Mambo matatu Muhimu kabla hatujamsahau Hayati Dkt. Magufuli

Samia anatafuta hela nyingi ili atatue matatizo mengi tatizo wizi upo ndani ya DNA ya wasaidizi wake, anavyofanya ziara za kikazi anazidi kuwafahamu kwa ukaribu.
 
T
Tundu Lisu hajatulia kuweza kushika nafasi hiyo muhimu kwa nchi. Huyu huyu anayewaita viongozi ni wajinga. Kwa kifupi mdomo wake hauna staha. Huwaona watu wote ni wajinga, na yeye ni mwenye akili kuliko wote. Huamini kwenye kile anachoamini hata kama ni cha hovyo. Kwa viashiria hivi, kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuwa the worst dictator kama atakuwa na madaraka.

Anafaa kwa uanaharakati.
 
Naona nyuzi za kumnanga JPM zimetawala JF
 
Hahaha hatari sana
 
Magufuli hakuwa Rais sahihi kwa Nchi yetu bali alikuwa anapuyanga tu. Watanzania wengi elimu duni aliwadanganya kwa propaganda zake na wakadanganyika, hawakuwa na namna ya kupata taarifa mbadala.

Ilikuwa ni ajali kutawaliwa na kichaa toka Chato iliyotokea mwaka 2015. Naamini haitotokea tena.

Tuko mikono salama na Rais SSH
 
But inawezekana yeye ndiye rais bora kuwahi kutokea
 
Alisema tutamkumbuka, tena kwa mema; mameno yake yanatimia mbele ya macho yetu within a year!
 
Wewe vyeti feki, Magufuri kuna mtu aliyemdanganya au Mambo yalikuwa yanaonekana naona wewe upo hapa Dar tu,nenda Mikoani uone miradi yote iliyokuwa inakimbizwa kwa kasi yote imesimama pamoja na mikopo na tozo nyingi, ngoja uchaguzi ufike utaona uyo Samia wenu atakovyo pokerewa na mabango sasahivi wanamlia time,Ubovu wa Samia hata Mikoani haendi yuko radhi kukaa american wiki 2, lakini hawezi fanya ziara ya siku tatu Mikoani.Watanganyika wa leo sio wajinga kama mnavyozani,subirini
 
Pole sana. Nani alikwambia miradi ya ujenzi huwa inalipwa pesa yote halafu mkandarasi anaachiwa atekeleze!!!! Kuna Watanzania ni rahisi sana kuwadanganya na wanaamini kila kitu wanachoelezwa.
 
But inawezekana yeye ndiye rais bora kuwahi kutokea
Magufuli ilikuwa takataka tu. Alipata urais kwa mvutano tu wa kamabi Lowassa dhidi ya kambi Membe. Ilikuwa ni ajali, Nchi yetu haikustahili kutawaliwa na KICHAA
 
Watanzania wengi ni wajinga kama wewe ndiyo wanadhania kutembea mikoani na kula mahindi ya kuchoma barabarani ndiyo uongozi bora. Yale maujinga ya Mwendazake ya kugawa hela na kununua mapapai na jogoo tumeyazika pamoja kwenye kaburi lake Chato mwaka 2021 Machi 27.

Haturudi tena kwenye ushamba wa Kolomije
 
Sibora huyu alikuwa anazunguka kwa watanganyika wenzie kujua shida zao na kuzitatua na kuwagawia wanyonge keki ya taifa waweze kujenga mashule na shida mbalimbali,huyu wa sasa anaenda kudanga kwa wazungu,mpaka anashikwashikwa eti anatangaza vivutio,upuuzi mtupu,amefanya maisha ya watanganyika kuwa magumu kwa ujinga wake,akifikiri kila kitu ni mpaka ulaya
 
Kukubali kuitwa mnyonge ni kuidhalilisha nafsi yako. Mungu aliumba binadamu mkamilifu mwenye nguvu za mwili na ubongo.

Yeyote akizitumia akili zake na nguvu zake vizuri ana uwezo wa kupiga hatua kiuchumi na kijamii.

Usikubali kuitwa Mnyonge, utapata LAANA kama aliyoondoka nayo Mwendazake
 
Magufuli ilikuwa takataka tu. Alipata urais kwa mvutano tu wa kamabi Lowassa dhidi ya kambi Membe. Ilikuwa ni ajali, Nchi yetu haikustahili kutawaliwa na KICHAA
Show respect mkuu
 
Umenena vyema
 
Show respect mkuu
Teach me how to respect a a ruthless dictator, a social alienator, an election rigger, a murderer, a corrupt and a pathological liar, I will never comprehend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…