Nadhani chawa ama vyawa, mnalipwa vizuri sana ndiyo maana hamchoki kukesha mitandaoni kusifia upumbaf.
Mfano:
'Miradi ya Magufuli yote kamaliza' wakati Waturuki waliukimbia mradi baada ya kuanza dana dana za malipo na mradi wa Sgr hata Singida haujavuka, pamoja na miradi mingine mingi inayosua sua kumalizika kwake.
Wanasiasa wanvyozuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa wee hauoni, upo nchi za nje?
Watu wanatekwa na kuuawa, walengwa wakuu wakiwa ni wanasiana!
Mengine sikutaja kuendelea kupoteza muda wangu kuyachambua, ila elewa kuwa waTz wana hasira naye sana huyu mama.