Umejibu vema sana. Kiufupi CCM ni ileile. Subiri miaka mitano ambayo haina cha kupoteza ndio tutaona mengi. Sasa hivi watu wapo kwenye kampeni. Wajinga ndio watahadaiwaYapo
Ila lile jitu la Chato halifai
Liliendesha nchi kama familia
Kizimkazi ana madhaifu yake lakini hana udiktetaUmejibu vema sana. Kiufupi CCM ni ileile. Subiri miaka mitano ambayo haina cha kupoteza ndio tutaona mengi. Sasa hivi tetawatu wapo kwenye kampeni. Wajinga ndio watahadaiwa
tusimzungumzie marehemu post inasema Mama kaioaisha, je ajira zipo? utekaji.jaukomi, Tarimo katejea hotelink kazi ni ukabila na kujuana bora wakati wa Shetani Nchi ilikuwa na nidhamu na wohaIt a very trivial and minor issue. Nchi haindeshwi vile. Kuwa na cheti feki ni wekness ya serikali na necta hivyo anagepambana kuweka mifumo sawa tu tatizo lisijotokeze tena.
Ona sasa alivyolifanya zoezi likawa na double standards. Wanajeshi wengi hawana vyeti na wengi hawajui kusoma na kuandika lakini hakuwagusa kabisa.
Hivi bila kumuongelea vibaya marehemu Jpm hamjisiki furaha kwenye maufisadi yenu mnayoyafanya sasahivi embu muacheni mzee wa watu apumzike hata nyie mtamfuataMpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.
Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.
Mama anafanya makubwa jaamni.
Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.
1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt
2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.
3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm
4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.
5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo
6. Ajira za kumwaga zipo
Nashindwa kukupa like maana badala kuongea irreputable facts, unaandika mambo usoyokuwa na uhakika nayo.Mpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.
Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.
Mama anafanya makubwa jaamni.
Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.
1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt
2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.
3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm
4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.
5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo
6. Ajira za kumwaga zipo
Chagua Moja kati ya Jiwe au KizimkaziAjira za kumwaga zipo wapi kiongozi? Au nawe ndugu yake Lukasi sio?
Kwamba vyama tofauti na CCM vinaruhusiwa kufanya taratibu zao za kisiasa kwa amani sio? Juzi Mbeya unajua kimetokea nini?
Biashara zipi zinafanyika usiku na mchana(unazungumzia ukahaba au biashara gani hapa?).Unakumbuka migomo ya wafanyabiashara miezi kadhaa iliyopita?shida ilikuwa nini?
Sema nini wewe na Lukasi akili zenu hovyo kabisa
hahahaaaMleta mada nakuuliza. Mambo ya kupotezwa yamekoma? Jibu ndio au hapana
Ajira sector binafsi. Mafano yale mabank yaliyofungwa kama efata banak nk yanafanya kazi hivyo yameajiri. Matajiri waliokimbia nchi wamerudi hivyo wameajiri. Hoteli zilizofungwa zinafanya kazi hivyo zimeajiri. Siasa zilizokatazwa watu wanafanya siasa hivyo ajira kama mdude. Magazeti yaliyofungwa kama mawio, tanzania dqima sasq yanaganya kazi na yameajiri nyomi. Nj nk nk nkAjira za kumwaga zipo wapi kiongozi? Au nawe ndugu yake Lukasi sio?
Kwamba vyama tofauti na CCM vinaruhusiwa kufanya taratibu zao za kisiasa kwa amani sio? Juzi Mbeya unajua kimetokea nini?
Biashara zipi zinafanyika usiku na mchana(unazungumzia ukahaba au biashara gani hapa?).Unakumbuka migomo ya wafanyabiashara miezi kadhaa iliyopita?shida ilikuwa nini?
Sema nini wewe na Lukasi akili zenu hovyo kabisa
Wewe utakuwa miongoni mwa wale wenye VYETI FEKI ukakutana na Mwamba, kudadadekiMpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.
Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.
Mama anafanya makubwa jaamni.
Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.
1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt
2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.
3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm
4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.
5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo
6. Ajira za kumwaga zipo
Yani Rais wako anahutubia watu wanakula SI dharau hizoMpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.
Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.
Mama anafanya makubwa jaamni.
Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.
1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt
2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.
3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm
4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.
5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo
6. Ajira za kumwaga zipo
Phd holder niwe na cheti feki tenaa. Mi nina analyse kisomi siyo ushabiki maandaziWewe utakuwa miongoni mwa wale wenye VYETI FEKI ukakutana na Mwamba, kudadadeki
Sawa kiongozi nimekuelewa kwa shida, ukipata muda tafuta watu waliosoma Linguistics kuna course nadhani wanaita editing and proofreading itakusaidia kwa wakati huu.Ajira sector binafsi. Mafano yale mabank yaliyofungwa kama efata banak nk yanafanya kazi hivyo yameajiri. Matajiri waliokimbia nchi wamerudi hivyo wameajiri. Hoteli zilizofungwa zinafanya kazi hivyo zimeajiri. Siasa zilizokatazwa watu wanafanya siasa hivyo ajira kama mdude. Magazeti yaliyofungwa kama mawio, tanzania dqima sasq yanaganya kazi na yameajiri nyomi. Nj nk nk nk
Ndo demokrasia hiyo. Kinyume chake ni udictator. Rais hapaswi kudictate mawazo ya watuYani Rais wako anahutubia watu wanakula SI dharau hizo
No 6,ajira za kumwaga zipo.Makofi Kwa mama tafadhalMpa G20 wamechanganyikiwa jinsi anavyoupaisha nchi bila kelele kama enzi zile kitiu kidogo kama kuzindua stand kelele kibao za radio na magazeti na ukiandika vinginevyo unapotezwa.
Mpaka kikaanzishwa kipindi maalumu tbc eti kishindo cha awamu ya tano huku biashara na ajira za watu zinazidi kuyeyuka na at the same time tunalazimshwa tuseme eti tumeingia uchumi wa kati.
Mama anafanya makubwa jaamni.
Kwaza alipoingia madarakani akaondoa vikwazo vyote.
1. Aliondoa zuio kwamba ukitaka kwenda jeshi eti lazima upitie jkt
2. Aliondoa retantio kwa wanaodaiwa na heslb ya 6% ambayo ilikuwa inapanda kila mwaka uwe na ajira usiwe na ajira.
3. Amemaliza miradi yote iliyoanzishwa na jpm
4. Kaondoa zuio la kufanya siasa ambazo enzi hizo siasa ilikuwa kwa ccm tu.
5. Kwa sasa biashara inafanyika usiku na mchana bila vilwazo
6. Ajira za kumwaga zipo
Tupe faida ya kufungua bureu de change halafu maswali mengine yatafuataMambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani
1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta.
2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine.
3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua hilo njoo mipakani
4. Massive unemployment aliyoiacha jpm inapungua slowly kwa kuajiri kila kada mfano ameondoa lile zuio kwamba ilinuwe mwanajeshi au polisi lazima upitie jkt na ametoa ile age limit kwamba ili kuaply ualimu aunudaktari lazima uwe ulimaliza kuanziq 2015. Kwa sasq hata kama ulimaliza 2008 ruksa kuaply.
5. Sector binafsi imenawili tremendously na ajira za kumwaga kwa vijana. Mfano bureu de change alizofuta jpm sasa zinafanya kazi
6. Utalii umepamba moto mpaka yale mahoteli yaliyofungwa kibabe na jpm yanafanya kazi sasq mfano ngurdoto.
7. Wale waliofukuzwa kikatili na jpm eti vyeti feki wamerurishwa kazini na ndoa zimeimarika.
Asante mama kwa utu.