Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Bana Ba kongo Mutu ya watu
 
Congo ni nchi ya pili kubwa barani Aafrika.ifani na saizi ya Ulaya ya Magharibi.

Koffi Olomide wa Congo anabaki kuwa msanii pekee ulimwenguni kujaza kumi 3 nchi ufaransa ndani ya miezi 9 zenith, Bercy, Olympia

Naomba unifafanulie tena, kwenye hizo bold sijaambulia kitu, Kiswahili kimenipiga chenga. Ikiwezekana ukatafsiri hata kwa kiingereza nitafurahi zaidi!
 
Hiyo namba 5 imenifanya nicheke saana.
 
Mgogoro wa jimbo la kremria unauchukulije ??
Sio kuchezewa kule?
Inshort Congo ni kubwa jinga,Russia ina utajiri wa Maliasili kuliko almost nchi yoyote duniani na haichezewi chezewi.
 
Mgogoro wa jimbo la kremria unauchukulije ??
Sio kuchezewa kule?
Crimea si Urusi amechukua jimbo kibabe kutoka Ukraine na imekua ardhi yake(Urussi).

Sasa hapo Urussi amechezewaje?
 

Andka hayo ukchunguza nchi yako mkuu
 
Ndio nchi wanaume wanajichubua,pia ndio nchi no.1 wanaume kupenda kulelewa

Vipi mkuu kuhusu swala la wahindi wanaume kuwekewa mahari
Na nais utakuwa umesahau tz ndio nchi pekee wanawake kucheza uchi mtaani
 
Hiyo no 5 sikubaliani nayo, nenda South Sudan au Central Africa ukajionee
 
Coltan haisaidii kuendeleza teknolojia duniani,ni component tu,Ali na Foreman wote walikuwa USA citizens hakuna aliyetokea Congo kati yao. Next time uwe specific kwenye Congo kwa sababu zipo nchi mbili zenye majina ya congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…