Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

Songea Raha sana. huku hakuna stand za daladala, Hiace zinasimama popote. bodaboda/madereva yebo wao wamechangamka kishenzi ukiwa unatembea barabarani wanakupigia honi nakukuuliza kama unaenda.

Huku hata Superfeo huo linasimama barabarani watu wanunue maembe na viazi. Ila ni kitu poa maana vile viazi ni vitamu balaa. Ila haka kamji napenda maana sehemu kubwa kamepangika vizuri. maeneo ya kuzunguka mjini kati hukuti ujenzi holela kama miji mingine.
 
ilikuwa kijiji fulani tabora.... wabakijiji hawaijui AC ..

tulikuwa safari sasa tunataka watuelekeze tukawapa lift baada tu ya kuingia ndani ya gari mmoja akaanza kumwambia mwenzake kwa rafudhi ya kinyamwezi tukifika nyumbani itabidi uwabeshe watoto masweta hali baridi siunaliona...mwenzake akawa anajibu yaani hii hali ya hewa ya siku hizi inabadilika badilika tu vipi huko dar nako kuna libaridi au ni joto tu

me na mwenzangu mbavu hatuna kwa kucheka huku tukiwaambia dar joto kali sana.

nahisi tulivyowashusha waliendelea na imani yao kuwa hali ya hewa ya tabora imekuwa yakubadilika badilika [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Hahahaha........kama ni kushambulia watu wa Mikoani hii imepitiliza
 
yaan kuonesha nyie ni WASHAMBA... siku ya 8/8 badala ya kuangalia vitu vya muhimu.. mijitu inashangaa shangaa tu.. nilikuwa nawacheki tu.. na ule mziki wenu mnao wekewa.. mziki wa dully sykes enzi hizo.. na kina pepe kale.. daah nilicheka sana siku ile...
Hahahaha........
 
Songea Raha sana. huku hakuna stand za daladala, Hiace zinasimama popote. bodaboda/madereva yebo wao wamechangamka kishenzi ukiwa unatembea barabarani wanakupigia honi nakukuuliza kama unaenda.

Huku hata Superfeo huo linasimama barabarani watu wanunue maembe na viazi. Ila ni kitu poa maana vile viazi ni vitamu balaa. Ila haka kamji napenda maana sehemu kubwa kamepangika vizuri. maeneo ya kuzunguka mjini kati hukuti ujenzi holela kama miji mingine.
Seemz ni mwenyeji wa songea
 
Umeleta habari tumejua ya huko

Ila kwa hili chini umechemka na umatia aibu kumcheka mtu aliyekuwa hana nauli ya kutosha.. na kumsaidia kwako.. duh

-->> Baada ya jamaa kupanda, namuuliza konda, jamaa anashilling ngapi ili nimuongezee? Konda ananiambia jamaa ana Tsh 100 tu.
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png

-->> Wanaume wa mikoani kuweni serious basi.

Jisikitikie... aibu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wa Songea bhana
Mlilayoyo, Hanga, bara bara ya kwanza, kwa Homera, Chuoni, Mputa, Luhimbalilo, ya saba, Naikesi, kitanda
Kuna matiri..kigonsera
 
Hiyo mikoa kweli kiboko,mkoa gani huo mbona mkoa niliokuwa mm sijawahi kuona mambo hayo
 
Umeleta habari tumejua ya huko

Ila kwa hili chini umechemka na umatia aibu kumcheka mtu aliyekuwa hana nauli ya kutosha.. na kumsaidia kwako.. duh

Jisikitikie... aibu

Hawa ndio wanaokusaidia huku wanakusimanga,ndio wanaume wa dar hao mkuu
 
Wewe umetembelea mikoa ya kike(Dar, Tanga, Moro... ongeza) na utakuwa umetoka mkoa wa kike( DSM)na siyo mikoa ya kiume( Arusha, Mwanza, Kilimanjaro,......ongeza mingine)
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Umeleta habari tumejua ya huko

Ila kwa hili chini umechemka na umatia aibu kumcheka mtu aliyekuwa hana nauli ya kutosha.. na kumsaidia kwako.. duh

Jisikitikie... aibu
Nimekusikitikia wewe na sio mimi.
 
ilikuwa kijiji fulani tabora.... wabakijiji hawaijui AC ..

tulikuwa safari sasa tunataka watuelekeze tukawapa lift baada tu ya kuingia ndani ya gari mmoja akaanza kumwambia mwenzake kwa rafudhi ya kinyamwezi tukifika nyumbani itabidi uwabeshe watoto masweta hali baridi siunaliona...mwenzake akawa anajibu yaani hii hali ya hewa ya siku hizi inabadilika badilika tu vipi huko dar nako kuna libaridi au ni joto tu

me na mwenzangu mbavu hatuna kwa kucheka huku tukiwaambia dar joto kali sana.

nahisi tulivyowashusha waliendelea na imani yao kuwa hali ya hewa ya tabora imekuwa yakubadilika badilika 😂😂😂
Nakubaliana na wewe na wao.
Ukute toka wazaliwe elimu ni darasa la saba.
Hawajatoka nje ya kijiji.
Unategemea siku akipanda gari yenye ac kwa mara ya kwanza atajisikiaje
 
Ole ujichangaye upande gari linalokwenda mnadani.
Utawekewa mzigo wa mtu kichwani na unalazimishwa kutulia.
Gari halijai kabisa kila anayesimamisha anabebwa na mzigo wake.
Noa inabeba hadi watu 30, kukaliwa na mtu ni ruksa.
 
Back
Top Bottom