Wacha wewe enzi hizo sijui ulikuwa wapi? Nyerere akihangaika na classmate wake bila mafanikio, alitumia pesa ya umma kufadhili sijui ukombozi, haya walikomboka Sasa tumefaidika Nini? Ndio hao wanatupiga mawe mtaani Kama wanaua koboko, hongera general Bhuhari kumfurusha balozi na kuchoma mnara wa mtn,
Hapo mwanzo ungeandika kiswahili ungekonda?lugha mbofumbofuwe as african we should supporting each other,kama tungejua tukitakacho tungeweza jikomboa na hao mabeberu, MUNGU anatushangaa sana ni watu tusio na msimamo ijapokuwa ndugu zetu wanakufa bila hatia bado tunaogopa na kuwaabudu as if wanastahili,
ijulikane mzungu anapenda sana damu yake sana tena sana hatokuwa na huruma yoyote pale anapoitetea damu yake au kizazi chake, wale wazimbabwe walivyo leta ubabe kwa ardhi yao kwa wazungu wao wazungu wakachukulia ni kitendo cha kihaini sana so wakawawekea vikwazo wafe waafrica
Mie sijakutukana lete hoja, namie nikutukane Sasa Bangladesh krokodio pompoo prokomafoYou are ignorant do not waste precious time!!
Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini.
Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao hawajali ilimradi wanaextract wanavyotaka. Afadhali kidogo hao Wazungu walikuwa wanatusaidi sana pale tunaponyanyaswa tunapaza sauti. Mana viongozi wa Africa ni madikteta na karibu wote wajuaji pia.
Upo sahihi kabisa ni ngumu kufanya nao kazi hao...Mimi nimefanya nao sana kazi hao..Hakuna watu wanafiki Kama wazimbwe na wasauz weusi, nilikuwa na boss mzimbabwe nilimkosakosa makonde siku moja ndio tukaheshimiana.
Kweli kabisa Ni upumbavu kulaumu wazungu ambao hata Africa jawajawahi fika, Ni ujinga wetu tu na niwakati wakulaumiana sisi kwa sisi,"Huu ni wakati wa kumuomba mungu atuzindue tuweze kutumia akili zetu kubuni na kufanya uvumbuzi wa vitu vikubwa ili ulimwengu utambue uwepo wetu.
Hizi blabla za kulaumu hawa ni mabeberu, wanyonyaji hazita tufikishapopote.
Maisha duni tuliyonayo yamesababishwa na sisi wenyewe. Hakuna wakumlaumu"
Fuatilia dogo!
Na watu ambao ni pessemists hawatakiwi hata kuwemo duniani.Nakuuliza then wewe unanipa kazi tena?
Nimekuuliza genuinely nilitafuta nikakosa ndio maana nikakuuliza,otherwise nisingekuuliza!
You see,huna jibu maana hakuna kitu kama hicho unachodai!
Washabiki wa Jiwe ni very dishonesty na wanafiki sana!
It shows here!
The world is still the same the rich nations get away with all sorts of atrocities against other nations without shame. I believe we are not going to be in any worse situation by standing up on our principals.Huo ni mwaka gani?alitakiwa aangalie na diplomacy ya miaka ya sasa.Mambo mengi yamebadilika tangu miaka unayo ongelea ya Mwalimu na Dunia ya sasa.
Kuna mambo kumlinganisha Nyerere na hawa viongozi wetu wasasa nikukosa uelewa na kutokujua historia na mambo ya nyakati zilizopita na tulizo Nazo na hata zijazo
Which principals (principles) are you talking about! Disagreeing on what we have agreed? Are they really "binding constraints" to current needs of our development or the economy? Should they be prioritized? I think there is better way to take or choose than this one. I may agree with the ongoings if the whites penalize us on what we do from what we agreed! Unfortunately, they do so on what we do from what we have not agreed.The world is still the same the rich nations get away with all sorts of atrocities against other nations without shame. I believe we are not going to be in any worse situation by standing up on our principals.
Huna tofauti na ziro, kile kilbonzo maarufu cha wakati ule,napata aibu kuona upinzani dhaifu na wa hovyo unajimwambafai kutaka madaraka makubwa nchini mwetu.
Products za jalalani hizo.
Hahah hapo zitatoka Jalalani pure products mkuu.Hivi mkufunzi akiwa anauzoefu wa jalalani products zake zitakuwaje?
Hahah hapo zitatoka Jalalani pure products mkuu.
Subiri products hizo zije hapa uone ugomvi wake mkuu.