Nyie tarabush mko taabu sana, hamlali. Kila saa Kofia nyekundu tarubushi!! ---zi taipuAMEYAFANYA MENGI SANA TENA MAKUBWA,NI JUKUMU LA WAPINZANI KUWA WAKOAJI NA NI HAKI YAO,LAKINI KWA ALIYOFANYA INAPELEKEA HATA WAPINZANI NAO KUKOSA HOJA ZA MSINGI ZA KUPAMBANA NAE.
Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani
1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.
2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.
3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani
4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.
5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi
6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.
7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.
Asante mama kwa utu.
Namba 3 hadi 5 ni porojo tu hamna lolote.AMEYAFANYA MENGI SANA TENA MAKUBWA,NI JUKUMU LA WAPINZANI KUWA WAKOAJI NA NI HAKI YAO,LAKINI KWA ALIYOFANYA INAPELEKEA HATA WAPINZANI NAO KUKOSA HOJA ZA MSINGI ZA KUPAMBANA NAE.
Mama ni mfano wa kuigwa kabisa.Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani
1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.
2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.
3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani
4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.
5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi
6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.
7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.
Asante mama kwa utu.
It a very trivial and minor issue. Nchi haindeshwi vile. Kuwa na cheti feki ni wekness ya serikali na necta hivyo anagepambana kuweka mifumo sawa tu tatizo lisijotokeze tena.Magufuli ingawa hatukumoenda lkn alitumwa km masihi kuja kusafisha Nchi,Mama asingeweza kudai vyeti vya form 4, ni Magufuli tu alileta nidhamu moaka maofisini, Mawaziri wangapi hawana vyeti vya f4?
Hapana ila kidogo sanaMleta mada nakuuliza. Mambo ya kupotezwa yamekoma? Jibu ndio au hapana
YapoMleta mada nakuuliza. Mambo ya kupotezwa yamekoma? Jibu ndio au hapana