Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Kutokusikiliza, hii kitu ni common sana kwa wanaume wengi sijui kwanini.

Mke akikuambia au kushauri jambo walaaaa hauna muda kabisa, uko tayari kumsikiliza na kufanyia kazi ushauri wa stranger ila sio mke.

Grahams uko wapi nije, sina salio la kukupigia nakufata.
Tatizo hapa linaanza kwa Mke mwenyewe, huo ushauri anauwasilishaje; ukiona mwanamke akitoa ushauri asikilizwi ujue basi Kuna tamaduni ya kutoa ushauri na mambo yakienda kushoto zinakuja lawama pia, utasikia "nilisema", "nilijua" na kadhalika na kadhalika
Kwa bahati mbaya wanawake wengi sio watendaji lakini waongeaji
 
Ukiangalia hayo yote uliyoyaandika ni faida kwa Mwanamke,ndio maana wanasema ndoa ni gereza kwa Mwanaume.
 
Wanawake walio wengi either amesoma au hajasoma upeo wao ni zero,Mwanaume aliye kamilika hawezi kusikiliza ushauri wa Mwanamke akaufanyia kazi.
Binafsi yangu siwezi,labda ule ushauri wa leo nikupikie chakula gani.
 
Babuu hii mada inanihusu hadi mimi..
,😂😂😂😂😂
Kumbe na wewe upo kwenye Ndoa?

Hongera sana dogo Mkuu, jitahidi kuto -mess-up

Unaweza kuwa umejenga wewe nyumba, lakini ukatimuliwa na kuambiwa nenda kalale huko huko Kwa aliyekunyoa 😜
 
Wanawake walio wengi either amesoma au hajasoma upeo wao ni zero,Mwanaume aliye kamilika hawezi kusikiliza ushauri wa Mwanamke akaufanyia kazi.
Binafsi yangu siwezi,labda ule ushauri wa leo nikupikie chakula gani.
Nakataa kuhusu hilo, hivi hujawahi kudate Mwanamke smart?

Sio Kila atakachokushauri kitakuwa hakina maana, Wanaume tumekuwa kama Rais wa Tanzania, unashauriwa lakini sio lazima ufanyie kazi Ushauri wake.

Japo unatakiwa kutumia busara kuukataa Ushauri wake
 
Ukiangalia hayo yote uliyoyaandika ni faida kwa Mwanamke,ndio maana wanasema ndoa ni gereza kwa Mwanaume.
Ndoa sio jela Kwa yeyote, Muhimu unatakiwa kuiheshimu.

Mkishindwana, mahakama si zipo ili kuwaachanisha kisheria.
 
Tatizo hapa linaanza kwa Mke mwenyewe, huo ushauri anauwasilishaje; ukiona mwanamke akitoa ushauri asikilizwi ujue basi Kuna tamaduni ya kutoa ushauri na mambo yakienda kushoto zinakuja lawama pia, utasikia "nilisema", "nilijua" na kadhalika na kadhalika
Kwa bahati mbaya wanawake wengi sio watendaji lakini waongeaji
Kiasili Wanawake hawawezi kufanya maamuzi magumu, isipokuwa Wanaume.

Changamoto utekeleze jambo ambalo Mkeo alikushauri, ila ukaupotezea Ushauri wake, kisha mambo yaharibike.

Hapo hauwezi kukwepa lawama zake.

Ila wito wangu, tusiache kuwashirikisha wake zetu Mipango na mengi tuyafanyayo.

Hata kama unaweza kumwona ni useless anaweza kukufaaa.

Waswahili tuna msemo wetu kwamba hata saa mbovu, Kuna wakati husema sahihi
 
Naunga mkono hasa hapo kwenye kunyoa vuzi na kuvaa chupi mpya
Sahihi kabisa, hiyo ya kuvaa chupi mpya wanafanya zaidi Wanawake hasa wanapokuwa wanachepuka wakiwa makazini.

Au hapo kwenye parking za Mlimani city, baada ya hapo anaenda zake washroom kubadirisha chupi 🙌
 
Kiasili Wanawake hawawezi kufanya maamuzi magumu, isipokuwa Wanaume.

Changamoto utekeleze jambo ambalo Mkeo alikushauri, ila ukaupotezea Ushauri wake, kisha mambo yaharibike.

Hapo hauwezi kukwepa lawama zake.

Ila wito wangu, tusiache kuwashirikisha wake zetu Mipango na mengi tuyafanyayo.

Hata kama unaweza kumwona ni useless anaweza kukufaaa.

Waswahili tuna msemo wetu kwamba hata saa mbovu, Kuna wakati husema sahihi
Sasa mtu unamfungulia Duka linakufa
Unasema umpe mtaji wa genge linakufa
Unasema umfungulie kamradi ka chipsi akusaidie kusukuma gurudumu la maisha nayo unakuta

Kuna ushauri hapa ndugu yangu?
 
Pole sana Mkuu, Mke wa hivyo ni changamoto.

Ungejaribu kumuuliza ni biashara ipi angependa, huenda ungemfungulia biashara ya Saluni ya kike angefanya vizuri.

Pamoja na changamoto hiyo aliyonayo, huenda akawa mlezi mzuri wa watoto hivyo usiache kumpa nafasi ya kukushauri upande huo
 
Back
Top Bottom