Katika Nchi ambayo Viongozi wanajipimia kama hii Tanzania ya Sasa tunahitaji vitu vitatu :-
1. Katiba Mpya ,tunahitaji katiba inayong'ata ili viongozi na wananchi waheshimu madaraka.
2. Chama kimoja (ingawa linaendana na katiba),Tanzania bado ni nchi changa kuwa na mfumo wa vyama vingi hivyo tunahitaji chama imara kimoja. Mfano Nchi ina changamoto nyingi Rais yuko bize Kutatua changamoto za wananchi kiongozi wa Upinzaniyuko Mwanza anaorganise issue kubwa kama ya kudai katiba mpya ,nchi haiwezi kwenda hivyo.
3. Tunamuhitaji Mao Zedong. Itachukua Muda kwa watu wengi kuja kuamini kwamba JPM alikuwa mzalendo wa kweli pamoja na mapungufu yake ,ni ngumu kuendesha nchi kama Tanzia ukacheka na watu na mambo yakaenda,Na sio kwamba aliua upinzani ni ukweli usipingika bado Hatujafikia kuhitaji vyama vingi.
Rais Samia Suluhu Hassan ni rais Mzuri ana mipango mizuri ,tatizo Moja kubwa Anatafuta hela nyingi na kwa kuwakamua Wananchi kisha Watu wachache wanatafuna pesa na nyingine ndio zinaenda kwenye eneo husika .Mama kama ataweza thibiti Upotevu wa Hela kuna uwezekano mkubwa baada ya miaka 5 tutakuwa Mbali sana.