Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

hahahah NILIKUWEMO pale nane.. nane... HAHAHAH daah hawa jamaa WASHAMBA kinommaaaa... heheheh na vijamaa vyao vinavaa visuruali vya kubana hata hawapendezi.. dah

Ushamba = MTU wa shambani , heshima hiyo

Huko kwenu kumejaa matapeli
 
Ushamba = MTU wa shambani , heshima hiyo

Huko kwenu kumejaa matapeli
yaan kuonesha nyie ni WASHAMBA... siku ya 8/8 badala ya kuangalia vitu vya muhimu.. mijitu inashangaa shangaa tu.. nilikuwa nawacheki tu.. na ule mziki wenu mnao wekewa.. mziki wa dully sykes enzi hizo.. na kina pepe kale.. daah nilicheka sana siku ile...
 
hahahah NILIKUWEMO pale nane.. nane... HAHAHAH daah hawa jamaa WASHAMBA kinommaaaa... heheheh na vijamaa vyao vinavaa visuruali vya kubana hata hawapendezi.. dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani kama kuna mtu unamdai alaf yupo Songea, basi mvizie siku ya nane nane. Lazima utampata tu maana hakuna sehem nyingine ataenda zaidi ya pale.
 
Shinyanga back in 2014 hv, daladala za kule ni baiskeli nilishangaa sana. sijui kwa sasa kama bado zipo
 
Wewe ndiye hujitambuwi

Sisi tunaishi kijamaa
Kindungu na siyo kinafiki

Wewe nimnafiki mwanza naielewa. Sana
Kwimba, misungwi, nk kule ukienda ?

Unapikiwa kwa heshima
Ugali na sansa zilizotiwa samli
Pembeni ntunda ya mabele
Ukishiba uletewa ndili ya ng'ombe kulala

Ushamba na unafiki wako kujifanya wa barabara ya nyerere mtaa wa duka la shinyanga industrial karibu na ccm mko mwanza, au kule kwa makufuli.

Tukuza asili yako usiwe kilaza ngosha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani kama kuna mtu unamdai alaf yupo Songea, basi mvizie siku ya nane nane. Lazima utampata tu maana hakuna sehem nyingine ataenda zaidi ya pale.

Huku hakuna matapeli shekh yanini kuviziana mkuu
 
kumbe inauma ivi mkiambiwa ukweli
basi muache kutuita wanaume wa dar
 
Sisi wala mihogo na karanga tunaweza shughuli zote

Nasikia simulizi daa mpaka unga wa Kongo ndo kidogo mnawika!
hakuna dada zenu yoyote yule atakaekuja mjini tusimgonge hata kama tunatumia vumbi ila tunaweza kuwapa dada zetu wote mjini hapa na msimgonge hata mmoja pamoja na kutumia mihogo na karanga
 
hakuna dada zenu yoyote yule atakaekuja mjini tusimgonge hata kama tunatumia vumbi ila tunaweza kuwapa dada zetu wote mjini hapa na msimgonge hata mmoja pamoja na kutumia mihogo na karanga

Thubutu, kungongwa ni njaa ya wao kushibishwa kimwili sio midebwedo
 
Hilo sio tatizo unajifia taaluma ya wazungu? Ona aibu

Tabora kuna asali asilia wanajivunia

Wewe unajivunia baada ya ushamba uleule

stop your negativity... kuna sehemu hapo nimejisifia au tu nimeshangaa kuwa hawajui AC ukute hata na mm wapo wanaonishangaa kwa kutojua mambo fulani je na wao watakuwa wanajisifia?

au hata tofauti ya kushangaa na kujisifia huijui

EMPTY SET
 
We jamaaaa daah!sikuwezi kwa story![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mkoani nomaaa!asikuambie mtu!yaani vijjin huko ni tafrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…