Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

Kauza maliasili na rasilimali kama ....
Kaigeuza IKULU kuwa kama leaders club
Safari kukicha na msururu wa wasanii na machawa!
Rushwa, ufisadi, wizi, kutokuwajibika kumeshika hatamu!
....
 
KWeli Sa100 kafanya kazi
1 Goli moja analinunua kwa milion 5
2 Taifa stars kufuzu Afcon kawapa Million 700
3 Anasafirli pamoja na Gang yake nje ya nchi. Tena Air Tanzania inabidi wahairishe fright Route apewe ndege yenye siti 300 akae na steve nyerere
4 Wasanii wamepata vacation kwenda kutalii south korea
5 Tumepata movie kali ya Royal Tour. Atupe na patt 2
6 Sekta ya uchawa imekua kwa kasi
Sekta ya utakaji imeshuka kiasi
7 anakopa sana pesa . Atatuachia madeni mengi

View: https://twitter.com/AbroadTanzania/status/1859113802018812170?t=dl6lSFZ2lVIzepgzcMS7BQ&s=19
 
Kwanza ajira halafu kukuza mzunguko wa lesa. Lazima zimeajiri cashiers, accountants, managers nk ambao wangekuwa mtaani hence unemployment
Nilijua tu hujui kitu lakini umekaririshwa kama kasuku, ndiyo kazi za machawa wa CCM
 
Kauza maliasili na rasilimali kama ....
Kaigeuza IKULU kuwa kama leaders club
Safari kukicha na msururu wa wasanii na machawa!
Rushwa, ufisadi, wizi, kutokuwajibika kumeshika hatamu!
....
Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa..There is no free lunch. Nchi inataka kupiga hatua kimaemdeleo hivyo lazima wawekezaji kwa assets zetu wawepo mana hatutakula assets hizo zaidi ya kututia umaskini. Ni sawa na mtu anakufa njaa halafu mfukoni ana mil 10
 
Kabakiza miezi 10 kurudi Kizimkazi 🤔🤔

2025 Rais Mwanaume Mkatoliki,chungu siyo tamu,meza kama ilivyo
 
Lucas
 
Nadhani chawa ama vyawa, mnalipwa vizuri sana ndiyo maana hamchoki kukesha mitandaoni kusifia upumbaf.
Mfano:
'Miradi ya Magufuli yote kamaliza' wakati Waturuki waliukimbia mradi baada ya kuanza dana dana za malipo na mradi wa Sgr hata Singida haujavuka, pamoja na miradi mingine mingi inayosua sua kumalizika kwake.

Wanasiasa wanvyozuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa wee hauoni, upo nchi za nje?

Watu wanatekwa na kuuawa, walengwa wakuu wakiwa ni wanasiana!

Mengine sikutaja kuendelea kupoteza muda wangu kuyachambua, ila elewa kuwa waTz wana hasira naye sana huyu mama.
 
Si bora huyu anagalau hata siasa wanafanya na wanapata mda wa kutukana lakini yule jamaa alizuia kabisa mikutano ya siasa na bunge kutanzamwa
 
Kila mtu anamkubali including you hata kama mbele za watu unaona aibu
Kumkubali DALALI anayeuza Mali hasa maliasili zetu??🤣🤣🤣 Bandari,mbuga za wanyama,.... WEWE kweli ni BOGA 🤔🤔🤔
 
Kwakua umemkandia Makufuri bas nakuunga mkono hoja yako hongera
Mama piga kaz
 
Kumkubali DALALI anayeuza Mali hasa maliasili zetu??🤣🤣🤣 Bandari,mbuga za wanyama,.... WEWE kweli ni BOGA 🤔🤔🤔
Bandali siyo mali bali ni mere asset ambayo haina maana yoyote zaidi ya kuogelea tu. Lazima igenerate pesa kwa uwekezaji mkubwa alioufanya
 
Bandali siyo mali bali ni mere asset ambayo haina maana yoyote zaidi ya kuogelea tu. Lazima igenerate pesa kwa uwekezaji mkubwa alioufanya

Ni Bandarina si Bandali Kam ulivyoandika🤸🤸🤸,🤣🤣🤣🤣

Go to the entire content, haiwezekani kumweka madarakani DALALI anayeuza vitu, iwe mbuga za wanyama au Bandari .

Mtu anayewachekea WEZI WALAO KWA UREFU WA KAMBA.

Mwambie mama Abdul Afungashe mizigo , miezi 10;imebaki, akalee wajukuu Kizimkazi akanywe Bapa Konyagi kwa Uhuru 🤣
 
Urefu wa kamba maana yake mshahara wa kila mmoja. Muwe mnatumia akili kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…