hahahah NILIKUWEMO pale nane.. nane... HAHAHAH daah hawa jamaa WASHAMBA kinommaaaa... heheheh na vijamaa vyao vinavaa visuruali vya kubana hata hawapendezi.. dah
Ushamba = MTU wa shambani , heshima hiyo
Huko kwenu kumejaa matapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah NILIKUWEMO pale nane.. nane... HAHAHAH daah hawa jamaa WASHAMBA kinommaaaa... heheheh na vijamaa vyao vinavaa visuruali vya kubana hata hawapendezi.. dah
Ushamba = MTU wa shambani , heshima hiyo
Huko kwenu kumejaa matapeli
HOME town NI ROCK CITY... mzee....
DAR ni makazi tuu..
na unajua STATUS ya msukuma.. vizuri
yaan kuonesha nyie ni WASHAMBA... siku ya 8/8 badala ya kuangalia vitu vya muhimu.. mijitu inashangaa shangaa tu.. nilikuwa nawacheki tu.. na ule mziki wenu mnao wekewa.. mziki wa dully sykes enzi hizo.. na kina pepe kale.. daah nilicheka sana siku ile...Ushamba = MTU wa shambani , heshima hiyo
Huko kwenu kumejaa matapeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani kama kuna mtu unamdai alaf yupo Songea, basi mvizie siku ya nane nane. Lazima utampata tu maana hakuna sehem nyingine ataenda zaidi ya pale.hahahah NILIKUWEMO pale nane.. nane... HAHAHAH daah hawa jamaa WASHAMBA kinommaaaa... heheheh na vijamaa vyao vinavaa visuruali vya kubana hata hawapendezi.. dah
yaan kuonesha nyie ni WASHAMBA... siku ya 8/8 badala ya kuangalia vitu vya muhimu.. mijitu inashangaa shangaa tu.. nilikuwa nawacheki tu.. na ule mziki wenu mnao wekewa.. mziki wa dully sykes enzi hizo.. na kina pepe kale.. daah nilicheka sana siku ile...
Shinyanga back in 2014 hv, daladala za kule ni baiskeli nilishangaa sana. sijui kwa sasa kama bado zipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani kama kuna mtu unamdai alaf yupo Songea, basi mvizie siku ya nane nane. Lazima utampata tu maana hakuna sehem nyingine ataenda zaidi ya pale.
kumbe inauma ivi mkiambiwa ukweliWewe ndiye hujitambuwi
Sisi tunaishi kijamaa
Kindungu na siyo kinafiki
Wewe nimnafiki mwanza naielewa. Sana
Kwimba, misungwi, nk kule ukienda ?
Unapikiwa kwa heshima
Ugali na sansa zilizotiwa samli
Pembeni ntunda ya mabele
Ukishiba uletewa ndili ya ng'ombe kulala
Ushamba na unafiki wako kujifanya wa barabara ya nyerere mtaa wa duka la shinyanga industrial karibu na ccm mko mwanza, au kule kwa makufuli.
Tukuza asili yako usiwe kilaza ngosha
kumbe inauma ivi mkiambiwa ukweli
basi muache kutuita wanaume wa dar
hakuna dada zenu yoyote yule atakaekuja mjini tusimgonge hata kama tunatumia vumbi ila tunaweza kuwapa dada zetu wote mjini hapa na msimgonge hata mmoja pamoja na kutumia mihogo na karangaSisi wala mihogo na karanga tunaweza shughuli zote
Nasikia simulizi daa mpaka unga wa Kongo ndo kidogo mnawika!
hakuna dada zenu yoyote yule atakaekuja mjini tusimgonge hata kama tunatumia vumbi ila tunaweza kuwapa dada zetu wote mjini hapa na msimgonge hata mmoja pamoja na kutumia mihogo na karanga
Lugha gani hii mkuu? Mbona kama umepanic?
Hilo sio tatizo unajifia taaluma ya wazungu? Ona aibu
Tabora kuna asali asilia wanajivunia
Wewe unajivunia baada ya ushamba uleule
Yaani mtu anaweka jiwe kwenye siti anazunguka akifika anakaa!ole wako ukae![emoji1] [emoji1] [emoji1] wanazingua sana
We jamaaaa daah!sikuwezi kwa story![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ilikuwa kijiji fulani tabora.... wabakijiji hawaijui AC ..
tulikuwa safari sasa tunataka watuelekeze tukawapa lift baada tu ya kuingia ndani ya gari mmoja akaanza kumwambia mwenzake kwa rafudhi ya kinyamwezi tukifika nyumbani itabidi uwabeshe watoto masweta hali baridi siunaliona...mwenzake akawa anajibu yaani hii hali ya hewa ya siku hizi inabadilika badilika tu vipi huko dar nako kuna libaridi au ni joto tu
me na mwenzangu mbavu hatuna kwa kucheka huku tukiwaambia dar joto kali sana.
nahisi tulivyowashusha waliendelea na imani yao kuwa hali ya hewa ya tabora imekuwa yakubadilika badilika [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mkoani nomaaa!asikuambie mtu!yaani vijjin huko ni tafraniyaan kuonesha nyie ni WASHAMBA... siku ya 8/8 badala ya kuangalia vitu vya muhimu.. mijitu inashangaa shangaa tu.. nilikuwa nawacheki tu.. na ule mziki wenu mnao wekewa.. mziki wa dully sykes enzi hizo.. na kina pepe kale.. daah nilicheka sana siku ile...
Mpk kesho zipo!yaani shy town bwana hawana ujanja wa kuacha baiskeliShinyanga back in 2014 hv, daladala za kule ni baiskeli nilishangaa sana. sijui kwa sasa kama bado zipo