Mambo matatu Muhimu kabla hatujamsahau Hayati Dkt. Magufuli

Teach me how to respect a a ruthless dictator, a social alienator, an election rigger, a murderer, a corrupt and a pathological liar, I will never comprehend.
Do you hve evidence ?
 
Magufuli ilikuwa takataka tu. Alipata urais kwa mvutano tu wa kamabi Lowassa dhidi ya kambi Membe. Ilikuwa ni ajali, Nchi yetu haikustahili kutawaliwa na KICHAA
Kajiangalie kwenye kioo kichaa nani kati yako na baba yako
 
VIROBOTO hawa achana nao
 
Hahahaha wewe na baba yako nyie ndo mjiondoe ila wapo watanzania wasio kuwa na sauti aliwatetea usifikiri wote wanaishi maisha yko we kibwengo
 

Ww lazima utakuwa ni mzee, ndio maana bado unaamini uwepo wa chama kimoja.
 
Kajiangalie kwenye kioo kichaa nani kati yako na baba yako
Magufuli mwenyewe mwaka 2019 akiwa Mara na Luaga Mpina alikiri kuwa amemchagua Luaga Mpina kuwa Waziri wa Uvuvi kwa vile ni kichaa kama yeye. Ukibisha nakuletea YouTube hapa. BISHA
 
Magufuli mwenyewe mwaka 2019 akiwa Mara na Luaga Mpina alikiri kuwa amemchagua Luaga Mpina kuwa Waziri wa Uvuvi kwa vile ni kichaa kama yeye. Ukibisha nakuletea YouTube hapa. BISHA
Uwe unaelewa kuna utani pia
 
Uwe unaelewa kuna utani pia
Utani gani ? Kwani matendo yake ya ukichaa hukuyaona? Kwa mfano pale Kilwa kuna mtu alimpa jogoo. Akasema atakwenda kumpa Mama yake mzazi amuoe!!

Wewe RNA unaweza kufanya utani unaomhusisha Mama yako mzazi? Kama unaweza na wewe ni kichaa
 
Freeman Aikaeli Mbowe anatufundisha kuishi mbali na ubinafsi. Jamaa zetu wapo tayari kumfidia baadhi ya mali zake kama Greenhouse na Club Billicanas, lakini FAM amekataa akisema wengi wasiojulikana waliumizwa pia, wao vipi? Anapendekeza iundwe tume, tubarikiwe wote tulioathirika.
#MMM.

Huyu mzee MBOWE Ni hazina kwa Taifa,Ni mtu ambaye amejariwa hekima na busara tele, MA-CCM yamekubali kumfidia kila kitu kilichoharibiwa na utawala waJPM na utawala wa kikatili, serikali ya Samia imekubali kumlipa bilcanas,ile bustani yake ya kisasa yaani greenhouse, biashara zake lakini mzee wetu MH MBOWE kakataaaa duhhhhh.
 
Mwamba Mbowe na Lissu Mungu amewabariki sana.

Wameacha vyote kwa ajili ya ufalme wa Mungu.
 
Thibitisha haya maneno yako
 
Mtalikumbuka sana jembe, kuna mambo ya kitoto sana yanayofanyika mbele ya watu wazima hivi sasa. Binafsi tozo naiona ni njama ya kifisadi zaidi kukiko inavyotafsiriwa ila kwa kuwa wapigaji ni wana CCM hutaskia kitu.
 
Kulikoni hao wahuni uliowataja ni bora hata raisi ukawa wewe tusiekujua.
 
Je kabla kampuni ya simu haijasambaza huduma za mtandao wake, huwa wanamlazimisha mteja alipie gharama za minara?

Hata kama kampuni za simu zinawauzia watu simu, hizo simu si zinakuwa mali ya mteja?
TANESCO hawajajipanga kutoa huduma. Huwezi kuwa unadai unatoa huduma halafu facilities mteja azilipie. Hata uko Ulaya ambako ndio mambo haya yalianzia facilities ni jukumu la mtoa huduma.

Ila bongo tumezoeshana vibaya sana yani serikali inataka mwananchi ndio alifanyie majukumu yake kwa kulipia facilities shirika miaka yote linaendeshwa kwa hasara wakati wanauza Luku kwa wananchi.

Serikali inafurahia hii Monopoly na ndio inapelekea uzembe wa kupindukia.
 
Yes hazigawi simu bure...bt simu ni mali ya mteja au ya kampuni za simu?

Kwa mfano wako huu inamaanisha kua Nguzo na mita zilipaswa kua mali ya Mteja, je ndivyo ilivyo?
Ingekuwa sahihi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…