Mambo mengi anayoongea Prof. Kabudi ni Utopian

we as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,
Huyo Mungu anayetushangaa ni Mungu wetu pekee na wao wana wakwao

Unadhani Mungu angependa tufanye nini
 
Sasa kwa nini msimwambie Lisu arudi badala ya kushangilia akiwa anazurura huko as if wazungu watamuonea mhuruma wakati yeye ni mwafrika tu?
 
Anaongea amekodoa macho kuaminisha uma wazungu ni wabaya halafu anakodoa hayo macho kuomba Zimbabwe iondolewe vikwazo, kama waafrika tuna kila kitu na tunaweza bila hao mabeberu why tusiungane kuisaidia Zimbabwe kiuchumi?1 Jalalani hakunawahi kuwa na kitu kizuri labda kilifika huko bahati mbaya.
 
Huna lolote zaidi ya kuongea utoto. Mtu akipitia uzi wako anaweza kudhani unaongea jambo la maana kumbe uhanithi mtupu

Wewe kama wagense wenzio mkikosolewa mnakimbilia matusi mimi siwezi kujishusha kuwafikia nyie wapuuzi!!
 
Mkuu uko sahihi, sasa fanya hivi, hebu anzisha chama chako ili tuone hicho unachoshauri hapa. Hapa umekashifu tu ili kulinda unaowaamini.

Hakuna haja ya kuanzisha chama kingine, kitu kikubwa ni vyama vilivyopo kujisahihisha, Mfano mzuri ni Chadema, unaweza kunieleza sababu ya chama hicho kuzorota mara baada ya DR. Slaa kuondoka? Kabla ya hapo chama kilikuwa vibrant na Kuwapa wananchi matumaini na hata chama kupata wabunge wengi! Ili warudie hali ile hawana budi kujitathmini na kujisahihisha ili warudie hali yao ya zamani ambapo walikuwa na wafuasi wengi.
 
We fukara umevimbiwa kauzu
Sasa kwa nini msimwambie Lisu arudi badala ya kushangilia akiwa anazurura huko as if wazungu watamuonea mhuruma wakati yeye ni mwafrika tu?
 
we as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,

ijulikane mzungu anapenda sana damu yake sana tena sana hatokuwa na huruma yoyote pale anapoitetea damu yake au kizazi chake, wale wazimbabwe walivyo leta ubabe kwa ardhi yao kwa wazungu wao wazungu wakachukulia ni kitendo cha kihaini sana so wakawawekea vikwazo wafe waafrica
Mungu anatushangaa vipi wakati ndiye katuumba hivyo,
 
Huna lolote zaidi ya kuongea utoto. Mtu akipitia uzi wako anaweza kudhani unaongea jambo la maana kumbe uhanithi mtupu.
MOD jaribuni kudhibiti miunkari Kama hii, hapa sio bar
 
Hakuna haja ya kuanzisha chama kingine, kitu kikubwa ni vyama vilivyopo kujisahihisha, Mfano mzuri ni Chadema, unaweza kunieleza sababu ya chama hicho kuzorota mara baada ya DR. Slaa kuondoka? Kabla ya hapo chama kilikuwa vibrant na Kuwapa wananchi matumaini na hata chama kupata wabunge wengi! Ili warudie hali ile hawana budi kujitathmini na kujisahihisha ili warudie hali yao ya zamani ambapo walikuwa na wafuasi wengi.

Huenda hujui siasa ndio maana unabeba maoni ya watu wa upande mmoja unayageuza ndio maoni yako. Nikishasikia mtu anasema enzi za Dr. Slaa najua fika ni bendera fuata upepo. Slaa alipata umaarufu awamu iliyopita kwani kulikuwa na siasa zinazomruhusu kuzunguka nchi nzima na kufanya kazi za chama cha siasa. Je sasa hivi aina ile ya siasa bado zipo? Uwanja wa kufanya siasa za ushindani bado upo kwa kiwango hicho cha siasa enzi za Slaa?

Tuache hayo maana unaonekana una uelewa finyu wa siasa. Hebu weka hapa hao cdm unataka wafanye nini, ili tuone hilo wazo linalokupa nguvu ya kujenga hizo hoja zako.
 
Kabudi kutetea wazimbabwe namuunga mkono, maana adhabu dhidi ya Zimbabwe ilitokana na chuki ya Zimbabwe kutwaa ardhi yao kutoka kwa Wazungu
 
Huyo Kabudi na viongozi wengi wa kiafrika hukimbilia china maana wanajua china hawahoji uhuni wowote.
 
Kabudi kutetea wazimbabwe namuunga mkono, maana adhabu dhidi ya Zimbabwe ilitokana na chuki ya Zimbabwe kutwaa ardhi yao kutoka kwa Wazungu
Ndio yutopian mleta Uzi anausema, kwani Kuna sehemu Zimbabwe panaitwa African London? Mtu analima shamba lake wewe unavamia kijambazi tu, Zimbabwe walipe fidia waache mambo yakijinga. Sisi mbona somaiya group wanamashamba, MO anayo Sumaye anayo Lowasa anayo na atuna shida nayo, Sasa mashamba wamepewa mbona mahindi yanatoka mpanda kwenda Harare?
 
we as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,

ijulikane mzungu anapenda sana damu yake sana tena sana hatokuwa na huruma yoyote pale anapoitetea damu yake au kizazi chake, wale wazimbabwe walivyo leta ubabe kwa ardhi yao kwa wazungu wao wazungu wakachukulia ni kitendo cha kihaini sana so wakawawekea vikwazo wafe waafrica
Achana na Kiingereza kibovu. Usiwe mtumwa wa lugha ya mabeberu. Tumia Kiswahili tu, nadhani una uwezo mzuri wa kutumia lugha yetu adhim!
 
Tuache hayo maana unaonekana una uelewa finyu wa siasa. Hebu weka hapa hao cdm unataka wafanye nini, ili tuone hilo wazo linalokupa nguvu ya kujenga hizo hoja zako.

Ndio maana nakuita mpumbavu, unaniambia uelewa wangu wa siasa ni finyu halafu unataka nikupe mawazo ya jinsi Chadema itakavyoweza kujiimarisha!!! You S.O.B.
 
KA
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.

Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
KAPUTURA LA MAX
 
Mchina mbaya sana, haingilii ugomvi.
Hii chuki iliyopandikizwa na jiwe ikinukisha sijui itakuwaje
 
Kabudi kwa bahati mbaya ni msoma wa karatasi asie na exposure...
Muongo, mtu wa nadharia na kujimwambafy kwingi. .
Ni bahat mbaya sana Rais wetu kushauriwa na mtu wa namna yake kwenye suala lolote lile....
Nani asiejua kuzama kwa Zimbabwe ni ubinafsi wa Mugabe kutaka kuendelea kungangania madaraka hata baada ya kuambiwa angatuke, hivo kuamua kuwanyanganya wazungu matajiri mashamba kama sehem ya kulipa kisasi
Huu ujinga wa kudhani Africa itajikomboa kwa siasa uchwara za historia ni ujinga beyond symbolism. ..
Bahati mbaya tuna wanasiasa very unproductive na wasioona kesho ya nchi ukilinganisha na hao wanaowaita mabeberu. ...
What a disgrace
 
Back
Top Bottom