saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Hivi mtu km Lissu zaidi ya kuzusha, kupotosha, kutukana, kulalamika sijawahi ona mchango wake ktkt taifa hili. yule ni wakala wa shetani ni wa kupuuzwa. Ila amekuwa kiburudisho cha wapumbavu wanaopenda kusikiliza hule upuuzi wake, kuna watu wana stresss zao za maisha wakimsikiliza yule kichaa wanapata ahueni wakifikiri kweli matatizo yao yamesababishwa na serikali kumbe ni wao wenyewe. Nchi inatutegemea sisi, we kila siku ni kulalamika, hulimi hata ekari moja, hufugi hata ng"ombe moja. Lissu ni hasara ktk taifa hili, ni mwehu tu anaweza kuwaza Lissu kuwa hata waziri achilia mbali habari ya urais, hiyo ni sawa na mbingu na ardhi.Haya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe;
1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu.
2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa Kupitia CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe, hata Mbowe analielewa hili hivyo ni bora amuachie chama mbowe preferably aende NCCR MAGEUZI.
3. Watu wasiojulikana walikuwepo toka kipindi cha Mwalimu Nyerere na wapo kwa ajili ya kuhakikisha watawala wanatawala bila shida na hakuna awamu ambayo hawakufanya matukio na hata sasa wanafanya.
Ni hayo tu.