Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani

1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.

2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.

3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani

4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.

5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi

6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.

7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.

Asante mama kwa utu.
 
AMEYAFANYA MENGI SANA TENA MAKUBWA,NI JUKUMU LA WAPINZANI KUWA WAKOAJI NA NI HAKI YAO,LAKINI KWA ALIYOFANYA INAPELEKEA HATA WAPINZANI NAO KUKOSA HOJA ZA MSINGI ZA KUPAMBANA NAE.
 
Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani

1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.

2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.

3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani

4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.

5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi

6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.

7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.

Asante mama kwa utu.

Kazana kuandika
 
Mama ni mfano wa kuigwa kabisa.
 
Mpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.

Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.

Mama anafanya makubwa jaamni.

Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.

1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt

2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.

3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm

4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.

5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo

6. Ajira za kumwaga zipo
 
Magufuli ingawa hatukumoenda lkn alitumwa km masihi kuja kusafisha Nchi,Mama asingeweza kudai vyeti vya form 4, ni Magufuli tu alileta nidhamu moaka maofisini, Mawaziri wangapi hawana vyeti vya f4?
 
It a very trivial and minor issue. Nchi haindeshwi vile. Kuwa na cheti feki ni wekness ya serikali na necta hivyo anagepambana kuweka mifumo sawa tu tatizo lisijotokeze tena.

Ona sasa alivyolifanya zoezi likawa na double standards. Wanajeshi wengi hawana vyeti na wengi hawajui kusoma na kuandika lakini hakuwagusa kabisa.
 
JPM alikufanyeje we jambazi? kila muda magu muache apumzike
 
  • Thanks
Reactions: IIS
Back
Top Bottom