Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

Habari Jf ,ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke .Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne .

1.Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri bado watanzania hawakumpenda .

2.Hakuna tofauti ya kifikra kati ya wasomi na wasio wasomi yaani tofauti kubwa ni kwamba kuna watanzania wenye Vyeti na wasio na Vyeti .

3.Watanzia ni wanafiki sana

4.Tofauti iliyopelekea tofauti kubwa ya kimaendeleo kati ya Waafrika na Wazungu ni Uwezo wa kufikiri na kuchanganua Mambo ,Afrika hususani tanzania uko Chini sana .

Mwisho kabisa Slogan ya Elimu Elimu Elimu ilikuwa na maana sana watanzania tunatawaliwa kwa very cheap politics .

Elimu bora ni muhimu sana
Elimu Elimu Elimu
 
Elimu, Elimu Elimu hii hii tunayoinona kwa Maprof wetu?
 
Hata hivyo kwa taarifa yako pamoja na kusabotage demokrasia unayoidai kama angekubali mali ziporwe na hao mabwanyenye kisingempata hicho usemacho,rejea saudi Arabia,
Uko sahihi.

Kilichomuua ni ubabe wa kiuchumi. Hayo mengine yanahusu kutia doa legacy yake mwenyewe.

Wazungu ukiwapa wanachokitaka they don't give a damn kuhusu demokrasia na haki za binadamu. Ila ukiwabana kama alivyofanya marehemu wanazitumia kama njia ya kukufutilia mbali...
 
Habari Jf ,ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke .Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne .

1.Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri bado watanzania hawakumpenda .

2.Hakuna tofauti ya kifikra kati ya wasomi na wasio wasomi yaani tofauti kubwa ni kwamba kuna watanzania wenye Vyeti na wasio na Vyeti .

3.Watanzia ni wanafiki sana

4.Tofauti iliyopelekea tofauti kubwa ya kimaendeleo kati ya Waafrika na Wazungu ni Uwezo wa kufikiri na kuchanganua Mambo ,Afrika hususani tanzania uko Chini sana .

Mwisho kabisa Slogan ya Elimu Elimu Elimu ilikuwa na maana sana watanzania tunatawaliwa kwa very cheap politics .

Elimu bora ni muhimu sana
Sasa Elimu ,Elimu ,Elimu wakati unesema waliosoma haina impact kwao bwashee
 
Niko chato nilichojifunza sasa
Uraia wa Jpm ni wa mashaka
Chato na kata za jirani yake kama bwanga,runazi,muganza,buzirayombo,runzewe na buziku zimejaa warundi wanaojiita waha,
Makabila makubwa ya wilaya ya chato ni
Waha
Warundi
Wasumbwa
Wasubi
Wazinza
Wasukuma hawazidi asilimia kumi
Hitimisho
Magufuli hakuwa msukuma
Magufuli hakuwa mtanzania
Magufuli alikuwa mrundi
Una mavi kichwani
 
Uko sahihi.

Kilichomuua ni ubabe wa kiuchumi. Hayo mengine yanahusu kutia doa legacy yake mwenyewe.

Wazungu ukiwapa wanachokitaka they don't give a damn kuhusu demokrasia na haki za binadamu. Ila ukiwabana kama alivyofanya marehemu wanazitumia kama njia ya kukufutilia mbali...
Sema kinachonishangaza kuhusu wazungu ni umoja wao linapokuja suala la maslahi yao. Wataparurana wee lakini linapokuja kuhusau Urusi au China haijalishi ni democrat au republican, haijalishi ni cnn au fox news, reuters au new york times, wote lao ni moja.

Ila njoo kwa waafrika sasa. Takataka kabisa.
 
Wazungu Gani wamekwambia wanatudharau?

Jpm alikua na mazuri yake na mapungufu yake pia usitake kuaminisha watu kuwa alikua na mazuri mahaba yasikupe upofu.

Ukiri wako kuwa waafrica tuna uwezo mdogo WA kifikra tayari ni tatizo. Kuhusu Hali ya Africa majira na nyakati za kuitawala dunia zitakuja pia Maana Mungu ndio hupanga majira na nyakati za mataifa.

Nikukumbushe kwamba Misri ilishawahi kuitawala dunia. China iliyotawaliwa Leo inapanda kileleni.
Iran Babel ilishatawala dunia. Roma imeshatawala dunia. Changamoto zilizopo Africa ndio zitazoifanya Africa kuinuka.
Kweli kabisa kipo kizazi kitakuja na fikra tofauti kabisa na fikra za Kazi na Bata zilizopo kwa sasa !! Maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana kwa kuendekeza Kazi na Bata !!
 
Sema kinachonishangaza kuhusu wazungu ni umoja wao linapokuja suala la maslahi yao. Wataparurana wee lakini linapokuja kuhusau Urusi au China haijalishi ni democrat au republican, haijalishi ni cnn au fox news, reuters au new york times, wote lao ni moja.

Ila njoo kwa waafrika sasa. Takataka kabisa.
Wazungu wako hivyo. Gusa maslahi yao uone moto utakaokuwakia. Itapelekwa hoja ya dharula bungeni na hutaona cha Republican au Democrat. Wote wamoja inapokuja kwenye maslahi ya taifa. Wakitoka hapo kama kawa wanaendelea kuparurana huko.

