Mambo matatu muhimu ambayo Tundu Lissu hayafahamu

Huu ulioandika ni uharo tu. Usi justify uhayawani wa Magufuli kwa kandika uwongo. Watu WASIOJULIKANA walitokes kipindi cha Magufuli tu na walikuwa wanawajibika kwake moja kwa moja.
 
Magufuli alikuwa takataka tu! Ni nini alichofanya mpaka umuite Mwanamageuzi Shujaa wa Afrika? Yule alikuwa mwizi tu kama mwana CCM yeyote, aliwajaza propaganda za UWONGO na ndizo mnaziimba hadi leo.
 
Unatumia mabilioni ya fedha kununua wapinzani,halafu hali za Watumishi unaziweka kwapani at the same time unasema Watumishi wanamkubali Magufuli,inakichaa wewe sio bure.
 
Ujinga haiwezi Isha bongo hii
 
Siku zote huwa nasema siku watu wakijua kuwa hao wanao wachagua kuwa Marais ndio wezi wakuu na vinara wa wizi wa mali za umma-wataliana kusaga meno.
Katiba ya hii Nchi imempa Rais Mamlaka makubwa sana,anaweza akaamua mapato yote ya Nchi kwa mwezi husika yapelekwe kwenye familia yake na hamna chochote mtafanya.
 
Pigania katiba Mpya basi
 
Nina uhakika Huwezi kuwa na akili kumshinda Lissu na hivyo huwezi kuelewa mkakati wake wowote wa kisiasa
 
1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu.
Sasa hao watampigia kura Samia ambaye Kila siku humkejeli JPM? Ingekua na madhara kama Rais angekua mfuasi wa JPM ila kama Lissu na Samia wote ni against JPM then hata wakinuna hawampunguzii kura Lissu.
 
Kipengele Na. 1 ni muhimu sana Lissu kukifahamu.

Binafsi leo sijafurahishwa na namna ambavyo Lissu amemsema Magufuli.

Kisiasa amepiga hesabu mbaya mno
Mnakosea, Sasa hao team JPM wasipompigia kura Lissu ndio watampigia Samia? Si wote tu ni anti JPM tena Bora Lissu alimpinga wazi miaka yote kuliko Samia alijifanya ni makamu wake ila kamgeuka kabisa na kumkejeli hadharani.

So JPM followers are more likely kutopiga kura kuliko kumpigia kura Samia au kumnyima Lissu kura.

TLDR; JPM followers wanamchukia Samia kuliko Lissu.
 
Ni hivi Lissu akiwa Rais utawala wake utakuwa kama wa JPM.

Tabia zao, characters zao zinafanana kama hizi kusema ukweli, udikteta, ukali, seriousness kwenye mambo muhimu, single-mindeness.

Wanatofauti JPM alikuwa mtu wa vitendo zaidi. TL ni mtu wa sheria zaidi, kufuata vigezo, vipengele, sheria, kanuni.

Ni mwanaharakati, yupo vizuri zaidi kupigania haki za watu kutoka nje ya system, ukimpa system atakuwaje?

Akiwa Rais anaweza kuwa Dikteta mmoja matata sana?
 
Kwa akili yako unadhani lengo ni kuingia ikulu tu? wizi usisemwe kisa kuingia ikulu?
Ukweli usemwe lakini kuambatanisha na ushahidi. Ukizingatia ndani ya miaka 6 ya JPM, watu waliona ushahidi, impact kwenye maisha yao binafsi kama umeme, maji, huduma na nidhamu serikalini, kupunguza rushwa, ujenzi wa hospitali, shule, barabara, SGR, ATCL, Bwawa wa umeme.

Alivyopambana na Corona ni tofauti na nchi nyingi, hakutufungia ndani, kutuchapa viboko, risasi tukitoka nje kununua chakula.
 
Bottom line:Lisu hawezi kuwa Rais wa nchi hii kupitia upinzani (haijalishi chama gani) labda ahamie CCM halafu apitishwe kuwa mgombea urais.(ndoto ya Ally Nachal)

Lugha nyepesi: Atazeeka atakufa ataiacha CCM madarakani kama ilivyo kwa Mrema.
 
wanaoweza kumkumbuka ni wale alioweza kuwapumbaza kwa kuwaita wanyonge, vinginevyo hakuna anayeweza kumkumbuka yule shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…