Mambo matatu Muhimu kabla hatujamsahau Hayati Dkt. Magufuli

Unaandika ujinga na bado unajiaminisha una akili, aliyekuroga kafa, Go figure
Muda mwingine ni ngumu sana kujipima uwezo wako wa kufikiri hivyo haina haja ya kubishana .
 
Mwigulu huyo ni katili mwandamizi
 
Tanesco wana kiwanda cha mita?
Mbona kampuni za simu hazigawi bure simu?
Hapa mkuu hujaelewa nini maana ya matumizi mtaji( capital expenditure ) na matumizi yasiyo mtaji (Revenue expenditure).Nguzo,meter,waya nk vinapaswa kugharimiwa na Serikali ( kupitia Tanesco) kwa kuwa ndio vinavyowezesha kazi ya kuwaunganishia wateja wengine wengi zaidi (na hivyo kuongeza mapato ya Tanesco )-hii ndo capital expenditure kwao, hivyo inabidi wakakope au wafanye vyovyote ili wapate mtaji, wauendeleze na kufanya biashara yao iwe endelevu.Sisi watumiaji wa umeme tuendelee kulipa bili ipasavyo ( na hivi kuna LUKU ndo kabisa hakuna anaekubali kulala giza eti kisa umeme umeisha!-nasi tutapambana mpaka uwe unawaka kila tunapouhitaji)-Hii ni Revenue expenditure ambayo tabia yake kuu ni kujirudiarudia(tunanunua umeme kila siku,wiki,mwezi nk) ila nguzo au mita ni Mara moja tu.SHIDA HAPA bila kupepesa macho ni kwamba hawa TANESCO hawana mshindani ndio TATIZO kubwa.Sheria zibadilike ili kuwepo na ushimdani katika uzalishaji na usambazaji wa umeme.Mfano mzuri ni kampuni za simu za mkononi(wateja tunaenjoy kwa kuchagua kampuni unayoona inakidhi unachokitaka).
 
Tatizo katiba tuliyo nayo ni mbovu hata angeifuata bado ingempa madaraka makubwa mno
 
Aa wapi hiyo thaman mnaona nyie tu
 
Mbona jpm tumeshamsahau kitambo sana. Bora hata kashasha anakumbukwa
 
Tanesco wana kiwanda cha mita?
Mbona kampuni za simu hazigawi bure simu?
Je kabla kampuni ya simu haijasambaza huduma za mtandao wake, huwa wanamlazimisha mteja alipie gharama za minara?

Hata kama kampuni za simu zinawauzia watu simu, hizo simu si zinakuwa mali ya mteja?
 
Kwasababu Magufuli aliwaondoa kwenye baraza kwa chuki zake binafsi sivyo, kwa mama samia naye aendeleze chuki zile zile

Sio chuki binafsi..dharau za kupitiliza kwa hao vijana ndio jamaa akawaweka pembeni huwezi kumwambia mzee sisi ndio tumekuweka hapo…hayati umwambie hivyo akuchekee…
 
Ni vile uchaguzi wa haki na uwazi ccm haishindi hata sekunde moja ila kwa ile style ya kina Nape na jamaa zake watashinda tu, uchaguzi ukifika BiM ataendelea kuwa rais ila siyo rais wa watanzania kwa uchaguzi sababu mpaka sasa dalili zinaonyesha hali tete kutokea huku mtaani.
 
Hali ya uchumi ni mbaya hakuna unaloshika linakwenda.
 
Lete Ushaidi kuwa huyo mungu wenu magufuli miradi yote alikuwa ashailipia hela? Huyo sindio alikuwa anawadanganya mazuzu Kama wewe kuwa miradi yote anajenga kwa fedha za ndani!
Mtamkumbuka tu siku moja
 
Tanesco wana kiwanda cha mita?
Mbona kampuni za simu hazigawi bure simu?
Yes hazigawi simu bure...bt simu ni mali ya mteja au ya kampuni za simu?

Kwa mfano wako huu inamaanisha kua Nguzo na mita zilipaswa kua mali ya Mteja, je ndivyo ilivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…