Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

Songea Raha sana. huku hakuna stand za daladala, Hiace zinasimama popote. bodaboda/madereva yebo wao wamechangamka kishenzi ukiwa unatembea barabarani wanakupigia honi nakukuuliza kama unaenda.

Huku hata Superfeo huo linasimama barabarani watu wanunue maembe na viazi. Ila ni kitu poa maana vile viazi ni vitamu balaa. Ila haka kamji napenda maana sehemu kubwa kamepangika vizuri. maeneo ya kuzunguka mjini kati hukuti ujenzi holela kama miji mingine.
 
Duh! Hahahaha........kama ni kushambulia watu wa Mikoani hii imepitiliza
 
Hahahaha........
 
Seemz ni mwenyeji wa songea
 
Umeleta habari tumejua ya huko

Ila kwa hili chini umechemka na umatia aibu kumcheka mtu aliyekuwa hana nauli ya kutosha.. na kumsaidia kwako.. duh

-->> Baada ya jamaa kupanda, namuuliza konda, jamaa anashilling ngapi ili nimuongezee? Konda ananiambia jamaa ana Tsh 100 tu.

-->> Wanaume wa mikoani kuweni serious basi.

Jisikitikie... aibu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wa Songea bhana
Mlilayoyo, Hanga, bara bara ya kwanza, kwa Homera, Chuoni, Mputa, Luhimbalilo, ya saba, Naikesi, kitanda
Kuna matiri..kigonsera
 
Hiyo mikoa kweli kiboko,mkoa gani huo mbona mkoa niliokuwa mm sijawahi kuona mambo hayo
 
Umeleta habari tumejua ya huko

Ila kwa hili chini umechemka na umatia aibu kumcheka mtu aliyekuwa hana nauli ya kutosha.. na kumsaidia kwako.. duh



Jisikitikie... aibu

Hawa ndio wanaokusaidia huku wanakusimanga,ndio wanaume wa dar hao mkuu
 
Wewe umetembelea mikoa ya kike(Dar, Tanga, Moro... ongeza) na utakuwa umetoka mkoa wa kike( DSM)na siyo mikoa ya kiume( Arusha, Mwanza, Kilimanjaro,......ongeza mingine)
 
Reactions: Pep
Umeleta habari tumejua ya huko

Ila kwa hili chini umechemka na umatia aibu kumcheka mtu aliyekuwa hana nauli ya kutosha.. na kumsaidia kwako.. duh



Jisikitikie... aibu
Nimekusikitikia wewe na sio mimi.
 
Nakubaliana na wewe na wao.
Ukute toka wazaliwe elimu ni darasa la saba.
Hawajatoka nje ya kijiji.
Unategemea siku akipanda gari yenye ac kwa mara ya kwanza atajisikiaje
 
Ole ujichangaye upande gari linalokwenda mnadani.
Utawekewa mzigo wa mtu kichwani na unalazimishwa kutulia.
Gari halijai kabisa kila anayesimamisha anabebwa na mzigo wake.
Noa inabeba hadi watu 30, kukaliwa na mtu ni ruksa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…