Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau ndicho kizazi kilichoshuhudia kwa macho serikali ikipiga kazi bila kucheka na nyani na matokeo wakaona.Wapiga kura wa 2025 ni kizazi kingine kabisa!
Kuheshimu au kutoheshimu uchaguzi ni wewe tu unavyotafsiri..ukishindwa utasema uchafuzi ukishinda utaita uchaguzi.Watetezi wa Magufuli mngekuwa mna hoja za msingi kuhusu kukubalika kwake iwapo angeheshimu uchaguzi. Tulitaka aheshimu uchaguzi ili ifahamike kwa uhakika kuhusu kukubalika kwake, sio mnasema alikuwa anakubalika sana lakini akashindwa kuheshimu uchaguzi ili tuone kwa uhakika kiwango cha kukubalika kwake.
Watu wenye akili timamu.Na akina nani ?
Uchaguzi wa 2020 ulipatwa na nini wewe tindo ? Kila siku huishi kuulalamikiaWatetezi wa Magufuli mngekuwa mna hoja za msingi kuhusu kukubalika kwake iwapo angeheshimu uchaguzi. Tulitaka aheshimu uchaguzi ili ifahamike kwa uhakika kuhusu kukubalika kwake, sio mnasema alikuwa anakubalika sana lakini akashindwa kuheshimu uchaguzi ili tuone kwa uhakika kiwango cha kukubalika kwake.
Mkuu cdm wamekuharibu sanaNa akina nani ?
AiseeShida Walimu wengi ni watoto watoto ambao ni wavivu wa kufikiri... Wao wanachoona mbele yao ni Madaraja na Nyongeza ya Mshahara tu.
Walau hii miaka miwili wameanza kuamka sasa, wengi wanaona aibu hata kuzungumzia yanayoendelea nchini.
broad daylight dreamer.lisu anapuzwa sana mitaani
Huna akili, wewe sio Mungu , pumbavuHaya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe;
1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu.
2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa Kupitia CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe, hata Mbowe analielewa hili hivyo ni bora amuachie chama mbowe preferably aende NCCR MAGEUZI.
3. Watu wasiojulikana walikuwepo toka kipindi cha Mwalimu Nyerere na wapo kwa ajili ya kuhakikisha watawala wanatawala bila shida na hakuna awamu ambayo hawakufanya matukio na hata sasa wanafanya.
Ni hayo tu.
Ulikua Uchafuzi.2020??????
Unadhani kila mtu ni mjinga, kilio cha kwamba chaguzi zetu sio za haki kimeanza leo? Na huko pia wamekuwa wapinzani wakishinda. Kushinda baadhi ya sehemu kwenye uchaguzi hiyo haimaanishi ni chaguzi za haki. Kwamba nione maboxi ya kura yanaingizwa kituoni yakiwa na kura tayari, useme ndio ninavyotafsiri? Nione karatasi zenye matokeo fake na yaliyoko kituoni useme ndio ninavyotafsiri?!Kuheshimu au kutoheshimu uchaguzi ni wewe tu unavyotafsiri..ukishindwa utasema uchafuzi ukishinda utaita uchaguzi.
Hata mahakamani ukishinda kesi utasema mahakama imetenda haki na ukishindwa utasema hujatendewa haki.
Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Silalamimiki bali naweka rekodi sawa. Na sintokaa niache kuongelea uhayawani ule. Ni mtu mjinga tu anaweza kukalia kimya na kupuuzia ushenzi wa aina ile kwenye chaguzi zetu.Uchaguzi wa 2020 ulipatwa na nini wewe tindo ? Kila siku huishi kuulalamikia
Mimi sio Mwalimu na simkubali Mwendazake na tupo wengi tuu.Haya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe;
1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu.
2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa Kupitia CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe, hata Mbowe analielewa hili hivyo ni bora amuachie chama mbowe preferably aende NCCR MAGEUZI.
3. Watu wasiojulikana walikuwepo toka kipindi cha Mwalimu Nyerere na wapo kwa ajili ya kuhakikisha watawala wanatawala bila shida na hakuna awamu ambayo hawakufanya matukio na hata sasa wanafanya.
Ni hayo tu.
Kwa hiyoHaya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe;
1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu.
2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa Kupitia CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe, hata Mbowe analielewa hili hivyo ni bora amuachie chama mbowe preferably aende NCCR MAGEUZI.
3. Watu wasiojulikana walikuwepo toka kipindi cha Mwalimu Nyerere na wapo kwa ajili ya kuhakikisha watawala wanatawala bila shida na hakuna awamu ambayo hawakufanya matukio na hata sasa wanafanya.
Ni hayo tu.
Kabisa, akawa anajifichia kwenye miradi kadhaa ya maendeleo, na akawa anashurutisha tumuone ni mzalendo.Magufuli alikuwa si mtenda haki
Watanzania tuzingatie au wanaccm ndio wazingatie?