Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sio lazma hata litoke kwa mwanamke, linaweza toka kwa marafiki wa kiume, washkaji ila inakera..... Afu ukute unashauri jambo la maana ila linapigwa kikono 😹😹😹Kufanya hivyo, Wanaume tunakosea sana.
Mbaya zaidi Mke ajue kwamba wazo mnalotekeleza ndani limetoka Kwa nyumba ndogo, ugomvi wake sio wa Nchi hii.
Umesema unataka kuja nilipo, njoo barabara ya Sam Nujoma upande wa kushoto kama unaelekea Mwenge, utamkuta Mzee wa Makamo anafanya mazoezi ya Jioni, ndiye Mimi huyo 🤗
Usema kweli inakera balaaa