Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani

1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.

2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.

3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani

4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.

5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi

6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.

7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.

Asante mama kwa utu.
Kasi ya utekaji, utesaji na uuaji wa wapinzani imekuwa maradufu ya ile ya mtangulizi wake
 
Tukiendelea kusifia kazi yake. Tupitie na huu uzi
 
Back
Top Bottom