Mambo mengi anayoongea Prof. Kabudi ni Utopian

Mambo mengi anayoongea Prof. Kabudi ni Utopian

we as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,

ijulikane mzungu anapenda sana damu yake sana tena sana hatokuwa na huruma yoyote pale anapoitetea damu yake au kizazi chake, wale wazimbabwe walivyo leta ubabe kwa ardhi yao kwa wazungu wao wazungu wakachukulia ni kitendo cha kihaini sana so wakawawekea vikwazo wafe waafrica
Vikwazo viliwa target the ruling elite sio raia wa kawaida mtaani . However if they happen to affect those common citizens then it's just collateral damage!! Kuwanyang'anya ardhi weupe might have been a good idea but it was very wrongly implemented!!
 
Kalamaganda Kabudi ni kati ya walioporomosha hadhi ya UDSM kwa matamshi yao ya ovyo ovyo na yasiyoaminika.
 
Huwezi kuona au kujua kwamba tatizo kubwa linaanzia kwenye katiba iliyozeeka ambayo inatumiwa vibaya na hauheshimiwi na watawala wala kuwawajibisha wanasiasa? Huwezi kuona kwamba matatizo ya upinzani hutengenezwa na watawala kila baada ya miaka kumi upinzani unapoimarika? (Rejea NCCR, TLP, CUF na sasa CHADEMA) kwanini sio MZEE MAPESA AND CO.?

Sawa kabisa CCM na Serikali yake inatumia hiyo katiba iliyozeeka kuwakandamiza mahasimu wao, je hao wapinzani wamefanya nini kuhusu kutunga katiba mpya toka Kikwete alipohujumu kazi ya TUME YA WARIOBA? Hiyo ni agenda wakiishikia bango itawabeba sana.

Inashangaza kuona vyama vya upinzani vinakubali kushiriki chaguzi ambazo wanajua dhahiri kuwa hawawezi kutendewa haki!! Huo ni udhaifu wa kiuongozi wa hali ya juu. Lazima kuwa na mbinu mbadala ya kuonesha kwa niaba ya wananchi kuwa hawakubaliani na hali hiyo. Tafadhali usiniombe nikuambie mbinu hizo kwani wanasiasa wakomavu lazima wazijue!

Kusambaratishwa kwa upinzani mara unapoimarika kunatokana na viongozi wa upinzani kutokuwa imara, wengi wao ni wachumia tumbo na ndio maana jitihada zao za kuungana mara zote zinashindwa!!! Sasa kweli unategea Mzee Cheyo, Mrema na huyo wa CHAUMA wawe wapinzani wa kweli? Hao ni mapandikizi wa ccm wanaotumiwa kudhoofisha upinzani.
 
Wachina ni opportunists sana, kuna bibi mmoja wa Kichina anauza urembo sokoni. Anauza vitu vingi vizuri vya urembo. Nilikuwa mteja wake. Siku alivyojua ninatoka Tanzania alitaka tuwe mashost ili apate Tanzanite, ghafla alianza kuuliza namba yangu ya simu.
Lakini hakufanya vibaya, nadhani alitaka muwe marafiki kwanza, na unaweza kuta hata siyo kwa Tanzanite, labda kukuza biashara yake hiyo hiyo ya urembo. Maana mda mwingine, unaweza kujifunza kutoka kwa wateja wako. Kwasababu hakuku exploit kwa manufaa yake sio kama kweli alikuwa opportunist hapo.
 
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!
Ili viongozi wazuri wapatikane ni lazima na wewe ujitambue kwanza.
 
Hakuna haja ya kuanzisha chama kingine, kitu kikubwa ni vyama vilivyopo kujisahihisha, Mfano mzuri ni Chadema, unaweza kunieleza sababu ya chama hicho kuzorota mara baada ya DR. Slaa kuondoka? Kabla ya hapo chama kilikuwa vibrant na Kuwapa wananchi matumaini na hata chama kupata wabunge wengi! Ili warudie hali ile hawana budi kujitathmini na kujisahihisha ili warudie hali yao ya zamani ambapo walikuwa na wafuasi wengi.

