kitu ambacho hakijapatapo kuonekana kunako anga la Tanzania

Pili hiyo miradi ya mabwawa ya kifua umeme uliyoitaja yote combined inatengeneza megawat ngapi?

Kwa taatifa yako mradi wa kuzalisha umeme wa bwawa la nyerere ndio mradi mkubwa wa kufua umeme afrika mashariki na kati na nchi zote za southern sahara kwa kuzalisha megawat 2115 ambazo hivyo vidimbwi vyoye mkuu wako lisu alivyovitaja havifikii hata nusu ya uzalishaj wa bwawa la nyerere

Tatu hata bush aliandaliwa na baba yake kwenye system ya urais wa marekani, mke wa clinton aliwekwa kwenye system na mumewe just to mention few, wewe unateseka nini kuona mtu mwenye nasaba na rais magufuli kwenye dystem ys uongozi?
 
Thanks!
Kwa ujumla ufahamu wa Lissu uko chini sana! Ndo maana nimekuwa nikiuliza anataka kuwa rais wa aina gani? Rais wa kurekebisha sheria tu, au ana maono gani kuhusu Kilimo, Elimu, Afya, sayansi? Hana uwezo ila basi tu amejaliwa kukosa aibu.

Ukiwauliza wanakwambia soma ilani. Ilani ina taarifa utadhani kitabu cha matukio yajayo!
Akili yako inakutosha wewe na familia yako.
Kwani magufuli amesomea hayo yote?
Nini maana ya kuwa na wataalam?
 
Mzukule wa DJ acha jazba....
Endeleeni kumtajirisha mzee wa ruzuki

kinachoniboa ni kujua kuwa Mwenye chama ni Afisa Mstaafu ambaye ana kiapo cha kutoisaliti serikali.... Na DJ pia ni Afisa Kipenyo....

Nyumbu mkali... nani alizuia maandamano makubwa ya mageuzi UKUTA?? DJ

kuwa na wafuasi msio waza kama wewe na wenzako ni kikwazo cha maendeleo na demokrasia Tanzania..

Heri CCM mbaya kuliko kuwa muumini wa taasisi ya kinafki..

kalagabao... jazba jingi wenzako wanagawana ruzuku.... Atleast nafagia ofisi za chama nalipwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Viva Magu
We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....

Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
nani aliuawa kwa kupinga maendeleo kwenye historia ya dunia

hebu tueleze
Jaribu google utaona waliyouwawa kwa kupinga maendeleo- nchi mbali mbali duniani. Tatizo humu Jmaiiforum wengi vijana ni vilaza form four zero na karibu na zero au form six zero au karibu na zero. Wengi ni spoon feeding kama walivyozoea kwa wazazi wao kuletewa kila kitu mpaka chupi ya ndani ananunuliwa na mama au baba yake. zero kabisa.
 
Nani alipinga maendeleo ? Jibu swali!

Eti jaribu google! Wewe ndio umetoa bizarre claims kwamba watu waliuawa kwa kupinga maendeleo, kwa nini mimi ndio nijaribu google kukutafutia ushahidi? Sema, nani alipinga maendeleo?

Unajisemea tu, watu hawajasoma shule vizuri, haya wewe msomi, substantiate your wild and woolly claim. By the way, ni "wengi ni spoon fed," sio "wengi ni spoon feeding," Mr. Kisomo Kirefu.
 
Yani chadema bna, wanalalamika ccm imenunua ndege wakati huo huo wanapanda hizo ndege[emoji23][emoji23] muwe mnaenda mikoani na mabasi
Lissu amepanda hizo ndege ?

Sasa hayo ynatuhusu nn wananchi ambao hatuna maji mbalali Hapa,,, nilikua kweny huu mkutano hkuna Cha maana alichoongea,,,
Kama umezoe spichi za kuahidiwa kujengewa visima tu ni vigumu kuona cha maana alichoongea

nilisema yale ni mambo mapya ambayo sijawahi kumsikia mtu akiyasema. Ya ahadi za visima tumeyasikia toka enzi na dahari
 
Mzukule wa DJ acha jazba....
Endeleeni kumtajirisha mzee wa ruzuki

kinachoniboa ni kujua kuwa Mwenye chama ni Afisa Mstaafu ambaye ana kiapo cha kutoisaliti serikali.... Na DJ pia ni Afisa Kipenyo....

Nyumbu mkali... nani alizuia maandamano makubwa ya mageuzi UKUTA?? DJ

kuwa na wafuasi msio waza kama wewe na wenzako ni kikwazo cha maendeleo na demokrasia Tanzania..

Heri CCM mbaya kuliko kuwa muumini wa taasisi ya kinafki..

kalagabao... jazba jingi wenzako wanagawana ruzuku.... Atleast nafagia ofisi za chama nalipwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Viva Magu
Acha uzwazwa mkuu....

We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....

Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
Vipofu wanaona... viwete wanatembea[emoji3][emoji3]

Viva JPM 2020 to 2030
Acha uzwazwa mkuu....

We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....

Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
Sera sio tu kusema utafanya nini, kukosoa uozo kama huo ni sera nzuri pia, UNAYO MAARIFA WEWE KICHWANI, YATUMIE KWA FAIDA!!

MITANO KWANZA, √
MITANO TENA, X
 
Sera ni kukomesha ufisadi wa serikali ya Magufuli

Unaonaje sera ya Mbowe kukwangua hela yote ya CHADEMA kwa udanganyifu wa aina mbalimbali kama vile: kuikopesha CHADEMA, kununua magari ya chama kwa pesa yake asiyokuwa nayo, kuwafisadi wabunge wa kuteuliwa kwa jina la mfuko wa chama huku zikiliwa na utawala wa chama, na mengine! Kila mwaka Mbowe anavuna mabillioni toka CHADEMA. Sehermu kubwa ya ruzuku huenda kumrudisha Mbowe! Sijui mwaka huu atadai ameikopesha CHADEMA kiasi gani, huku inajulikana mkopo wa kuendesha kampeni kwa Lissu umetoka Ubelgiji ili akishinda awakodishe migodi (unadhani alisema bure au kwa bahati mbaya atakodisha migodi) migodi wakate mkpo. Sijui hajui historia ya Ubelgiji huko DRC. Matatizo yote ya DRC ni kwa sababu ya Ubelgiji, naona Lissu naye anataka TZ iwe kama DRC.
 
Back
Top Bottom