Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

Mimi nionavyo ni kwamba, tatizo kubwa sana na la msingi linalotukabili sisi Watanzania/ Waafrika ni UBINAFSI na KUKOSA UZALENDO.
 
Sawa asante sana kwa ufafanuzi. Hii narrative kwamba wazungu wanahusika kuua viongozi wa Africa wanaolinda raslimali sidhani kama in apply kwa jiwe. Jiwe alienda na covid19.. angalau kwa ushahidi wa kimazingira..
Uchumi wa nchi chini ya juwe uliporomoka sana.. na angekuwepo hadi leo tungekuwa na negative growth. Usimsifie sana kwa sababu juzi mzee wa jalalani kafichua ujinga mkubwa uliokuwa ukifanyika kwa kisingizio cha vita ya uchumi. Uchumi ni sayansi.. jiwe hakuwa na saya hata moja..
 
..Magufuli alikuwa mpenda madaraka.

..Na hakuwa na mipaka ktk kulinda madaraka yake.

..alikuwa tayari kufanya unyama ili mradi aendelee kudumu madarakani.
 

How can you substantiate your claims of assassination? How do you know for a fact the actual cause of his death?
 
Hata hivyo kwa taarifa yako pamoja na kusabotage demokrasia unayoidai kama angekubali mali ziporwe na hao mabwanyenye kisingempata hicho usemacho,rejea saudi Arabia,
Sio Saudia, huko mbali sana.

Rwanda, Uganda tu hapa karibu.
 
Makabila makubwa ya wilaya ya chato ni
Waha
Warundi
Wasumbwa
Wasubi
Wazinza
Kuna kabila la warundi? Mi najua raia wa Burundi ni warundi na makabila yao ni wahutu, watutsi, etc.
Magufuli hakuwa msukuma
Tukizungumzia kabila, inawezekana hakuwa msukuma, ingawa alimudu lugha ya kisukuma.

Magufuli hakuwa mtanzania
Suala la kabila lake kama kwa mfano ni mhutu, sio sababuya kumfanya asiwe mtanzania. (Nb. hapa sishuhudii kwamba ni m Tanzania)
Magufuli alikuwa mrundi
Alikuwa mrundi kwa maana ya raia wa Burundi au wa kabila la Kirundi?

Anyway, najua alikuwa katili, jeuri, roho mbaya, mnafiki, mtu wa visasi etc.
May his soul rest where it deserves.
 
Anaemlilia shetani Magufuli akazikwe nae Gambosh.
Huko alipo namuombea AFE TENA HARAKA.
 
Sahihi
 
Magu alikuwa Mrundi na aliingia hapa Tanzania na mama yake. Ndipo mama yake akaolewa na mwanaume anaitwa Magufuli na akalelewa naye na kutumia jina lake.

Hakuna Mtanzania mwenye roho ya chuki na uuaji kama aliyokuwa nao Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…