Sisi shida ni ubinafsi. Kila mtu anapigania tumbo lake, familia yake (kwa mtazamo wa Kiafrika) na marafiki zake wachache. Hakuna kuangalia mambo ya legacy. Miaka 100 ijayo historia ya taifa langu itanikumbukaje. Watu hawa masikini ninaowaongoza nitawasaidiaje angalau waweze kupata huduma zao za msingi. Nooo! Ni kuiba tu na kutajirika kupindukia. Bado sana yaani!
 
Habari Jf ,ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke .Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne .

1.Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri bado watanzania hawakumpenda .

2.Hakuna tofauti ya kifikra kati ya wasomi na wasio wasomi yaani tofauti kubwa ni kwamba kuna watanzania wenye Vyeti na wasio na Vyeti .

3.Watanzia ni wanafiki sana

4.Tofauti iliyopelekea tofauti kubwa ya kimaendeleo kati ya Waafrika na Wazungu ni Uwezo wa kufikiri na kuchanganua Mambo ,Afrika hususani tanzania uko Chini sana .

Mwisho kabisa Slogan ya Elimu Elimu Elimu ilikuwa na maana sana watanzania tunatawaliwa kwa very cheap politics .

Elimu bora ni muhimu sana
Namba 3 ndio sifa kuu ya Mtz
 
Niko chato nilichojifunza sasa
Uraia wa Jpm ni wa mashaka
Chato na kata za jirani yake kama bwanga,runazi,muganza,buzirayombo,runzewe na buziku zimejaa warundi wanaojiita waha,
Makabila makubwa ya wilaya ya chato ni
Waha
Warundi
Wasumbwa
Wasubi
Wazinza
Wasukuma hawazidi asilimia kumi
Hitimisho
Magufuli hakuwa msukuma
Magufuli hakuwa mtanzania
Magufuli alikuwa mrundi
Sikuwahi kumkibali akiwa mzima wala akiwa kuzimu
 
Wazungu wako hivyo. Gusa maslahi yao uone moto utakaokuwakia. Itapelekwa hoja ya dharula bungeni na hutaona cha Republican au Democrat. Wote wamoja inapokuja kwenye maslahi ya taifa. Wakitoka hapo kama kawa wanaendelea kuparurana huko.

Sisi shida ni ubinafsi. Kila mtu anapigania tumbo lake, familia yake (kwa mtazamo wa Kiafrika) na marafiki zake wachache. Hakuna kuangalia mambo ya legacy. Miaka 100 ijayo historia ya taifa langu itanikumbukaje. Watu hawa masikini ninaowaongoza nitawasaidiaje angalau waweze kupata huduma zao za msingi. Nooo! Ni kuiba tu na kutajirika kupindukia. Bado sana yaani!
Nilimshangaa sana Lissu na tantalila zake za miga. Sema pia nishawahi kusoma makala kuhusu namna CIA na western intelligence organisation zinavyofanya kazi na kuwarubuni influential people wa nchi mbali mbali duniani: silaha yao ya kwanza ni pesa, ukigoma kwa pesa, wanakuvizia kwenye weakness yako nyingine ili uwe upande wao. Kwa Lissu asingetoboa kwa pesa ya muzungu. Na kwa mpunga mrefu wa wazungu I doubt kama kuna wanasiasa wetu njaa hawa anaeweza kidindia maslahi ya taifa.
 
Habari Jf ,ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke .Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne .

1.Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri bado watanzania hawakumpenda .

2.Hakuna tofauti ya kifikra kati ya wasomi na wasio wasomi yaani tofauti kubwa ni kwamba kuna watanzania wenye Vyeti na wasio na Vyeti .

3.Watanzia ni wanafiki sana

4.Tofauti iliyopelekea tofauti kubwa ya kimaendeleo kati ya Waafrika na Wazungu ni Uwezo wa kufikiri na kuchanganua Mambo ,Afrika hususani tanzania uko Chini sana .

Mwisho kabisa Slogan ya Elimu Elimu Elimu ilikuwa na maana sana watanzania tunatawaliwa kwa very cheap politics .

Elimu bora ni muhimu sana
dikteta hana lakukumbukwa
 
naomba na mm kuchangia kdgo kuhsu hii ,ada ia ukweli kuna mda usemwe tu JPM likuwa na mapungufu yakeila nchi kam nchi Iliheshimika na pia mipango yke maka leo hakuna ambae hata kwa nusu yake ameweza kuivaa tofauti na kuwaaumiza wanyonge kwa ss kila mtu ana matamko yako akiamkaanapanga hili akilala anapanga hili viva JPM
VIVA TANZANIA
 
WanaHarakati wa Tanzania Mange, Maria Sarungi, Kigogo 14, Fatma Karume, Zitto huyu ni Mdini sana, Tundu Lissu huyu ni pesa mbele. Wooote wakati wa JPM walinunuliwa na kupewa Pesa ili wamshambulie JIWE sasa hivi kimiaaaaaa hawaongei cha CORONA wala MFUMUKO WA BEI ni wahuni wahuni tuuuuu na Unafiki mwiiiingi
ni kama kuna Ukweli
 
Back
Top Bottom