Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Tatizo hapa linaanza kwa Mke mwenyewe, huo ushauri anauwasilishaje; ukiona mwanamke akitoa ushauri asikilizwi ujue basi Kuna tamaduni ya kutoa ushauri na mambo yakienda kushoto zinakuja lawama pia, utasikia "nilisema", "nilijua" na kadhalika na kadhalikaKutokusikiliza, hii kitu ni common sana kwa wanaume wengi sijui kwanini.
Mke akikuambia au kushauri jambo walaaaa hauna muda kabisa, uko tayari kumsikiliza na kufanyia kazi ushauri wa stranger ila sio mke.
Grahams uko wapi nije, sina salio la kukupigia nakufata.
Kwa bahati mbaya wanawake wengi sio watendaji lakini waongeaji