Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

kumbe inauma ivi mkiambiwa ukweli
basi muache kutuita wanaume wa dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eti hizo ndio punch za mwanaume wa Dar kwenda kwa Wanaume wa Mikoani. Upuuzi endeleeni kula chips yai
 
Ushaambiwa kijiji kinaitwa Subira ..Ulipaswa kuwa na subira ..When u u are in Rome behave like Romans
 
Wanaume wa mikoani nawasifu wana mke zaidi ya mmoja haswa huko songea!wa dar wanaogopa wake zao kuongeza mke
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mkoani nomaaa!asikuambie mtu!yaani vijjin huko ni tafrani
hatar yaan mpaka leo WANAVAA suruali za GUCCI... zile za kufuta na kitambaa.. ahahah kwao ndio zinaingia,,,,

nimeenda soko lao la nguo kuchek koti.. maan huku kuna kibarid fulan hiv tofauti na Dar.. SAS nimekuta eti jezi za MANCHESTER za mwaka 90..ndio wanauziwa.. huku
 

mzee mbona POVU... kisa kuwaambia ukweli... na kama ulikuwepo ktk maonyesho ya 8/8 hapo songea niulize chochote nikujibu.. maana nimeshuhudia USHAMBA wenu.. hapo... dah.. ngoj nitulie.. tu
 
Yani mkuu upo sahihi kwa asilimia 100.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mzee mbona POVU... kisa kuwaambia ukweli... na kama ulikuwepo ktk maonyesho ya 8/8 hapo songea niulize chochote nikujibu.. maana nimeshuhudia USHAMBA wenu.. hapo... dah.. ngoj nitulie.. tu
Yani mkuu sio mpaka akwambie, ni lazima alikuwepo tu pale nane nane. Wote hukutana pale, na yeye alikuwepo. Tena yawezekana ni yule aliyekuwa kavaa kijeans kinabana sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza mee sipelek gati huko pili inaonekana madereva waawabanjuwa kweli wanawake wa kingoni
 
Wanyamwezi na ndugu zao wasukuma hao
 
kwenye mia uezengua hahahahahahaaha umeniacha hoiiii
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaani nimecheka balaa!!siku ya mnada ndo siku ya kidate nguo zao za rangiii ile ya mng'ao kaah!mpk Leo wanasikiliza TBC aka Radio tz
 
Watanzania bana badala ya kubuni fursa huko wanapoita washamba mmebaki kuchekelea na kusimanga ndugu zenu wakati huko dar imeshikwa na wazungu,wahindi,waarabu wanawapeleka watakavyo wao daaah USHAMBA WA MWAFRIKA bana
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…