Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

Kipera,Subira, mitomiwili, mungano,
 
Ole ujichangaye upande gari linalokwenda mnadani.
Utawekewa mzigo wa mtu kichwani na unalazimishwa kutulia.
Gari halijai kabisa kila anayesimamisha anabebwa na mzigo wake.
Noa inabeba hadi watu 30, kukaliwa na mtu ni ruksa.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Njoo seedfarm kwa diwani festo nguruwe kilo elfu 6!!!
 
HOME town NI ROCK CITY... mzee....

DAR ni makazi tuu..

na unajua STATUS ya msukuma.. vizuri
Wasukuma sikukuu wanaenda tembea daraja la furahia, wanajazana hapo wakila ice cream wao wanaita koni.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…