Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

Ajira za kumwaga zipo wapi kiongozi? Au nawe ndugu yake Lukasi sio?

Kwamba vyama tofauti na CCM vinaruhusiwa kufanya taratibu zao za kisiasa kwa amani sio? Juzi Mbeya unajua kimetokea nini?

Biashara zipi zinafanyika usiku na mchana(unazungumzia ukahaba au biashara gani hapa?).Unakumbuka migomo ya wafanyabiashara miezi kadhaa iliyopita?shida ilikuwa nini?

Sema nini wewe na Lukasi akili zenu hovyo kabisa
 
Umejibu vema sana. Kiufupi CCM ni ileile. Subiri miaka mitano ambayo haina cha kupoteza ndio tutaona mengi. Sasa hivi tetawatu wapo kwenye kampeni. Wajinga ndio watahadaiwa
Kizimkazi ana madhaifu yake lakini hana udikteta
 
It a very trivial and minor issue. Nchi haindeshwi vile. Kuwa na cheti feki ni wekness ya serikali na necta hivyo anagepambana kuweka mifumo sawa tu tatizo lisijotokeze tena.

Ona sasa alivyolifanya zoezi likawa na double standards. Wanajeshi wengi hawana vyeti na wengi hawajui kusoma na kuandika lakini hakuwagusa kabisa.
tusimzungumzie marehemu post inasema Mama kaioaisha, je ajira zipo? utekaji.jaukomi, Tarimo katejea hotelink kazi ni ukabila na kujuana bora wakati wa Shetani Nchi ilikuwa na nidhamu na woha
 
Mpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.

Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.

Mama anafanya makubwa jaamni.

Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.

1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt

2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.

3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm

4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.

5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo

6. Ajira za kumwaga zipo
Hivi bila kumuongelea vibaya marehemu Jpm hamjisiki furaha kwenye maufisadi yenu mnayoyafanya sasahivi embu muacheni mzee wa watu apumzike hata nyie mtamfuata
 
Aibu naona mie Mtanganyika.
Hebu tuwekee ile speech ya G20 ya dk 4, tuone wenyeji walikuwa wapi wakati inatolewa
 
Mpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.

Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.

Mama anafanya makubwa jaamni.

Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.

1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt

2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.

3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm

4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.

5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo

6. Ajira za kumwaga zipo
Nashindwa kukupa like maana badala kuongea irreputable facts, unaandika mambo usoyokuwa na uhakika nayo.
Hili la ajira za kumwaga ziko wapi?
 
Ajira za kumwaga zipo wapi kiongozi? Au nawe ndugu yake Lukasi sio?

Kwamba vyama tofauti na CCM vinaruhusiwa kufanya taratibu zao za kisiasa kwa amani sio? Juzi Mbeya unajua kimetokea nini?

Biashara zipi zinafanyika usiku na mchana(unazungumzia ukahaba au biashara gani hapa?).Unakumbuka migomo ya wafanyabiashara miezi kadhaa iliyopita?shida ilikuwa nini?

Sema nini wewe na Lukasi akili zenu hovyo kabisa
Chagua Moja kati ya Jiwe au Kizimkazi
 
Ajira sector binafsi. Mafano yale mabank yaliyofungwa kama efata banak nk yanafanya kazi hivyo yameajiri. Matajiri waliokimbia nchi wamerudi hivyo wameajiri. Hoteli zilizofungwa zinafanya kazi hivyo zimeajiri. Siasa zilizokatazwa watu wanafanya siasa hivyo ajira kama mdude. Magazeti yaliyofungwa kama mawio, tanzania dqima sasq yanaganya kazi na yameajiri nyomi. Nj nk nk nk
 
Mpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.

Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.

Mama anafanya makubwa jaamni.

Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.

1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt

2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.

3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm

4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.

5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo

6. Ajira za kumwaga zipo
Wewe utakuwa miongoni mwa wale wenye VYETI FEKI ukakutana na Mwamba, kudadadeki
 
Yani Rais wako anahutubia watu wanakula SI dharau hizo
 
Ajira sector binafsi. Mafano yale mabank yaliyofungwa kama efata banak nk yanafanya kazi hivyo yameajiri. Matajiri waliokimbia nchi wamerudi hivyo wameajiri. Hoteli zilizofungwa zinafanya kazi hivyo zimeajiri. Siasa zilizokatazwa watu wanafanya siasa hivyo ajira kama mdude. Magazeti yaliyofungwa kama mawio, tanzania dqima sasq yanaganya kazi na yameajiri nyomi. Nj nk nk nk
Sawa kiongozi nimekuelewa kwa shida, ukipata muda tafuta watu waliosoma Linguistics kuna course nadhani wanaita editing and proofreading itakusaidia kwa wakati huu.

Nani alikuwa mkimbizi(tofauti na wakimbizi wa kisiasa)ambaye karejea nchini?

Hivi wewe na Lukasi ni ndugu sio?
 
Hivi Kuna Mradi wowote tangible uliotekelezwa awamu hii mnaoweza kutuonesha zaidi ya Royal Tour?
 
Mpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.

Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.

Mama anafanya makubwa jaamni.

Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.

1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt

2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.

3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm

4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.

5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo

6. Ajira za kumwaga zipo
No 6,ajira za kumwaga zipo.Makofi Kwa mama tafadhal
 
JPM alikuwa mtu wa hovyo sana, hovyo kabisa
 
Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani

1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.

2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.

3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani

4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.

5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi

6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.

7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.

Asante mama kwa utu.
Tupe faida ya kufungua bureu de change halafu maswali mengine yatafuata
 
Back
Top Bottom