Sipendi kukopa au kuwa na madeni yasiyo na tija,,,, Mimi ni mfanyabiashara, mfugaji pia mkulima kuna namna tumetengeneza maisha yetu na mwenzangu yani hatuna sababu na Mimi sina sababu ya kuwa na vikoba au madeni.....Hupendi kukopa ama hupendi madeni tu?
Hapana ni mfumo tu wa maishaUmeolewa na mwanaume mwenye mihela kweli kweli
Hongereni MjukuuSipendi kukopa au kuwa na madeni yasiyo na tija,,,, Mimi ni mfanyabiashara, mfugaji pia mkulima kuna namna tumetengeneza maisha yetu na mwenzangu yani hatuna sababu na Mimi sina sababu ya kuwa na vikoba au madeni.....
Nina madeni ya Kilimanjaro lager tu.
Na yee mwenyewe si swala tanoHahaha...............Sadio Mane amejiopolea kitu sealed kabisa kile 😅
Maandiko yapi kuna Mungu Mkuu mmoja tu na hajaandika chochoteHiyo kutokuoa umeitoa wapi wakati Imani zote zinahamasisha mtu Mume na mtu Mke Kuoana ili kujenga familia moja?
Bhana eeh wewe elewa kuoa ni uamuzi wa kipuuzi tu, hivi unajua wanawake wote ni mashetani wanyonya damuHuko uliposoma kwamba Kuna Mungu Mkuu mmoja, wametoa maagizo kwamba watu wasioane?
Hongereni Mjukuu
Kwenye haya maisha, ili upate nafuu unatakiwa kutengeneza mrija wako ambao at any means uwe unakuingizia mia mbili mbili
Madeni sio mazuri, ila wakati mwingine tunalazimika kukopa ili kuongeza mitaji na biashara.
Weekend nitakucheki unikopee na Mimi hilo deni la Kilimanjaro Lager, itapendeza kama litaenda sambamba na mdudu k
Hongereni Mjukuu
Kwenye haya maisha, ili upate nafuu unatakiwa kutengeneza mrija wako ambao at any means uwe unakuingizia mia mbili mbili
Madeni sio mazuri, ila wakati mwingine tunalazimika kukopa ili kuongeza mitaji na biashara.
Weekend nitakucheki unikopee na Mimi hilo deni la Kilimanjaro Lager, itapendeza kama litaenda sambamba na mdudu kilo 🤗
Asante babu haina shida wikiend hiyo unakuja.Hongereni Mjukuu
Kwenye haya maisha, ili upate nafuu unatakiwa kutengeneza mrija wako ambao at any means uwe unakuingizia mia mbili mbili
Madeni sio mazuri, ila wakati mwingine tunalazimika kukopa ili kuongeza mitaji na biashara.
Weekend nitakucheki unikopee na Mimi hilo deni la Kilimanjaro Lager, itapendeza kama litaenda sambamba na mdudu kilo 🤗
Unakosea, tatizo mnachagua manyonya damu na wakisha wakamua mnasingizia wote tuko hivyoBhana eeh wewe elewa kuoa ni uamuzi wa kipuuzi tu, hivi unajua wanawake wote ni mashetani wanyonya damu
Pole sana Mkuu, seems umewahi kuumizwa ama umewahi kushuhudia ndugu yako wa karibu akiumizwa na hao Wanawake.Bhana eeh wewe elewa kuoa ni uamuzi wa kipuuzi tu, hivi unajua wanawake wote ni mashetani wanyonya damu
Unaniangusha babu inatakiwa tumalize kreti. Ntakuandalia ka jukuu ka kukushika mkono ukilewaNgoja niandae mtu wa kunirudisha nyumbani nikilewa, maana nikifikisha beer ya 6 tu nitaanza kuongea Kiinglish.
Ukiona hivyo ujue tayari, Mzee wenu nimeshalewa 😜
Amini wanawake wote ni mashetani wanyonya damu, endelea kuwaaminiPole sana Mkuu, seems umewahi kuumizwa ama umewahi kushuhudia ndugu yako wa karibu akiumizwa na hao Wanawake.
Ila sio Wanawake wote wapo hivyo, jaribu kumshirikisha Mungu kwenye hilo
Kama una hiyo hulka, basi mkeo aijue mapema kabla hamjaingia kwenye ndoa.Mpira siwezi angalia home
Huyu wa saivi kanikuta hivo na kashanizoea.Kama una hiyo hulka, basi mkeo aijue mapema kabla hamjaingia kwenye ndoa.
Kwamba tangu mkiwa wapenzi, awe anajua kwamba mpira unaenda kuangalia Baa.
Kuna jamaa angu mmoja, anafanya kazi mikoa tofauti na alipo mkewe, Kila Siku ana ratiba ya kwenda kunywa beer hadi saa 6 usiku.
Ikitokea hajaenda, Mkewe anampigia Siku kumuuliza kwanini hujaenda leo kunywa.
Mkifahamiana vyema, inapendeza zaidi