Uguswelana chane
Member
- Oct 24, 2019
- 14
- 38
Kama Mh. Kabudi ni Utopian basi ni dhahiri amemrithi Mwalimu Nyerere kwani Baada ya makubalianoAnaongea as if wazungu wanaona uchungu na sisi waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndo furaha yao. Halafu anafikili wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao wachina watatusaidia Nini.
Wachina hata waone waafrica wanachinjana wao hawajari ili radi wanaextract wanavyotaka.
Afadhali kidogo hao wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapazq sauti. Mana viongozi wa Africa Ni maductator almost wote na wauaji pia.
Mheshimiwa, Kwanza fanya bidii kubwa kuondoa jina unalotumia tafuta linaloweza kukupa heshima mbele ya jamiii kwa ujumla.Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.
Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
Alisema Mshindi wa tuzo ya Nobel Askofu Desmond Tutu "kuona uonevu nawe ukanyamaza unakua sehemu ya uonevu huo"Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.
Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
Kama Mh. Kabudi ni Utopian basi ni dhahiri amemrithi Mwalimu Nyerere kwani Baada ya makubaliano
kwa wanachama wa OAU kuomba uingereza ingilie serikali ya mpwa wake Ian Smith, waliazimia kuwa kama nchi hiyo haikufanya hivyo basi zote wanachama zingevunja uhusiano na UK. Kwa kumbu kumbu zangu ninadhani ni Zambia na Tanzania tu zilifanya hivyo bila ya kujali athari ya kufanya hivyo.
Mwisho wa siku uamuzi huu uliupa heshima kubwa Tanzania na Zambia na ulifanya wapate marafiki wa kweli ambao wanadumu nao hadi leo.
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.
Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
Unataka waoneeheje kama kila siku wanabambikiwa kesi mahakamani kiaribu kila kiongozi wa upinzani amepewa kesi! Istoshe wakiitisha mikutano kuongea na wananchi wanatishwa na intelligensia ya polisi! Utafanyaje uongozi wakati unanyimwa room ya kufanya siasa. We mjinga kabisa huna akiliTatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
Unataka waoneeheje kama kila siku wanabambikiwa kesi mahakamani kiaribu kila kiongozi wa upinzani amepewa kesi! Istoshe wakiitisha mikutano kuongea na wananchi wanatishwa na intelligensia ya polisi! Utafanyaje uongozi wakati unanyimwa room ya kufanya siasa. We mjinga kabisa huna akili
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
Mheshimiwa, Kwanza fanya bidii kubwa kuondoa jina unalotumia tafuta linaloweza kukupa heshima mbele ya jamiii kwa ujumla.
Sio kosa lako kuwa mpumbavu kwasababu wewe ni matunda ya baba yako na mama yako kukutana wakati wa upepo wa kisulisuli!! Hao niliowataja hawajaanza siasa leo walianza kabla ya baba yako kuzaliwa na hawakuonesha ukomavu wowowte; hata wangeruhusiwa matokeo yake yangekuwa kugombania vyeo na ruzuku!!