Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jee sababu zile zina fanana na za sasa kwa Zimbabwe hii chini ya ZANU PF?Kama Mh. Kabudi ni Utopian basi ni dhahiri amemrithi Mwalimu Nyerere kwani Baada ya makubaliano
kwa wanachama wa OAU kuomba uingereza ingilie serikali ya mpwa wake Ian Smith, waliazimia kuwa kama nchi hiyo haikufanya hivyo basi zote wanachama zingevunja uhusiano na UK. Kwa kumbu kumbu zangu ninadhani ni Zambia na Tanzania tu zilifanya hivyo bila ya kujali athari ya kufanya hivyo.
Mwisho wa siku uamuzi huu uliupa heshima kubwa Tanzania na Zambia na ulifanya wapate marafiki wa kweli ambao wanadumu nao hadi leo.
Ukweli mtupu Zimbabwe imefika hapo kwa ujinga wa mgabeKabudi kwa bahati mbaya ni msoma wa karatasi asie na exposure...
Muongo, mtu wa nadharia na kujimwambafy kwingi. .
Ni bahat mbaya sana Rais wetu kushauriwa na mtu wa namna yake kwenye suala lolote lile....
Nani asiejua kuzama kwa Zimbabwe ni ubinafsi wa Mugabe kutaka kuendelea kungangania madaraka hata baada ya kuambiwa angatuke, hivo kuamua kuwanyanganya wazungu matajiri mashamba kama sehem ya kulipa kisasi
Huu ujinga wa kudhani Africa itajikomboa kwa siasa uchwara za historia ni ujinga beyond symbolism. ..
Bahati mbaya tuna wanasiasa very unproductive na wasioona kesho ya nchi ukilinganisha na hao wanaowaita mabeberu. ...
What a disgrace
Nami nauliza, hivi watanzania tumezaliwa ili kuwasaidia watu wa mataifa mengine kupata wanachokitaka huku sisi tukizidi kudidimia na kuzama kwenye umaskini?
Kama nchi, Ina maslahi gani ya kiuchumi ambayo yatatunufaisha kiuchumi?
Kama hakuna litakalotunufaisha na kuinua watu wetu kiuchumi yanini basi kupoteza marafiki wazuri wanaotukopesha na kutusaidia kwa ajili ya uzembe wa mtu mmoja kufanya maamuzi yaliyodidimiza taifa lake?
Kama taifa lilipigana Vita vya ukombozi na kupoteza rasilimali nyingi Hadi nchi hizo kujitawala na hatukunufaika zaidi ya sifa zisizo na faida Kuna haha gani ya kuyarejea Tena hayo? Hebu watuache kidogo
Unataka waoneeheje kama kila siku wanabambikiwa kesi mahakamani kiaribu kila kiongozi wa upinzani amepewa kesi! Istoshe wakiitisha mikutano kuongea na wananchi wanatishwa na intelligensia ya polisi! Utafanyaje uongozi wakati unanyimwa room ya kufanya siasa. We mjinga kabisa huna akili
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
Nimewasikiliza wasomi pale udsm leo bado wana mawazo ya kina nyerere
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
Kwa Wazungu issue siyo kutwaa Ardhi yao,bali waliitwaaje ndio hoja ya msingi kwao.Kabudi kutetea wazimbabwe namuunga mkono, maana adhabu dhidi ya Zimbabwe ilitokana na chuki ya Zimbabwe kutwaa ardhi yao kutoka kwa Wazungu
Mkuu Ni upumbavu tu unatusumbua, African ya kusini ndio hao wanatupiga mawe mtaani, tulikorofishana na Israel kisa Palestine Wala sioni faida ya kushirikiana na wapalestina. Sasa tunaanza kujiingiza kwenye liugomvi ambalo hatujui lilianzia wapiNami nauliza, hivi watanzania tumezaliwa ili kuwasaidia watu wa mataifa mengine kupata wanachokitaka huku sisi tukizidi kudidimia na kuzama kwenye umaskini?
Kama nchi, Ina maslahi gani ya kiuchumi ambayo yatatunufaisha kiuchumi?
Kama hakuna litakalotunufaisha na kuinua watu wetu kiuchumi yanini basi kupoteza marafiki wazuri wanaotukopesha na kutusaidia kwa ajili ya uzembe wa mtu mmoja kufanya maamuzi yaliyodidimiza taifa lake?
