Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

yes yes no mara waaaaa nyie tupendeni tu babuuuuu,,tumeumbwa kwaajili yenu😌
Hakika Mjukuu, maisha yafaa nini bila ninyi.

Mimi nikiambiwa chagua fedha ama ninyi, nitachagua ninyi 😜
 
Hakika Mjukuu, maisha yafaa nini bila ninyi.

Mimi nikiambiwa chagua fedha ama ninyi, nitachagua ninyi 😜
Sasa wewe utaishi maisha marefu yenye furaha 🀣🀣🀣 sio watu humu wanajitia ushababi wanashindana na mwanamke πŸ˜…πŸ˜… they will end up be miserable in their whole life. Maisha/kuishi na watu ni michezo ya akili sio miguvu na ujuaji.
 
Jambo la kushauriwa na mke lina element nyingi za interest zake binafsi.
Sidhani kama ni sahihi, mpe nafasi mshauriane ukiona anachokushauri hujakipenda mpe facts kwanini unakataa Ushauri wake.

Lakini haifai Mipango yenu ya maendeleo ya familia usimshirikishe Mkeo badala yake ukamshirikishe mtu baki.
 
Na iwe hivyo Mkuu, maisha yenyewe ndiyo haya haya

Let's enjoy it to the fullest πŸ€—
 
Sidhani kama ni sahihi, mpe nafasi mshauriane ukiona anachokushauri hujakipeda mpe facts kwanini unakataa Ushauri wake.

Lakini haifai Mipango yenu ya maendeleo ya familia usimshirikishe Mkeo badala yake ukamshirikishe mtu baki.
Mke mshirikishe ila kuwa makini na ushauri anaokupa.
 
Babuuuu babuuuuu hapa umenipiga kamba nzito sana
Hahaha...............huamini Mjukuu?πŸ˜…

ukija kunisalimia Mwezi December, niletee hela halafu uniambie nichague ukae Siku zote 28 za Likizo ama unipe hela za Kiko uondoke baada ya Siku 1.

Nitakwambia usinipe hela ya Kiko ila ukae na Mimi Babu yenu Mwezi mzima 😜
 
Mke mshirikishe ila kuwa makini na ushauri anaokupa.
Ni sahihi Mkuu, naunga mkono hoja yako

Ni lazima kuchuja Ushauri unaopewa

Kumbuka kisa cha kwenye Biblia, kuhusu Mke wa mfalme kudai zawadi ya kichwa cha mtume Yohana badala ya zawadi nyinginezo ya dhahabu n.k
 
babu unazeeka ila swaga zinazid kurudi ujanani,πŸ™„we mzee weweeee
 
Naam!!
 
Ujumbe mzuri Sana
Kama wanaume watakuwa n mambo haya ndo nying zitadumu na mahusiano mengi yatadumu
 
Ujumbe mzuri Sana
Kama wanaume watakuwa n mambo haya ndo nying zitadumu na mahusiano mengi yatadumu
Vipi Mkwe wetu hajaanza kusumbua?

Au ametulia kama sisi Wazee wake 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…