Zama zimebadilika watapataje wabunge wengi wakati watangaza matokeo washapigwa biti kutangaza upinzani,sawa upinzani una mapungufu ila hakuna fare competition,pengine tuongee ukweli tuache ushabiki.
 
we as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,

ijulikane mzungu anapenda sana damu yake sana tena sana hatokuwa na huruma yoyote pale anapoitetea damu yake au kizazi chake, wale wazimbabwe walivyo leta ubabe kwa ardhi yao kwa wazungu wao wazungu wakachukulia ni kitendo cha kihaini sana so wakawawekea vikwazo wafe waafrica
Mkuu ulikuwa unataka kusema we should be supporting each other au
 
we as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,

ijulikane mzungu anapenda sana damu yake sana tena sana hatokuwa na huruma yoyote pale anapoitetea damu yake au kizazi chake, wale wazimbabwe walivyo leta ubabe kwa ardhi yao kwa wazungu wao wazungu wakachukulia ni kitendo cha kihaini sana so wakawawekea vikwazo wafe waafrica
Hivi kwanini tunashindwa kulaumu viongozi wetu kutwa tukishindwa wazungu ila mambo yakiwa mazuri nyimbo za marais wetu kusifia utasema miungu watu. Zimbwabwe sio nchi ya kwanza kuwekewa vikwazo lakini hazikufika level ya Zimbabwe kuuwa uchumi wakati viongozi wao wanaendesha magari hata Tz hatuendeshi tumeona msiba wa Mugabe. Umechukuwa ardhi sawa umeifanyia nini hiyo ardhi zaidi ya wakubwa kugawana na kulima hawalimi. Tumia ardhi fanya biashara na wafrica wenzako kwa size ya uchumi wao wasingefikia hapa. Au kunyimwa misaada? tuweni wa kweli ZANU wameuwa nchi tuache kusingizia wazungu wale siku zote wanasema wazi kabisa maslahi yao ni mbele tunaona hata huko Brexit EU wamashikilia makubaliano yenye faida nao wao sio UK hizo ni siasa za wazi wala hawafichi. Tusilete siasa za jumla hapa bila kujuwa ni vikwazo vya aina gani wamewekewa? Zimbabwe wamejichimbia kaburi wenyewe ila viongozi wetu hawana uthubutu kuwanyoshea mkono hawa jamaa nyinyi ndio shida. Ardhi mnayo miaka sasa mnazalisha nini? wewe unadhani leo hii South Africa wangechukuwa viwanda na ardhi kama walivyofanya Zimbabwe wangekuwa kama South Sudan, hawa jamaa ni wavivu kufanya kazi Mandela aliwajuwa watu wake. kwa ufupi hivi wazungu wakiamua kutuwekea vikwazo Africa nzima ndio tutarudi kuwa kama Zimbabwe si huwa tunasema hatujali sisi? Ili Zimbabwe kurudi sawa ni kuwaambia ukweli viongozi hawa hawafai tunawashukuru walipigania uhuru ila kuongoza hawawezi tunaoneana aibu ya nini? Wewe unasema sisi hatujali unamuona mwenzako anachungulia kaburi kama wewe hujali sasa Zimbabwe ajali nini? na wao hawajali kunyimwa msaada kama wewe. mambo ya ukombozi yamepitwa na wakati kila mtu abebe mzigo wake. TZ kwanza wengine baadae
 
Hakuna haja ya kuanzisha chama kingine, kitu kikubwa ni vyama vilivyopo kujisahihisha, Mfano mzuri ni Chadema, unaweza kunieleza sababu ya chama hicho kuzorota mara baada ya DR. Slaa kuondoka? Kabla ya hapo chama kilikuwa vibrant na Kuwapa wananchi matumaini na hata chama kupata wabunge wengi! Ili warudie hali ile hawana budi kujitathmini na kujisahihisha ili warudie hali yao ya zamani ambapo walikuwa na wafuasi wengi.
Usijitie uziwi kama vile hujuwi kinacho dhoofisha upinzani bwana.
 
Wanatafuta umaarufu bila kutumia akili tumewasidia hao Wazimbabwe na WaSouth toka enzi hizo huku Watanzania wakiendelea kuwa masikini baada ya kuzungumza matatizo ya Watanzania anajifanya kukimbilia Zimbabwe wakati wao hata hawatuwazi zaidi ya Munanangwa pekee...
 
