Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Mbona humu JF mnateseka sanaaa na marehem...Eeeh yaan nguvu Nyingi hutumika kumpinga na kumtukana tena marehem ambae asaivi huenda ana jibu kwa Muumba.

Hapa mnafanya watu wamiini humu wengi ni wadhalim mnataka asahaulike kirahisi japo wananchi wake bado angali Moyon mwao
 
Ujinga ni ugonjwa mbaya sana ukiamini katika ujinga utabakia kuwa mpumbavu na mwehu,usipende kutetea uovu katika Taifa huru kwa maslahi yako.
 
Usitulazimishe kama vile na sisi hatukumlazimisha yeye kuwa dhalimu
 
Unahoja nyng, lkn tambua jombi hakua mtu
Kila utawala una mazuri na mapungufu yake! Tumsamehe Mwendazake kwa yale yote tunayohisi alikosea na tuyachukue yale mazuri yake! Hakuna binadamu aliye mkamilifu.
 
Sijui ni upole au ujinga wa kukubali udhalimu na udhalilishaji mpaka mtu anamuita mwenzie mungu
 
Kila utawala una mazuri na mapungufu yake! Tumsamehe Mwendazake kwa yale yote tunayohisi alikosea na tuyachukue yale mazuri yake! Hakuna binadamu aliye mkamilifu.
Mimi ntasamehe kwa yote na yeyeto lakini kwa dhalimu Jiwe, HAPANA
 
Ukitenda uovu/wema katika level ya uongozi wa juu wa nchi, ni ngumu sana watu wako kukusahau hata ipite karne. Ndiyo maana mpaka leo Nyerere bado anakumbukwa kwa sababu alitenda mema. Jiwe pia atakumbukwa kwa miaka mingi kwa sababu alikuwa dhalimu na muovu.
 
Ujinga ni ugonjwa mbaya sana ukiamini katika ujinga utabakia kuwa mpumbavu na mwehu,usipende kutetea uovu katika Taifa huru kwa maslahi yako.
Mjinga na mpumbavu ni wewe na familia yenu au yako unaelazimisha kutuaminisha vitu visivyo na ushahidi kwa ajili ya chuki zako binafsi.Nyinyi kwenu mwerevu ni yule anayekubaliana na pumba zenu mkitofautiana hoja zinaanza mvua za matusi.alafu mnataka mpewe nchi.
 
Ukweli utabaki pale pale Magufuri hakuwa rais mstaarabu bali dhalimu
 
Takataka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…