passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Kiwango chako cha ujinga imekuwa hivi?Alafu unaweza kuwa Raia wa Tanzania hata kama hujazaliwa Tanzania.Niko chato nilichojifunza sasa
Uraia wa Jpm ni wa mashaka
Chato na kata za jirani yake kama bwanga,runazi,muganza,buzirayombo,runzewe na buziku zimejaa warundi wanaojiita waha,
Makabila makubwa ya wilaya ya chato ni
Waha
Warundi
Wasumbwa
Wasubi
Wazinza
Wasukuma hawazidi asilimia kumi
Hitimisho
Magufuli hakuwa msukuma
Magufuli hakuwa mtanzania
Magufuli alikuwa mrundi