Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Mimi sitakaa nisamehe yule punguani.
1. Kupora korosho na kuwaita watu majina mabaya kama kina kangomba wakati hukohuko kina mbung'o akapiga rushes za kutosha hadi kurudi nazo kwenye sandarusi.
2. Kupigwa risasi kwa lisu kama jambazi wakati ni raiya mwema kabisa . Tena mpaka leo hajakamatwa hata kibaka kama yule wa ulimboka. Tena wakihoji alipo dereva wa lisu kama vile yye ndo alimpiga risasi.
Acha moto wa mungu ufanye kazi yake
 
Magufuli alikuwa devil kabisa, amefanya hadi leo tusiwe na ajira ambazo ni wazi kabisa mimi toka 2016 nilimchukia hadi natangaziwa amekufa nilipiga makofi na kushangilia miezi michache tu mke wangu akaajiriwa baada ya Samia kutoa ajira. MAGU NI SHETWANIII
 
Aliyekuja kusamehe dhambi hapa duniani ni Yesu tuu, wewe umetumwa na Nani kusamehe dhambi?
Kaa na zigo lako.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mengine yanakuwa maneno tu! Kwani Mnyika alimwambia JPM kuwa vyuma vimekaza wakiwa wapi? Walikuwa wanakunhwa kahawa? Si walikuwa katika uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa barabara njia 8? Au maeneo ya mradi yalikuwa chini ya CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…