Hakuna watu wanafiki Kama wazimbwe na wasauz weusi, nilikuwa na boss mzimbabwe nilimkosakosa makonde siku moja ndio tukaheshimiana.
 
Kalamaganda Kabudi ni kati ya walioporomosha hadhi ya UDSM kwa matamshi yao ya ovyo ovyo na yasiyoaminika.
Tulijikuta vitani wakati mwalimu akihangaika kurudisha mlevi mmoja madarakani, mwl alitumia nusu ya budget ya nchi kuhangaika na mkwameh wa Ghana, tuliharibikiwa kiuchumi baada ya kukorofishana na Israel kisa Palestine, tuligombana na ujerumani kisa biashara kichaa ya urudi, bado tu hatukomi, sijui tulirogwa na Nani?
 
Tatizo letu kubwa Tanzania ni kutokuwa na MBADALA wa CCM! Hawa wanaojiita wapinzani have let the wananchi down because of their ignorance and lack of focus. Kweli seriously unategemia watu kama Zitto, Mbowe, Lema etc kuongoza nchi wakati wao wenyewe wameshindwa kuonesha mfano wa uongozi mzuri kwenye vyama vyao? Wanatakiwa waoneshe mfano kwa jinsi wanavyomudu uongozi ulio bora katika vyama wanavyoviongoza ndipo watu watapata imani ya utendaji wao. Kuongoza nchi sio sawa na kucheza mdundiko!!

Hao sisimizi uliowataja si wapinzani kweli, they are opportunists tu. Hivi mtu kama Lissu, Mbowe au hata Zitto ataliongoza vipi hili taifa, si tunadanganyana tu jamani?
 
Tulijikuta vitani wakati mwalimu akihangaika kurudisha mlevi mmoja madarakani, mwl alitumia nusu ya budget ya nchi kuhangaika na mkwameh wa Ghana,

Kijana rejea kusoma historia yako vizuri!! Mwalimu hakutumia hiyo nusu ya budget hata siku moja kumkomboa Kwame Nkrumah. Inaelekea hujui hata ramani ya Africa. Check your facts before you push those buttons!!
 
Usijitie uziwi kama vile hujuwi kinacho dhoofisha upinzani bwana.

Ni kweli Jiwe anatumia nguvu za DOLA kudhoofisha upinzani; lakini kama upinzani ungekuwa na uongozi thabiti wasingeteteleka na kusambaratishwa na mbinu hizo za Jiwe!! Wangetumia challenges hizo kujifunza mbinu za kupambana na udhalimu wake. Nitakupa mfano mmoja JIWE na Serikali yake walitunga sheria ya TAKWIMU ambayo Ilikuwa inakandamiza uhuru wa wananchi kutoa na kupata taarifa sahihi za Serikali na tafiti mbalimbali. Serikali baada ya muda ilisalimu amri na kuirudia na kuibadilisha ile sheria ; je kitu gani kiliilazimisha serikali kuchukua hatua ile?

Mbinu zilizotumika kuilazimisha serikali kuibadili sheria ile ya takwimu pia ingeweza kutumika kuilazimisha serikali kuruhusu vyama vya upinzani kufanya shuhuri zake bila kuthibitiwa na vyombo vya DOLA!!! Sasa viongozi wa upinzani wamekaa kimya huku wengine wakiswekwa korokoroni na kubambikiwa kesi eti wakitegemea waonewe huruma na JIWE; hiyo haitawezekana na JIwe hawezi kuwaruhusu wafanye mikutano mpaka hapo atakapoona yeye inafaa! It is up to the oppressed to come up with viable solutions to their problems. Remember, problems are solutions in disguise.
 
Kijana rejea kusoma historia yako vizuri!! Mwalimu hakutumia hiyo nusu ya budget hata siku moja kumkomboa Kwame Nkrumah. Inaelekea hujui hata ramani ya Africa. Check your facts before you push those buttons!!
Wacha wewe enzi hizo sijui ulikuwa wapi? Nyerere akihangaika na classmate wake bila mafanikio, alitumia pesa ya umma kufadhili sijui ukombozi, haya walikomboka Sasa tumefaidika Nini? Ndio hao wanatupiga mawe mtaani Kama wanaua koboko, hongera general Bhuhari kumfurusha balozi na kuchoma mnara wa mtn,
 
Back
Top Bottom