Kama taifa lilipigana Vita vya ukombozi na kupoteza rasilimali nyingi Hadi nchi hizo kujitawala na hatukunufaika zaidi ya sifa zisizo na faida Kuna haha gani ya kuyarejea Tena hayo? Hebu watuache kidogo
Nami nauliza, hivi watanzania tumezaliwa ili kuwasaidia watu wa mataifa mengine kupata wanachokitaka huku sisi tukizidi kudidimia na kuzama kwenye umaskini?
Kama nchi, Ina maslahi gani ya kiuchumi ambayo yatatunufaisha kiuchumi?
Kama hakuna litakalotunufaisha na kuinua watu wetu kiuchumi yanini basi kupoteza marafiki wazuri wanaotukopesha na kutusaidia kwa ajili ya uzembe wa mtu mmoja kufanya maamuzi yaliyodidimiza taifa lake?
Kama taifa lilipigana Vita vya ukombozi na kupoteza rasilimali nyingi Hadi nchi hizo kujitawala na hatukunufaika zaidi ya sifa zisizo na faida Kuna haha gani ya kuyarejea Tena hayo? Hebu watuache kidogo
Katiba yetu ni ya mwaka 77, bado changa labda useme Ni njitiHuwezi kuona au kujua kwamba tatizo kubwa linaanzia kwenye katiba iliyozeeka ambayo inatumiwa vibaya na hauheshimiwi na watawala wala kuwawajibisha wanasiasa? Huwezi kuona kwamba matatizo ya upinzani hutengenezwa na watawala kila baada ya miaka kumi upinzani unapoimarika? (Rejea NCCR, TLP, CUF na sasa CHADEMA) kwanini sio MZEE MAPESA AND CO.?
napata aibu kuona upinzani dhaifu na wa hovyo unajimwambafai kutaka madaraka makubwa nchini mwetu.
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
Watekaji, wauaji, wafungaji watu kwenye viroba, wakiukaji wa demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, wabambikiaji kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha,, walioshindwa kuongeza mishahara miaka minne, kupandisha madaraja miaka minne, wauaji wa uchumi, biashara, uhusiano wa kimataifa, wanaribifu wa nchi, wakabila, wadini wabaguzi wao ndio sio dhaifu.napata aibu kuona upinzani dhaifu na wa hovyo unajimwambafai kutaka madaraka makubwa nchini mwetu.
Sidhani kama unatumia akili yako sawa sawa kufikiri. Nahisi ni ushabiki wa kiCCM ndio unakusumbua.
Hivi kwa fikra zako unataka viongozi wa upinzani waongoze kwa namna ipi??.
Hivi kwa upeo wako unaona mazingira ya sasa ni rafiki kiuongozi kwa wanasiasa wanaotoka vyama vya upinzani akina Mbowe, Zitto, Lema, n.k??
Raisi amekua akiwabagua wapinzani hadharani tena akiwaambia Wananchi waliowachagua kwamba walikosea kuchagua upinzani hivyo wasahau kupata huduma za kijamii kama vile barabara, maji,n.k na maendeleo kwa ujumla.
Raisi anaona viongozi wanaotoka vyama vya upinzani kama maadui, wahujumu uchumi na wasaliti nambari moja wa taifa wanaopaswa kutengwa, kuteswa na kuuwawa kikatili. Unataka wapinzani waongoze kwa namna gani katika mazingira kama hayo!!
Wapinzani wataleta maendeleo kwa namna gani ikiwa Serikali inawabagua na imegoma kutimiza wajibu wake wa kuleta huduma za kijamii katika maeneo yanayoongozwa na upinzani??
Wapinzani wataongoza kwa namna gani ikiwa wanakatazwa hata kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama vile haki ya kufanya mikutano na Wananchi wanaowawakilisha??
Unataka Wapinzani waongoze vipi ikiwa wakifanya mikutano polisi wenu wanawatesa kikatili, Wakiandamana kudai haki yao polisi wa chama tawala nawasambalatisha kwa silaha za kivita, Wakienda mahakamani kudai haki yao Amri kutoka juu zinatukima kufanya washindwe kupata haki!! tena wanabambikiziwa kesi na kufungwa kwa makosa hewa!!
Kiukweli kwa mazingira ya siasa kwa taifa letu kwa awamu hii kandamizi mtu anayelaumu wapinzani kua ni dhaifu mtu huyo ni kipofu wa fikra.
Lawama zote ziende kwa John.
Wasalaam.