Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Si ndivyo inavyokuwa perceived na amesema honestly what she meant? Au kwakua unataka aseme asichoamini?
Kama katiba ni kijitabu, alipata wapi uhalali wa kuwa Rais?. Aachie kudharau Katiba maana jeshi lingedharau Katiba huo urais angeusikilizia kwenye Clouds FM Radio.
 
Mie nashangaa mnataka msikie Rais akisema uwongo, why? She is honest ila Sasa kama inatakiwa kuwa hivyo au la ndiyo anawaambia tuache hayo
Honest kwenye Nini? Kwenye kudai ameshindwa kukusanya Kodi? Ila anaweza kulipa mikopo ya kausha damu huko IMF? Tofautisha honesty na kushindwa kazi.
 
Kweli kabisa mkuu, wakulaumiwa sio CCM Tena Bali ni sisi wananchi.
 
Acha uongo Magufuli hajawahi kushindwa na mfanyakazi wake yoyote katika nchi hii

Aliondoa mfumo wa bank account akaweka control namba
Hujui ulisemalo mbona rostam alikuwa anamchekea tu kuna mtu hatari kushinda yule.
 
Duuh watu weusi kweli tumelaaniwa
Unaijua nguvu ya Rais wewe??
 
Hujui ulisemalo mbona rostam alikuwa anamchekea tu kuna mtu hatari kushinda yule.
Rostam yupi? Huyu ambaye alikimbilia kuhonga redio na kumrudishia Lowassa CCM ili mdogo wake apone?. Magu alikuwa above kila mtu.
 
3. Unaijuwa mikiki ya kariakoo au unaisikia tu?
. Halafu wewe unawajuwa wasaidizi wa Rais kuliko Rais mwenyewe?
Kwa hivyo mikikimikiki ya Kariakoo ni Mikubwa kuliko ya nchi nzima?. Maana unamtoa mtu uwaziri kisa haiwezi mikikimikiki ya Kariakoo.
 
Ni ukweli usiopingika,Rais anadanganywa na wajanja wachache serikalini kwa maslahi yao.
RIP JPM. Ungeifikisha mbali TZ.
 
3. Unaijuwa mikiki ya kariakoo au unaisikia tu?
. Halafu wewe unawajuwa wasaidizi wa Rais kuliko Rais mwenyewe?
Wasaidizi wa Rais ni kama Mimi na wewe, sio malaika. Ndio maana huwa wanashuri uteuzi wa mtu aliyefariki Dunia.
 
Kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…