smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Bina damu wote........./na Africa ni moja!! hukusoma nini?? hii mipaka ni ya wazungu, urundi/rwanda ni mikoa ya Tanganyika tu ile!!.....hivi wajaluo/wakurya /Masai/wachgga wako na jamaa zao nchi mbili tofauti!Niko chato nilichojifunza sasa
Uraia wa Jpm ni wa mashaka
Chato na kata za jirani yake kama bwanga,runazi,muganza,buzirayombo,runzewe na buziku zimejaa warundi wanaojiita waha,
Makabila makubwa ya wilaya ya chato ni
Waha
Warundi
Wasumbwa
Wasubi
Wazinza
Wasukuma hawazidi asilimia kumi
Hitimisho
Magufuli hakuwa msukuma
Magufuli hakuwa mtanzania
Magufuli alikuwa mrundi
akienda huku ni sawa na huku!! Makonde/wahaya wako nchi mbili tofauti mipaka imepita kati yao! leo utasemaje ivo?? Mpaka wetu ungenyooka tokea Tanga, Nyerere angekuwa m- kenya.